Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Muungane kwanza kumaliza matatizo yenu, muungane kwanza kukataa misaada yake. Kama mnamuitaji kuwasaidia kwenye miradi yenu ya maendeleo hamuwezi kuunga kumpinga.
Kwan ww umeelewaje maana ya "kuungana kumpinga???"
Uliyoyaorodhesha hapo ndio moja ktk kumpinga kwenyewe huko.