Miki123
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 289
- 505
Mwenzi mmoja umepita baada ya trump kuweka zuio la kukurupuka kwa huawei.
Sasa mambo yameanza kuwa sio mambo baada ya ofisi ya white house inayohusiana na mipango ya bajeti kuomba muda wa zuio uanze kufanya kazi baada ya miaka miwili.
Ewe mmarekani mweusi unaishi tanzania OMB wameomba iwe hivyo kwa sababu zifuatazo.
Kuna makampuni ya mawasiliano yanayotumia vifaa vya huawei na yanatoa huduma vijijini.
Zuio litaathiri baadhi ya contractors na sehemu kubwa.
Kuona hilo mr Russel (mkuu wa ofisi) akatumbua Donald Trump kakurupuka kwa kuchukua maamuzi ambayo hakuyafanyia hesabu.
Russel ameamua kuandika barua kwa makamu wa raisi wa US kuhusu hilo ombi.
Kichekesho, Kumbe Trump ana sababu ya msingi kwenye zuio la huawei.
Yaani kuhusu spying na porojo zingine hamna kitu.
Pamoja na kuongeza kodi kwa bidhaa za china imebidi atumie Huawei ili kuilazimisha china ifanye mazungumzo na us.
US chini ya trump ni dhaifu kuliko nyakati zozote.
Kwenye link wamelezea kwa kina kuhusu hili.
gizmodo.com

White House Office Requests 2-Year Delay on Huawei Ban For Federal Contractors
The White House’s Office of Management and Budget (OMB) has requested that Congress delay the ban on federal contractors using Huawei equipment. The ban,