US donates two patrol boats to Isles govt

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
329
The US government has donated two patrol boats to the Zanzibar government in efforts to control criminal activities, particularly drug trafficking. This was said by State Minister in the First Vice-President's Office Fatma Abdulhabib Fereji when responding to a question by Tume constituency lawmaker on the Civic United Front (CUF) ticket Rufai Said Rufai on Wednesday.

She said the two boats were issued by the US embassy in the country for the aim of improving security, calling on the people to cooperate with state organs in the fight against drug trafficing in the Isles.

"The police force has received two modern patrol boats from the US government in efforts to fight drug trafficking and other crimes along the coast," said the minister.

She said the anti-drugs fight in the Isles faced a number of challenges, including its geographical position and environment, particularly the existence of numerous illegal ports along the coast.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
US waliuleta huu Mungano kwa kuogopa ukomonisti wa akina Abrahaman Babu,
Leo US wanajua kuna mafuta huko Zanzibar...wamefanya mazoezi ya kijeshi huko karibuni. wamepeleka mkonga wa umeme kutoka Tanga-Pemba.
Miaka ya nyuma US walipiga mabomu zile balozi zao kule Nairobi,Kenya na hapa Dar,Tanzania.
Baada ya tukio hilo,wakatupatia sheria ya ugaidi na money laundering.

US wamaweza kuigawanya Sudan.....connect the dots.
 
US hawezi kuunga mkono Zanzibar kujitenga! ukizingatia wale woote waliohusika na kupiga mabomu balozi za US Tanzania na Kenya ni Wazanzibari! Wanajua hivyo visiwa viko prone kiasi gani ku-harber existrimists!
 
Hivi kweli mtu na akili zake timamu anaweza kuamini kuwa US ndiyo iliyoshambulia mabomu ofisi zake za ubalozi Nairobi na Dar?
Nauliza tu.
 
Jibu: la, mtu mwenye akili timamu hawezi kushambulia ofisi zake. Lakini dunia haiongozwi na watu wenye akili timamu, yafaa ufahamu hivyo. Jee, George Bush ana akili timamu? Benyamin Netanyahu, Ehud Barak...etc? Na huyu wetu jee?
 
US hawezi kuunga mkono Zanzibar kujitenga! ukizingatia wale woote waliohusika na kupiga mabomu balozi za US Tanzania na Kenya ni Wazanzibari! Wanajua hivyo visiwa viko prone kiasi gani ku-harber existrimists!

Hayo ni mawazo yako au ndio msimao wa Marekani, na kama ni kweli weka ushahidi wa hayo maneno yako.
 
Jibu: la, mtu mwenye akili timamu hawezi kushambulia ofisi zake. Lakini dunia haiongozwi na watu wenye akili timamu, yafaa ufahamu hivyo. Jee, George Bush ana akili timamu? Benyamin Netanyahu, Ehud Barak...etc? Na huyu wetu jee?

ni viongozi wapi wewe unaowaona wana akili timamu?
 
US waliuleta huu Mungano kwa kuogopa ukomonisti wa akina Abrahaman Babu,
Leo US wanajua kuna mafuta huko Zanzibar...wamefanya mazoezi ya kijeshi huko karibuni. wamepeleka mkonga wa umeme kutoka Tanga-Pemba.
Miaka ya nyuma US walipiga mabomu zile balozi zao kule Nairobi,Kenya na hapa Dar,Tanzania.
Baada ya tukio hilo,wakatupatia sheria ya ugaidi na money laundering.

US wamaweza kuigawanya Sudan.....connect the dots.

Kweli wewe ni Nunda.
 
Back
Top Bottom