US Special Envoy to Ukraine Kurt Volker :Ukrainians cannot take back the territories already taken by Russia

kyaibumba

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
715
989
US State Department's Special Envoy to Ukraine Kurt Volker said that Ukrainians cannot take back the territories already taken by Russia. This was reported by BBC agency.

Volker noted that American lethal weapons could stop Russia from new attacks.

“If they are not able to hold the line, that's just an invitation for further advancements. And what this does is tells the Russians very clearly: "You're not gonna get any more without it being very costly to you,” US Special Envoy Kurt Volker said.

Nikiripoti kutoka Odessa
Mimi Kyaibumba
 
Mrusi angekuwa economic super power dunia ingekoma. Dunia ya leo nchi moja inaivamia nchi nyingine na kupokonya jimbo bila wasiwasi na kulifanya sehemu yake! Dah! Jamaa ni washenzi. God forbid.
 
Naheshimu mawazo yako...ila nadhani huijui issue yenyewe ikoje...nadhani umejazwa propaganda za USA and and other western countries...Russia kuichukua Crimea ilikuwa ni lazima....pale pana Fleet ya Russia..yaani Navy ya Russia bahari ya Baltic iko pale miaka nenda rudi...Marekani ilisaidia kuupindua utawala wa Ukraine uliokuwa rafiki wa Russia na lengo la Marekani lilikuwa hilo la kuhakikisha kuwa Navy ya Russia inakwenda kuzimu...Warusi walijua mpango huo wakawawahi Marekani kwa kuichukua Crimea na Marekani wakabaki midomo wazi wasijue wala kuamini kilichotokea...
 
Naheshimu mawazo yako...ila nadhani huijui issue yenyewe ikoje...nadhani umejazwa propaganda za USAand and other western countries...Russia kuichukua Crimeailikuwa niklazima....pale pana Fleet ya Russia..yaani Navy ya Russia bahari ya Baltic iko pale miaka nenda miaka rudi...Marekani ilisaidia kuupindua utawala wa Ukraine uliokuwa rafiki wa Russia na lengo la Marekani lilikuwa hilo la kuhakikisha kuwa Navy ya Russia inakwenda kuzimu...Warusi walijua mpango huo wakawawahi Marekani kwa kuichukua Crimea na Marekani wakabaki midomo wazi wasijue wala kuamini kilichotokea...

Uko sawa kiongozi pale ilikuwa nikumkalibisha adui sebleni Russia walifanya maamuzi sahihi
 
Mrusi angekuwa economic super power dunia ingekoma. Dunia ya leo nchi moja inaivamia nchi nyingine na kupokonya jimbo bila wasiwasi na kulifanya sehemu yake! Dah! Jamaa ni washenzi. God forbid.
Nakushauri soma historia ya kweli kuhusu Crimea.
 
Naheshimu mawazo yako...ila nadhani huijui issue yenyewe ikoje...nadhani umejazwa propaganda za USAand and other western countries...Russia kuichukua Crimeailikuwa niklazima....pale pana Fleet ya Russia..yaani Navy ya Russia bahari ya Baltic iko pale miaka nenda miaka rudi...Marekani ilisaidia kuupindua utawala wa Ukraine uliokuwa rafiki wa Russia na lengo la Marekani lilikuwa hilo la kuhakikisha kuwa Navy ya Russia inakwenda kuzimu...Warusi walijua mpango huo wakawawahi Marekani kwa kuichukua Crimea na Marekani wakabaki midomo wazi wasijue wala kuamini kilichotokea...
Uko sawa kabisa mkuu, lengo la usa lilikuwa kuchukua bandari ya Sevastopol, ambapo ndipo ilipo hiyo navy fleet ya russia. Bahati mbaya Putin akawazidi kete, akainyakua na kuirudisha Crimea kuwa sehemu ya russia. Hasira zote za waamerica dhidi ya russia zilianzia hapo; japo kugombania masoko ya kuuza silaha kunachangia kwa kiasi fulani.
 
Kuna utofauti mkubwa wa Russia annexation of Crimea na Israel encroaching palestine.

Moja ni willingly wakati ingine ni forcefull.

Ndio maana unaona huko crimea hakuna anayepigana ilihali huko gaza kila siku shida
mhhhh, ukienda ukapokonya province ya xijiang la china wala wakazi wake watafurah tu coz weng wao hawapend serikali yao kabsaa au Catalonia ya spain nao watafurahi maana wanataka kuwa huru au kosovo kuondoka kwe utawala wa serbia wakosovo wamefurah kutokua chini ya serbia lakin hio yote haimaanishi ni halali bro
 
Nakushauri soma historia ya kweli kuhusu Crimea.
sawa but hapa russia alitumia tu ubabe ni tabia yake tu amefanya hvyio hata georgia sasa cjui utasema tukasome historia ya abkhazia mkuu! au kule tranistria ambako kila cku moldova wanalalamika urusi iondoe majeshi yaom shida ni kuwa viongozi wa zamani wa urusi cjui walikuwa na shida gani kugawa ama kuuza maeneo kama vile walivyouza alaska kwa marekani sasa miakahii wanakuja kugundua kuwa yale maeneo yalikuwa ni strategic wanataka kurekebisha makosa in expense of others, mpango wa kuichukua crimea warusi walikuwa nao muda tu sema walikuwa wanatafuta sababu ya kujustify hilo na 2014 wakaipata, mataifa makubwa ubabe ndo tabia yao si urusi china wala marekani
 
Mrusi angekuwa economic super power dunia ingekoma. Dunia ya leo nchi moja inaivamia nchi nyingine na kupokonya jimbo bila wasiwasi na kulifanya sehemu yake! Dah! Jamaa ni washenzi. God forbid.
Kama unazungumzia Crimea umechemsha.wananchi bila kushurutishwa wamepiga kura na kuchagua kuwa upande wa Russia. Good
 
Mkuu tutaanza kuelekezana tukasome pia historia za akina Estonia, Belarus, Uzbekistan, Kazakhstan, Georgia, n.k. maana ni wale wale.

Mbona kuna jamaa mweledi amaeleza vizuri kuhusu Crimea, tatizo lako linato kana na a rabid hatred ya everything Russian - revisit your comments herein halafu ujitathimini - unabishi hata vitu ambavyo ni so obvious kabisa!!
 
Mkuu tutaanza kuelekezana tukasome pia historia za akina Estonia, Belarus, Uzbekistan, Kazakhstan, Georgia, n.k. maana ni wale wale.

Mkuu usijaribu ku-derail mada - hapa tu nazungumzia kuhusu Crimea, haya mambo ya former Soviet Republics unaingiaje hapa, don't you forget kwamba Muungano wa Kisoviet ulikuwa wa hiari na utengano wao ulikuwa wa hiari vile vile, propaganda za west not withstanding.

Labda Nikuulize swali dogo,je,unataka kusema majimbo yote ya USA yaliungana kwa hiari? je, unajua kuna baadhi ya majibo yaliporwa kutoka Mexico,Hawaii, Purto Rico na Canada na kuunganishwa na USA kwa mabavu, bila kusahau Panama na visiwa vya Hawaii, Marshal Island na Diego Garcia - wewe unakazania kuisema vibaya Urusi bila yakuwa na facts at your finger tips.

Mwisho,Je, unajua chanzo cha 1860s Civil War nchini Amerika - kama unafikiri fukuto la uanzishwaji wa vita vya wenyewe kwa wenyewe lilikufa moja kwa moja baada ya Lincoln kushinda vita - think again - litahibuka tena as time goes by - in other words US haiuko United unlike watu wengi wanavyo fikira.
 
Jimbo la Texas, new Mexico, California toka kwa wa Mexico
Mimi nimezungumzia "nyakati za leo" za ustaarabu, sayansi na teknolojia, dunia ikiwa na vyombo mbali mbali vya kusimamia amani na utangamano including UN, etc. wewe unaniletea stori za enzi za feudalism Mkuu?

Leo kila nchi ina mipaka yake rasmi inayoeleweka na kutambuliwa kimataifa tofauti na enzi za ujima, mwenye nguvu mpishe, na well, ulikuwa ni mfumo sahihi kwa kizazi hicho hata kama ulikuwa na changamoto zake. Sasa Mrusi analeta ubabe wa kizamani katika zama mpya!
 
Back
Top Bottom