john issa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 915
- 1,758
Wewe sio great thinker, una mawazo ya kimaskini sana.Mwachie the bold ndo mbabe wa hizi kitu. Sio lazima wote tuandike. Unaharibu ladha ya mambo
Wewe sio great thinker, una mawazo ya kimaskini sana.Mwachie the bold ndo mbabe wa hizi kitu. Sio lazima wote tuandike. Unaharibu ladha ya mambo
Salute kwake.
hii lone survivor niliiona sijui mwaka juzi.
si ameigiza yule kaka alo-act titanic
waarabu wabaya sana kuna mtu alienda kuchinjwa kwenye gogokama kuku......
s/o kwa wanajeshi wote!!!! salute ziende kwenuwanaume wa Kweli.
next week naenda kumuomba Co mwanajeshi mmoja anioesiwezi kuolewa na kilaza
![]()

Nimecheka kwa sauti kweli kweli!
kwannNimecheka kwa sauti kweli kweli!

Ewaaaaaanichagulie Mp mmoja![]()
Ma general ni wengi, kuna mwingine anaitwa general managerila nna ndoto za kuolewa na General![]()

nataka MEJA JENERALIMa general ni wengi, kuna mwingine anaitwa general manager![]()
![]()
![]()

Vipi mkuu umesoma kitabu cha wimbo wa gaidi ndio kitabu chake kipya cha sasa hivi nacho kipo vizuri sanaNiliisoma na nina kitabu chake mkuu....
Nawakumbuka sana akina Stealth,Alpha,Honey-Bee,Vampire,Cheetah na wengine mkuu...
Jamaa ni mkali sana kwa kutunga....