Salute kwake
.
hii lone survivor niliiona sijui mwaka juzi.
si ameigiza yule kaka alo-act titanic
waarabu wabaya sana kuna mtu alienda kuchinjwa kwenye gogo
kama kuku......
s/o kwa wanajeshi wote!!!! salute ziende kwenu
wanaume wa Kweli.
next week naenda kumuomba Co mwanajeshi mmoja anioe
siwezi kuolewa na kilaza