winnie waithera
Member
- Feb 9, 2016
- 74
- 153
Kuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leoKumbe China na Russia wapiga kelele tuuu
Embu kula LIKE mkuuKuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leo
Nimeichukua hii habari kwa maksudi kutoka kwenye hiki ki media uchwara
Hiki ni ki media kinachomilikiwa na marafiki wa Vladimir putin hivyo media hii tangu asubuhi hadi jioni kazi ya hii media ni kuponda na kukosoa mambo yote yanayohusu West na vingi ni vya uongo au exaggerated the same time watasifu silaha za Russia 24/7
Ukiifuatilia hii media ya sputniknews.com baada ya mwezi tu unaweza kudhani marekani si chochote si lolote mbele ya Russia kwa jinsi utakavyo jazwa sumu na uongo
Mara leo watajifanya wanachambua ubovu wa ndege ya F-22 na jinsi inavyoachwa mbali na ndege za Russia, mara wataichambua Patriot missile system isivyokua chochote yaani ni full kuponda marekani
Na hii sputniknews.com ndio watu wengi hapa jukwaani hupenda kuja na habari zake
Mwisho wa siku unakua unajidanganya unajua vitu vingi kumbe ni sumu tupu
Chombo hiki huwa hakisemi mapungufu ya Russia na China kijeshi
Mfano vyombo vya habari vya magharibi naweza kusema vinafuata weledi hata kama serikali zao au majeshi ya marekani yamefanya kitu kibaya cnn ABc news zitaponda na kuisema vibaya serikali
Mapungufu ya silaha mbali mbali za america cnn watasema sana tu na mijadala mingi ya kitaalam lakini sio vyombo vya habari vya urusi
Aljazeera imejipambanua kama television huru pamoja na kumilikiwa na Qatar iliyo na ushirika na marekani lakini bado media hii ni huru
Serikali ya marekani imeilalamika media hii tangu kuanzishwa kwake wakati wa wikileaks Aljazeera haikuogopa kitu ilitoa siri zote kuhusu balozi za marekani zinavyoendesha upelelezi Duniani, ni Aljazeera pekee ndio iliyoaminiwa na Julian asange na kupewa zile leaks zote
Media hii ndio ambayo hadi sasa ndio imeripoti habari za Syria Bila upendeleo, Leo itasema mazuri ya Russia kesho itasema mabaya yake the next day itasema mabaya ya America and vice versa ndio maana hata Osama bin laden mikanda yake yote ya video aliwapa Aljazeera kwa siri aliiamini
Lakini cha kushangaza hapa jukwaani utasikia watu wa Russia wakidai Aljazeera imekua ya magharibi hivi kweli unaweza unakua kwenye TV yako kutazama sputniknews.com over Aljazeera? Ni wazi utakua umechanganyikiwa
Hii ndio nguvu ya propaganda, taarifa nyingi unazozisikia kuhusu Russia na hiyo s-400 ni exaggeration
System hiyo bado ina mapungufu mengi na maboresho yanaendelea
Imepelekwa Syria kama pambo tu lakini warusi wameshindwa kuiseti kuwa operational marekani na Israel zimekua kwa maksudi zikirusha ndege jirani kabisa na latakia kupima uwezo wa hiyo s_400 na kugundua kumbe hata imeshindwa kuwashwa kutokana na so many technical problems ndio maana Russia wakaiomba defense ministry iwaletee ndege ya su 35 ambayo ni mult role fighter jet ifanye kazi ya ku patrol mahala ambako ndege zao zinafanya mashambulizi kuzikinga na incidence kama ya uturuki zisishambuliwe na ndege zingine kazi ambayo originally ilipangwa kufanywa na s-400 ambayo hata kuwaka tu imeshindikana
Je media za Russia zimeyataja haya?
Silaha kubwa ya authoritarian regimes ni propaganda be warned

pale syria mazee ziko system mbili,kuna S-300 na S-400,na zote ziko operational,ndege za marekani na washirika haziwezi kuruka bila kuwapa taarifa warusi.Kuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leo

mkuu THHAD ina radar zinazowez kudetect missile up t0 3000 miles ndo mana china wanalalamika sana kwamba marekani hawana nia ya kuileta kwa ajili ya north korea bali wanaitarget china,jaribu kusoma specification za THAADTerminal High Altitude Air Defence(THAAD),itakua imewekwa korea ya kusini kucounter uwezekano wa mashambulizi toka korea ya kaskazini.
Haina impact kwa china kivile
LABDA usema F-35 mkuu.lakini c kwa F-22...iko vizuri sana kiac kwamba walishapiga marufulu export ya F-22.ni moja kati ya advanced aircraft kwenye USAF ukiacha B-2 spirit ruptorpale syria mazee ziko system mbili,kuna S-300 na S-400,na zote ziko operational,ndege za marekani na washirika haziwezi kuruka bila kuwapa taarifa warusi.
Na hata israel kuna makubaliano walifanya na warussi ili wawe wanakausha pindi ndege zao zikiingia syria kusini,na pia mpaka sasa ndege za russia zimeshaaingia ndani ya israel mara 2 na kwa ajili ya makubaliano yao waisrael nao inabidi wakauke badala ya kuripua,
kuhusu mapungufu ya ndege za wamarekani F-22 ama F-35 mbona hata media za magharibi zinaweka wazi?.
Soma debka.com ya leo utaona wanavyoijadili F-35.
Ndege za russia zipo chache syria lakini zinaweza fanya sorties kwa siku moja kuzidi ndege za wamarekani na washirika wake wanaeza fanya kwa mwezi,hicho pekee ni kiashiria cha ubora wa ndege za russia dhidi ya zile za america
mkuu unajua ukijilinganisha au kuwabishia marekani unapata umaarufu ndo mana russia na wenzake daily wanafanya hvyo...unajua russia usuperpower wake ulicorrupt baada ya USSR kuporomoka but hakubalian na ukweli thats why daily anataka awe treated sawa na marekani kwenye international arena hapo ndokazi kwelikweli...nakumbuka juzi kati obama alisema kuwa russia niregional power na si superpower basi bwana putin alimind sana na kusema obama aache dharau kwani russia ni global power na c regional powerhiv kwa nini nchi zinazotafuta umaarufu hupenda sana kujilinganisha na marekani? kwan hapa duniani nchi ni marekani tu! au ndo wameona ndo nchi ya kuwafanya wapate umaarufu kirahisi zaidi
Kusema ukweli upande wa ndege Russia hampati USA mfano ni F-15 haijawahi kuwa shot down kwenye aerial fighting na ndo ndege iliyoshootdown mig za Urusi mpk ikaitwa Mig killer....na kuhusu mapungufu mbna ht hyo Russia z5th Gen aircraft ina matatzo mengi tyu Ila ni Mara chache sana kukuta media za Russia zinaongelea tofaut na west huwa wanaongelea mapungufu yaopale syria mazee ziko system mbili,kuna S-300 na S-400,na zote ziko operational,ndege za marekani na washirika haziwezi kuruka bila kuwapa taarifa warusi.
Na hata israel kuna makubaliano walifanya na warussi ili wawe wanakausha pindi ndege zao zikiingia syria kusini,na pia mpaka sasa ndege za russia zimeshaaingia ndani ya israel mara 2 na kwa ajili ya makubaliano yao waisrael nao inabidi wakauke badala ya kuripua,
kuhusu mapungufu ya ndege za wamarekani F-22 ama F-35 mbona hata media za magharibi zinaweka wazi?.
Soma debka.com ya leo utaona wanavyoijadili F-35.
Ndege za russia zipo chache syria lakini zinaweza fanya sorties kwa siku moja kuzidi ndege za wamarekani na washirika wake wanaeza fanya kwa mwezi,hicho pekee ni kiashiria cha ubora wa ndege za russia dhidi ya zile za america
mkuu unajua wanachofanya russia now marekani walikifanya muda sana yani hii habari ya kucheza na media,ila kwa sasa marekani wamepunguza kidogo cjui wamepata mchezo gani mwngne mpya maana hawa jamaa wanaonaga mbali sana,miaka ya zamani walikua na kitu ilikua inaitwa OPERATION MOCKING BIRD ILIKUWA ni full propaganda....sema russia na wenzie naona ndo walistuka wakati kumekucha ndo mana cku hizi unaona kuna hizi site nying ambazo ni anti-american-mkuu ukitaka kujua kwamba hizi air defense za russia ni uchwara mtupu jaribu kupitia ile operation ochard ambayo ilifanywa na israel nchini syria kwenye kama 2007 hivi kama ckosei,pia kwa sasa hii S-300/400 inaweza kuwa kwe risk sana kwasababu bwana imevujshwa kumbe israel wamekua wakiifanyia mazoez ile S-300 ya ugiriki toka 2006 Kuanzia system zake za rada kwa kushirikiana jeshi la ugiriki ambalo ilikua likiwasha battery ya S-300 wakat wa mazoez na israel.....ndo mana kuna kipind obama aliiambia iran hata kama mkinunua S-300 toka urusi bado cc tunanjia nzuri tu ya kudeal na S-300 yenu,pia israel amekua na historia nzuri tu ya kuhack air defense za urusi.kuanzia pale iraq na kipind kile akipigana na misri walizihack air defense karibu zote za misri na kupeleke misri kuelemewa sana kwenye vita,russia wako vizuri kwenye silaha but SEMA bado hawajawekeza sana kwenye research km US na hio inamfanya awe nyuma kidogo kwan hata china anakuja kasi sana kwajili ya kuwekeza sana kwenye tafiti za kijeshiKuna kitu kinaitwa propaganda kina nguvu kubwa sana katika dunia ya leo
Nimeichukua hii habari kwa maksudi kutoka kwenye hiki ki media uchwara
Hiki ni ki media kinachomilikiwa na marafiki wa Vladimir putin hivyo media hii tangu asubuhi hadi jioni kazi ya hii media ni kuponda na kukosoa mambo yote yanayohusu West na vingi ni vya uongo au exaggerated the same time watasifu silaha za Russia 24/7
Ukiifuatilia hii media ya sputniknews.com baada ya mwezi tu unaweza kudhani marekani si chochote si lolote mbele ya Russia kwa jinsi utakavyo jazwa sumu na uongo
Mara leo watajifanya wanachambua ubovu wa ndege ya F-22 na jinsi inavyoachwa mbali na ndege za Russia, mara wataichambua Patriot missile system isivyokua chochote yaani ni full kuponda marekani
Na hii sputniknews.com ndio watu wengi hapa jukwaani hupenda kuja na habari zake
Mwisho wa siku unakua unajidanganya unajua vitu vingi kumbe ni sumu tupu
Chombo hiki huwa hakisemi mapungufu ya Russia na China kijeshi
Mfano vyombo vya habari vya magharibi naweza kusema vinafuata weledi hata kama serikali zao au majeshi ya marekani yamefanya kitu kibaya cnn ABc news zitaponda na kuisema vibaya serikali
Mapungufu ya silaha mbali mbali za america cnn watasema sana tu na mijadala mingi ya kitaalam lakini sio vyombo vya habari vya urusi
Aljazeera imejipambanua kama television huru pamoja na kumilikiwa na Qatar iliyo na ushirika na marekani lakini bado media hii ni huru
Serikali ya marekani imeilalamika media hii tangu kuanzishwa kwake wakati wa wikileaks Aljazeera haikuogopa kitu ilitoa siri zote kuhusu balozi za marekani zinavyoendesha upelelezi Duniani, ni Aljazeera pekee ndio iliyoaminiwa na Julian asange na kupewa zile leaks zote
Media hii ndio ambayo hadi sasa ndio imeripoti habari za Syria Bila upendeleo, Leo itasema mazuri ya Russia kesho itasema mabaya yake the next day itasema mabaya ya America and vice versa ndio maana hata Osama bin laden mikanda yake yote ya video aliwapa Aljazeera kwa siri aliiamini
Lakini cha kushangaza hapa jukwaani utasikia watu wa Russia wakidai Aljazeera imekua ya magharibi hivi kweli unaweza unakua kwenye TV yako kutazama sputniknews.com over Aljazeera? Ni wazi utakua umechanganyikiwa
Hii ndio nguvu ya propaganda, taarifa nyingi unazozisikia kuhusu Russia na hiyo s-400 ni exaggeration
System hiyo bado ina mapungufu mengi na maboresho yanaendelea
Imepelekwa Syria kama pambo tu lakini warusi wameshindwa kuiseti kuwa operational marekani na Israel zimekua kwa maksudi zikirusha ndege jirani kabisa na latakia kupima uwezo wa hiyo s_400 na kugundua kumbe hata imeshindwa kuwashwa kutokana na so many technical problems ndio maana Russia wakaiomba defense ministry iwaletee ndege ya su 35 ambayo ni mult role fighter jet ifanye kazi ya ku patrol mahala ambako ndege zao zinafanya mashambulizi kuzikinga na incidence kama ya uturuki zisishambuliwe na ndege zingine kazi ambayo originally ilipangwa kufanywa na s-400 ambayo hata kuwaka tu imeshindikana
Je media za Russia zimeyataja haya?
Silaha kubwa ya authoritarian regimes ni propaganda be warned
Na ukitaka kujua kwamba USA ni nouma jiulize kwanini kila siku CHINA anahangaika kudukua siri za silaha za marekan kila siku hasa zile za stealth na ndege karibia zote za stealth wameiga muundo wa F-22 raptormkuu unajua wanachofanya russia now marekani walikifanya muda sana yani hii habari ya kucheza na media,ila kwa sasa marekani wamepunguza kidogo cjui wamepata mchezo gani mwngne mpya maana hawa jamaa wanaonaga mbali sana,miaka ya zamani walikua na kitu ilikua inaitwa OPERATION MOCKING BIRD ILIKUWA ni full propaganda....sema russia na wenzie naona ndo walistuka wakati kumekucha ndo mana cku hizi unaona kuna hizi site nying ambazo ni anti-american-mkuu ukitaka kujua kwamba hizi air defense za russia ni uchwara mtupu jaribu kupitia ile operation ochard ambayo ilifanywa na israel nchini syria kwenye kama 2007 hivi kama ckosei,pia kwa sasa hii S-300/400 inaweza kuwa kwe risk sana kwasababu bwana imevujshwa kumbe israel wamekua wakiifanyia mazoez ile S-300 ya ugiriki toka 2006 Kuanzia system zake za rada kwa kushirikiana jeshi la ugiriki ambalo ilikua likiwasha battery ya S-300 wakat wa mazoez na ugiriki.....ndo mana kuna kipind obama aliiambia iran hata kama mkinunua S-300 toka urusi bado cc tunanjia nzuri tu ya kudeal na S-300 yenu,pia israel amekua na historia nzuri tu ya kuhack air defense za urusi.kuanzia pale iraq na kipind kile akipigana na misri walizihack air defense karibu zote za misri na kupeleke misri kuelemewa sana kwenye vita,russia wako vizuri kwenye silaha but SEMA bado hawajawekeza sana kwenye research km US na hio inamfanya awe nyuma kidogo kwan hata china anakuja kasi sana kwajili ya kuwekeza sana kwenye tafiti za kijeshi
kweli kabisa pia china katika fighter jet zake zote hakuna hata moja ambayo ametengeneza engine mwenyew.ndege zote engine ananunua urusiNa ukitaka kujua kwamba USA ni nouma jiulize kwanini kila siku CHINA anahangaika kudukua siri za silaha za marekan kila siku hasa zile za stealth na ndege karibia zote za stealth wameiga muundo wa F-22 raptor
Ndo maana kila siku anahangaika kudukua data za B-2 spirit badala ya kuwekeza kwenye researchkweli kabisa pia china katika fighter jet zake zote hakuna hata moja ambayo ametengeneza engine mwenyew.ndege zote engine ananunua urusi
daah ile kitu b-2 achananayo kabisa,saivi wameshatenga mpunga kwajili ya next bomber b-3Ndo maana kila siku anahangaika kudukua data za B-2 spirit badala ya kuwekeza kwenye research
b-2 iko vizuri sana aisee af nackia ziko sita tu zile nchi nzimaNdo maana kila siku anahangaika kudukua data za B-2 spirit badala ya kuwekeza kwenye research
Zpo 20b-2 iko vizuri sana aisee af nackia ziko sita tu zile nchi nzima
ookeyZpo 20