US: Growing fears Syria may use chemical weapons

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
327
The US says it fears Syria's President Bashar al-Assad may resort to using chemical weapons against his people.
White House spokesman Jay Carney said the US was concerned that such an action may be taken by "an increasingly beleaguered regime".
A Syrian official has insisted it would "never, under any circumstances" use such weapons, "if such weapons exist".
Meanwhile, the United Nations says it was pulling "all non-essential international staff" out of Syria.
As many as 25 out of 100 international staff could leave this week as the situation around Damascus deteriorates, the UN news agency Irin reports.
 

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,854
1,128
The US says it fears Syria's
President Bashar al-Assad may resort to using chemical weapons against
his people.
White House spokesman Jay Carney said the US was concerned that such an
action may be taken by "an increasingly beleaguered regime".
A Syrian official has insisted it would "never, under any circumstances"
use such weapons, "if such weapons exist".
Meanwhile, the United Nations says it was pulling "all non-essential
international staff" out of Syria.
As many as 25 out of 100 international staff could leave this week as
the situation around Damascus deteriorates, the UN news agency Irin
reports.

Ah! hao wamarikani (the detroyers) ndivyo walivyo,hapo wanataka kuhalalisha kichapo kwa wa Syria tu! kwani kwa Iraq walisemaje? si walidai hivyo hivyo! haya yametimia!
 

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,370
4,297
Ah! hao wamarikani (the detroyers) ndivyo walivyo,hapo wanataka kuhalalisha kichapo kwa wa Syria tu! kwani kwa Iraq walisemaje? si walidai hivyo hivyo! haya yametimia!

Hawa wanywa damu wamemkusudia Assad. Vyombo vya bbc na western media wameanza kutumika kujenga mazingira ya hofu na kuhalalisha "humanitarian intervention".

BBC wametoka na hii ili kumjenga Assad kuwa ni Sadam wa Syria. Halabja chemical weapons: A chance to find the men who armed Saddam. link BBC News - Halabja chemical weapons: A chance to find the men who armed Saddam

Bonge la propaganda, psycho war.
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,467
9,828
Mkuu sasa kwa nini Urusi, China na Iran hawamsadii Assad moja kwa moja!!! Haya machafuko ndani ya Syria ni mbinu za kutaka kuweka Serikali puppet ili baadae waitumie Syria kama launching PAD ya kuivamia IRAN - wanacho tafuta pale siyo Assad per se, hii ni mikakati yao ya kuishambulia IRAN eventually kwa kupitia Syria.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom