Wanatengeneza tatizo alafu wanajitokeza kuleta utatuzi wa tatizo walilolotengeneza wenyewe,oldest trick in the book.hii strategy naona hata mzee jiwe naye anaitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupe tafsir ya ugaidiWW 2 ni ugaidi?
Vita vya ghuba ni ugaidi?
Rejea mantiki ya topic mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita vyovyote ni ugaidi,kikubwa we ulete mfadhaiko tu kwenye jamii Fulani tayar we no gaidi na unafanya ugaidi,au unahisi ugaidi ni lazima mtu aseme Allah Akbar!Vita vya Kagera ni ugaidi?
Wanauza silaha na kutengeneza ajira kwa vijana wao. Lakini wanapojitokeza kukusaidia lazima kuna masharti utapewa ikiwa ni pamoja na kuwapa fursa za kiuchumi. Unafikiri South Korea kuna mwekezaji mChina au Mrusi.Duh. Hatari.
Tafadhali naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu anisaidie.
√ Je, kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, U.S military bases ziko mataifa yapi?
√Hao US ni upi uhusika wao na ikiwa wanahusika na vitendo vya kigaidi vya Al-Shabab huko Somalia na Kenya wao wananufaika na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule mzungu hapo Kenya eti toka shambulio la west gate alikuwepo akaokoa watu, na hili la juzi alikuwepo akaokoa watu!
Yule atakuwa jasusi na huenda pengine ndio akikuwa anawaelekeza ingilieni hapa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamil tiger ipo sir Lanka.Thailand kuna Tamil Tigers, Burkina Faso na Niger imetengenezwa Boko Haram pale Nigeria na inazidi kuimarika, South Korea amejaa kuendeleza mgogoro na North Korea. Na post haijataja ugaidi pekeake.
hizo nchi zote ulizozitaja hapo zina face matatizo ya uwepo wa kambi za usa kwa njia yake ya kipekee kwa mfano Japan na south korea wazani waona jinsi gani north korea na china wanavyotishia maslai ya nchi hizo ukanda huo wa asia ukija thailand nako vikundi vya kigaidi vipo tena vingi tu ukija nchi zilizobaki kama niger magaidi wapo wengi tuJapan, Thailand, Burkana Faso, Niger, South Africa na South Korea kuna military base za US lakini hakuna vikundi wala vitendo vya ugaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Korea kusini kuna kampuni gani kubwa ya kigeni?Wanauza silaha na kutengeneza ajira kwa vijana wao. Lakini wanapojitokeza kukusaidia lazima kuna masharti utapewa ikiwa ni pamoja na kuwapa fursa za kiuchumi. Unafikiri South Korea kuna mwekezaji mChina au Mrusi.
Sas kama China na North Korea ndo anawatisha Korea na japani.huoni kwamba hao ndo wenye matatizo huoni kwamba wana haki ya wao kuwa na washirikahizo nchi zote ulizozitaja hapo zina face matatizo ya uwepo wa kambi za usa kwa njia yake ya kipekee kwa mfano Japan na south korea wazani waona jinsi gani north korea na china wanavyotishia maslai ya nchi hizo ukanda huo wa asia ukija thailand nako vikundi vya kigaidi vipo tena vingi tu ukija nchi zilizobaki kama niger magaidi wapo wengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu Elimu ElimuVita vyovyote ni ugaidi,kikubwa we ulete mfadhaiko tu kwenye jamii Fulani tayar we no gaidi na unafanya ugaidi,au unahisi ugaidi ni lazima mtu aseme Allah Akbar!
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo ishu kubwa sio matatizo kumbuka china uwezo wake kwa kivita na kibiashara marekani kuweka base japan na s.korea kulinda maslahi yake na ushawishi asiaSas kama China na North Korea ndo anawatisha Korea na japani.huoni kwamba hao ndo wenye matatizo huoni kwamba wana haki ya wao kuwa na washirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya kutibu malaria haitibu mafua!!Japan, Thailand, Burkana Faso, Niger, South Africa na South Korea kuna military base za US lakini hakuna vikundi wala vitendo vya ugaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya kutibu malaria haitibu mafua!!
Kila eneo na malengo maalum! Kusoma Sana sio kigezo cha kufaulu mtihani!!
Mkuu shidah haziishi hakuna tajiri anaweza rizika na alicho nacho lazima awaze kukiongenza na kukilinda na kufanya ambaye hana asiwe nacho!!!US wana mabaya yao mengi ila mengine tusiwasingizie[emoji23][emoji23][emoji23]