X ..heshima kwako,
mimi naona huruma sana, tukiacha hizo jokes na porojo za Tumain, ni kweli wanakufa wengi bila hatia, na tunapohubiri AMANI lazima tuhubiri amani kweli, tunapoendekeza mashindano ya silaha kama ambavyo Iran anataka kujiingiza kwenye huo mkumbo lazima ajizatiti kwelikweli ila kama atakuwa na siraha kisha akawa hana mifumo mizuri ya kuitetemesha USA kama alivyo CHINA , kweli ajiandalia mauti na maangamizo.
China amejizatiti kwelikweli, wale si debe tupu na ndio maana USA anawagwaya.
Jiingize kwenye Technologia ya vita halafu huna uwezo wa kutishia kulipua NY,LV,LA kweli utakua matatani.