kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,621
Hili mbokaleo ni dudu gani??? Lina kiherehere utadhani spika za azana!!! Lina chuki binafsi na marekani utazani wameliibia mke! Kama una povu na america kula wembe. mara uwaambie wenzio wanafikiri na makalio, wewe unafikiri na p.umbu na sahani ya ugali kichwani! Tutolee povu wewe kibwengo!! Unajifanya unajua maandiko hata shetani ni mjuzi kuliko wewe shwaini
Teh teh teh teh!
Shangazi kawa mkali kama kalishwa shubiri!
Sasa mi chuki yangu na hao wauwaji inakuhusu nini wewe?
Au umechumbiwa na mmarekani!?
Manake nyie wakolinto mnapoona mtu anawapiga madongo wamarikani basi mnakuja juu utafkiri katajwa mumeo!
Namna gani Emirates4 tuliza munkara!
Usijezaa kabla siku hazija kamilika.
Last edited by a moderator: