US finds mineral riches in Afghanistan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US finds mineral riches in Afghanistan

Discussion in 'International Forum' started by Edo, Jun 14, 2010.

 1. E

  Edo JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Report: US finds mineral riches in Afghanistan: AP  WASHINGTON – A team of U.S. geologists and Pentagon officials has discovered vast mineral wealth in Afghanistan, conceivably enough to turn the scarred and impoverished country into one of the world's most lucrative mining centers, The New York Times reports.
  "There is stunning potential here," Gen. David H. Petraeus, commander of the United States Central Command, told the paper in a report published Monday. "There are a lot of ifs, of course, but I think potentially it is hugely significant."
  Americans discovered nearly $1 trillion in untapped mineral deposits in Afghanistan, including iron, copper, cobalt, gold and critical industrial metals like lithium, according to the report. The Times quoted a Pentagon memo as saying Afghanistan could become the "Saudi Arabia of lithium," a key raw material in the manufacture of batteries for laptops and cell phones.
  The report said the U.S. Geological Survey began aerial surveys of Afghanistan's mineral resources in 2006, using data that had been collected by Soviet mining experts during the Soviet occupation of Afghanistan in the 1980s. Promising results led to a more sophisticated study the next year.
  Then last year, a Pentagon task force that had created business development programs in Iraq arrived in Afghanistan and closely analyzed the geologists' findings. U.S. mining experts were brought in to validate the survey's conclusions, and top U.S. and Afghan officials were briefed.
  So far, the biggest mineral deposits discovered are of iron and copper, but finds include large deposits of niobium, a soft metal used in producing superconducting steel, as well as rare earth elements and large gold deposits in Pashtun areas of southern Afghanistan, the report said.
  Report: US finds mineral riches in Afghanistan - Yahoo! News
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Yeah, it now all come together.

  Siku nyingi nilikuwa najiuliza haswa sababu za kwenda kupigana Afghanstan, sasa it sums up all.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nawaonea sana huruma askari na familia zao ambao wengi wao wanatoka kwene poor neighborhoods na familia fukara ambao wamekuwa brainwashed na kutumika kwa maslahi ya wachache.
   
 4. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Karibu Abdulhalim, Je!!! ndio unaamka sasa na kujiweka tayari kupokea ukweli kwamba September 11 ulikuwa ni mpango mahsusi wa kutafuta "pretext"???. Tafadhali usilale tena, and don't waste time to be personal against M-Joka for this post, na wala usihofu ku-face it. Usidanganyike kwamba eti uki-face it, eti utakuwa unapiga hatua kuingia katika dini unayoichukia ya uislamu, laa hasha. You are just facing the truth, simple.

  1. Si unakumbuka roho ngapi ziliteketea pale? Sit back and look, unajisikiaje moyoni mwako kusherehekea wakati kundi la watu wa imani fulani kuwa ndio wanakuwa accused na jambo lile kwa kiasi ambacho inakuwa absolute impossible to find any avenue whatsoever, ya kujitetea??
   
 5. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huruma ni matendo ya kimoyomoyo (actions of the heart) ambayo anapofanya mtu kihalali na kuelekeza panapostahili, bali humpendezesha Mwenyezi Mungu Muumba na mtu yule anahalalikiwa kwake malipo mema kutoka kwa Mola Muumba wa mbingu na ardhi. Kumbuka conditions ni 1. Kuhurumia kihalali na 2. Kuelekeza panapostahili.

  Ndugu yangu Abdulhalim, halalisha huruma zako na uzielekeze kwa wanaostahili kuhurumiwa ili uzoe fadhila za bure za Mola muumba wetu. Kinyume na hivyo, basi usipoteze nguvu ya emotion zako bure ukawa kama hao waliopoteza maisha yao baada ya kuwa brainwashed.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,403
  Likes Received: 81,428
  Trophy Points: 280
  Afghans say US team found huge potential mineral wealth

  Page last updated at 14:48 GMT, Monday, 14 June 2010 15:48 UK


  [​IMG]
  Copper deposits are already being exploited
  Afghanistan may have more than a trillion dollars worth of untapped mineral deposits, a spokesman for the ministry of mines has suggested.
  The statement came after reports in the New York Times of the work of a team of Pentagon officials and US geologists.


  They discovered large quantities of iron and copper as well as valuable deposits of lithium.
  However, questions are being asked about the timing of the release of the latest information.

  The BBC's Jill McGivering says that at a time of growing despair about Afghanistan and its government, the portrayal of the country as a potential goldmine could help to bolster international resolve and paint the country as a prize worth fighting for.

  Lithium is an increasing vital resource, used in batteries for everything from mobile phones to laptops and key to the future of the electric car. Bolivia boasts the largest reserves.


  'Trillion-dollar resources'
  Ministry of mines spokesman Jawad Omar said he could not confirm the exact value of Afghanistan's mineral wealth but had no doubt it would have a very big impact on the country's development.

  If exploited, Afghanistan would become self-sufficient, he said, and no longer need foreign aid.
  President Hamid Karzai's spokesman, Waheed Omar, was quoted by news agency AP as saying: "The result of the survey ... has shown that Afghanistan has mineral resources worth $1 trillion.
  "This is not an overall survey of all minerals in Afghanistan. Whatever has been found in this survey is worth $1tr."

  The findings were made by the US Geological Survey under contract to the Afghan government, he said.
  The New York Times cited an internal Pentagon memo which said Afghanistan could become "the Saudi Arabia of lithium".
  There are already plans to exploit mineral wealth in Afghanistan with Chinese backing for a copper mine at Aynak in Logar province.
  'Battle for influence'
  It sounds like welcome news for a country which desperately needs development, our correspondent says.
  But the discovery of mineral wealth will not provide an overnight solution.
  It would take years to build a large-scale mining industry and unless there is peace, it will be hard for investors to guarantee security, our correspondent says.
  With so much more to fight for, it may also make a peace deal harder to forge.
  If Afghanistan's strategic value suddenly increases, so too might the battle for influence between regional giants India and China, and of course the United States, our correspondent adds.
   
 7. bona

  bona JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  at least the country cud be useful
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Usilamu na Mungu vimeingiaje kwene hii thread???lol
  Ukiwa fanatic kila kitu ni KIZA KINENE.

  Funny enough.Hii kadhia sijui inahusiana vp na 9/11.
  Sasa hao askari wa kimerekani waliokuwa brainwashed wana tofauti gani na WEWE BLIND FOLLOWER.Actually,ninakujibu baada ya kukuondoa kwa muda kutoka kwene IGNORE LIST ili usijione ktk wenye ufahamu na hikma.

  Nadhani unayetakiwa kuamka ni wewe. Wewe ambaye unadhani kuwa Wamerekani wanapigana vita dhidi ya dini fulani.

  Wamerekani wangekwenda hata Brazil au Australia wakijua kipo wanachokitafuta huko, it is as simple as that. Sasa niambie wewe al Qaeda bin Hizbullah, askari wa mungu mwenye uhitaji na shida ya kupiganiwa, wamerekani wanatafuta nini kule North Korea, nchi ya watu wasio na dini? Of course utaja nipa mfano wa Iran, ila blind-following inakufumba macho kujua ni kwamba Iran kinachotafutwa sio USILAMU. Kinachofuatwa kule ni mafuta, na IRAN ni nchi tajiri yenye hifadhi za mafuta. Hii nchi inaeza kuwa target kwa Wamerekani baada ya ku-secure reserves za Iraq na Saudia Arabia.

  Kumbuka Iran ipo kwene top 30 kwa GDP kwa takwimu za mwaka jana.Ni taifa ambalo halijakubali rasilimali
  zake zishikiliwe na mabeberu. Hio ndio sababu ya kuandamwa na katu sio USILAMU.

  Sasa nani anastahili ku-amka hapa?
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Sasa suala la USA kutoka huko ni ndoto manake hadi wayakamue haya madini!
   
 10. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2010
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa tunaweza kuzungumza au ndio utajificha kwa kuweka post zangu kwenye IGNORE LIST??.
  Ni vipi? Hebu fanya ustaarabu uniambie ili nisipoteze muda wangu bure pasipo kusikilizana wakati wa kuambizana. Hizi tabia nyengine sisi hatujazoea, tafadhali wafanyie hao waliokufundisha. Sisi ni waTanzania?

  Na vipi scenario hii: Taaliban walishaanzisha utawala wa kiislamu Afghanistan na misingi ya kuendesha mambo ya nchi sio kijamii tu, bali kisiasa, kielimu, kidola na kiuchumi nk kiislamu. Nchi jirani kama Pakistan ilishaanza kufuata mtindo huo huo. Kama kawaida walianza hivi katika humble means, na wao sio kama wanafiki wa Northern Alliance na wengineo wenje mtazamo wa ku-capitulate na mifumo ya kimagharibi na kusaliti uislamu. Unafikiriaje watu kama hawa wajaaliwe uwezo wa kiuchumi??? Huoni kwamba:

  1. waMagharibi ingewabidi kama wanataka chochote kutoka pale basi ingewabidi waingie katika mikataba ya HALALI ya kibiashara badala ya exploitations walivyozoea?

  2. Nani angefaidika kwa utajiri ulio katika ardhi ya waislamu kama sio waislamu??? Kumbuka hapa hatuzungumzii Iran (Aqeeda tofauti) au akina King Abdulla (puppets). Hapa tunazungumzia Taaliban.

  3. Faida za nguvu zile kiuchumi zingekuwa na consequence gani kwa wezi wa kimagharibi? politically, economically, etc. Iwe sasa hivi au karne ijayo. Wapi nguvu zile zingesimama kwa mipaka na wakati??. Kwa taarifa yako Uislamu kama mfumo wa maisha haupo kufuata mfumo wa kimagharibi uliojaa dhuluma (RIBA) na udanganyifu (exploitation) bali ni m-badala wa mfumo huo na unasimama katika kunufaisha walimwengu kwa utajiri kutoka kwa Mola wao (ZAKAAT) na SADAKA zinazotolewa kwa kutaka ridhaa yake. Inaposimama system ya ZAKAAT katika masuala ya fedha na uchumi basi system ya USURY (Riba, Interest) hufa kifo cha kawaida. Uchumi wa western capitalism unategemea nini??? ZAKAAT ndio inayokusudiwa na Mola Muumba wakati Usury (Riba, interest) inakusudua na madhalimu wa kiMagharibi chini ya himaya ya Kizayuni.

  4. Je wewe huna mtazamo au uoni wa kwamba madini yale kwa Afghnistan ambayo unalinganisha na utajiri mwengine wa natural resources walizonazo nchi kama Brazil, North Korea, Iran, nk zingekuwa na faida mbili za mapana na marefu tofauti?:

  i) ECONOMIC GAIN. Hii ni faida katika vipindi/mida miwili: a) kipindi au muda mfupi: Economic gain ya muda huu kwa taarifa yako waMagharibi hawauogopi hata ukamatwe na nani ikiwemo na Afghanistani iwe chini ya serekali yeyote ile ya kiislamu ama la, kwa maana economic gain ya muda huu wanaweza kushindana (compete) nayo. b) Kipindi au muda mrefu: Economic gain ya muda huu vile vile hawaiogopi sana kama itakuwa imekamatwa na watu ambao hawaonekane/hawana mtazamo ambao utaleta mabadiliko ya mfumo wa fedha na uchumi. Mkamato huu ndio wanaokuja nao China na other emerging economies, kwa maana kwa kuwa misingi ni ile ile ya kidhulumati (RIBA-Usury na exploitations) basi na wao wataendelea kuwemo, kulindwa, kushindana na kuimarika bila ya kulazimika kuanza upya (alifu kwa kijiti)

  ii) ISLAMIC GAIN: Tatizo wanalolihofu, wanalojaribu kulizima na ambalo kwa idhini ya Mola Muumba hawatoweza kufanikiwa, ni: 1. ECONOMIC GAIN YA MUDA MREFU 2. INAYOONGOZWA NA MISINGI YA KIISLAMU YA ZAKAAT NA SADAKA. Hii ndio sababu ya kuitengenezea ile "pretex" ya 9/11 Taaliban na siyo Brazil au North Korea au hata Saudi Arabia ijapokuwa unajua wewe hao wanasadikiwa kufanya hivyo ni raia wa wapi. Kwa misingi hiyo hiyo ijapokuwa wanajaribu kuitengezea Iran pretex, lakini hawana uhakika sana na wanachokihofu kwamba kipo Irani kuliko lilivyokuweko na Afghanistan ya TAALIBAN. Bomu ambalo halijakamilika na katika state ni rahisi kuli-suppress once and for all lakini sio rahisi ku-suppress movement ambayo inabarikiwa na economic power. Afghanistan Taaliban haikuwa tu ni dola bali ni movement.

  Ultimately wanalolihofu ni UISLAMU na kwa mtazamo wao finyu wanafikiria ni uwezo wa kiuchumi peke yake ndio unaoweza kusimamisha nchi/utawala na kuendesha movement kufikia superpower. Historia ya uislamu haina haitegemei hivyo na tayari wameshajinasa hawa. Time will tell. Unanifahamu Abdulhalim au utanitia katika ignore list. Kama utafanya hivyo basi tafadhali fanya japo nusu ustaarabu unijulishe/nitangazie.
   
Loading...