US Bunker-Busting Bombs Ready to Go Against Iran

Keep on dreaming ... mmeshachelewa ... umeisikia hii Antey-2500 anti-ballistic missile systems ambayo Irani kauziwa na Russia juzi tu mwezi wa Tatu? ... mwanzoni alikuwa anataka kumpa S-300 missiles lakini baada ya Wazungu na Israel kulalamika wakasitisha mwaka 2007.

Sasa juzi baada ya kumtibua Russia kaamua amuuzie Irani hiyo ... keep on Dreamimg na ndoto zenu za Imperialistic za Kimarekani ... hamjui mnachokishadadia.
2013 .BINARY NO.MK254.Extraterrestrial.Elungata.



SOURCE:

1 http://www.wsj.com/articles/russia-offers-to-sell-powerful-air-defense-system-to-iran-1424703191

2. http://www.haaretz.com/news/middle-east/1.643806

3, http://rt.com/news/234855-russia-iran-missiles-deal/




video


.​
 
Last edited by a moderator:
So why arent they attacking iran if it is that easy?.
iran was once an empire,they can fight.
iran influence is growing,now four middle east country is under iran,=irag,syria,lebanon,yemen.
the empire is expanding and what does america do?.
 
There is no way in the world Izraeli are ever going to attack Iran.
But for the sake of argument lets say it is true.
the fact is that Izrael is not going to ask for permission and they will fly over the Saudi air Space ONCE and only ONCE (Beacuse the Saudi Zionist Family is weak). The Saudi corrupt family will gladly allow them to fly over their land but only ONCE because beyond that they can not pretend that they didn't know and that Izrael just flew over.
The best that Izrael can EVER do is one suprise attack and their real option is Saudi Arabia.
If Izrael flies over Iraq then they have to fly over Syria which will increse the chance of Iran knowing they are flying over Syria towards Iran.
If they fly over Turkey then they wil be forced down.
If they fly over Azerbaijan then not only Azarbaijan would have to take the brunt of Iran's anger but also of Russia's so they (Azari's) will not risk that either.
But again there is no way in the world Izraeli will have the B@lls to attack Iran.
 
-Mara nyingi huwa nipo against na Marekani, huwa nawaona kama ni taifa la wanyonyaji.
-Iran endelea kupiga domo kwa USA ila sio kuwavamia, mtafutwa.
 
Walishaisha zamani hao, mmoja Yuko 6 feet under , mwingine yupo kifungo cha nje, kimya Hana influence yeyote
 
Pieces of scrap they use radars , which can be disabled na Satelite signals
 
Last edited by a moderator:
Pieces of scrap they use radars , which can be disabled na Satelite signals
Tatizo lako unaangalia mambo kishabiki ... keep on believing hao wanaokuambia kuwa vitu kama US Aegis system. Currently installed on the most sophisticated US Navy warships ndio bora zaidi duniani.
sodoliki 2013 .BINARY NO.MK254.Extraterrestrial.Elungata.

Dont underestimate your opponent!

Wewe jiulize mbona juzi tu hapa the best sophisticated US Navy warships USS Donald Cookilikuwa DISABLED kwa ndege moja tu ya Kirusi ya SU-24 Flanker katika Black Sea!


And


Wewe endelea kuongea kishabiki ila hao wenzako wamerekani waliopo kwenye defense industry wanajua kuwa sio scrap

Read more:

AEGIS Fail in Black SEA, Ruskies Burn Down USS Donald "Duck" | Veterans Today

What frightened the USS Donald Cook so much in the Black Sea?

Did Russia Disable US Ship With Alien Technology? | Alternative
 
Kwanza Kwa mtazamo wako nadhani huoni Iran kama Nchi ya kiisilamu, kwani kuna wenzio wanakaataa, lakini pili, sioni
jinsi Iran inaweza kuikabiri israel au Marekani, unless kama unazungumzia proxy war kama Afghanistan au hata Iraq ambapo juhudi kubwa inatumika kwa Upande mmoja kuepukana na civilian casualties, lakini vita kwa vita Iran itatudi stone age
 
Ninaona spies wa Israel washaanza kusababisha chokochoko zao baada ya kuona shughuli ya Iran hawatoiweza peke yao
 

Unataka kumaanisha Iran itaipiga na kuishinda USA na Israel sio?

Iran wenyewe.pale ilipo inaomba dua ya dua lau ili tu vita isitokee. Kwani wanajua pasi na shaka kuwa USA wakishuka pale uayatollah woote kwishney...
Sasa wewe unawapa moyo wapenzinwa Iran, huku ukidhani USA ni watoto.

Miongoni mwa mambo yaliomporomosha Ahmednejan nchini kwake alipokuwa rais ni siasa zake zenye kupelekea tension ambayo mwaka 2008 ilibaki kidogo USA waivamie Iran.
Ndio maana una mwona Hassan Rouhan akijaribu kupooza tension hizi kwa majadiliano bila kujali kauli za msema hovyo supreme leader --------- wao.
Hakuna nchini pale mashariki ya kati yenye uwezo wa kusimama man to man na USA.
Ni upuuzi kuamini USA. Itakubali kushindwa vita.

Nakumbuka wakati Russia inapigana na waislamu wa chechnyia Putin alisema wakiwashindwa watatumia nuclear.
Sasa kama Russia iliwazA kutumia nuclear kwa vikundi vya kiislamu vya kigaidi tu. Itakuaje USA ikipigana conventions war na Iran unayosema imeuziwa silaha bora. Tena unadai ni bora kuliko za america. Kitu ambacho si cha kweli hata hivyo.
USA ni superior duniani. Na ndio nchini pekee yenye kupunguza majeruhi na vifo vya askari wake wa vita kuliko taifa lolote duniani.
Na hizi ni kutokana na usasa wa vifaa na ubora wa hali ya juu.
Iran itapigwa tu. Hata uje na ushahidi gani.huwezi zuia Iran wasipokee kichapo.

Tuombe mungu washindwane kwenye majadiliano na vita iibuke mwaka huu. Chungu na tamu itajulikana.
USA itashinda tu. Hakuna cha kuzuia.
Kinachowafanya USA kutokujiingiza kwenye vita ni pressure ya mataifa Makubwa kama Russia na China. Mataifa haya yamekuwa yakiichalenji USA ili isijiingize kwenye vita sambamba na vile USA inavyo yachalenji mataifa haya makubwa kwenye migogoro yao. Kama vile China na Japan,Taiwan, Xinjiang, mgogoro wa mpaka wa bahari na mbinu za vita dhidi ya ugaidi , utawala bora jamhuri ya watu wa China

Vilevile Russia kuna ugomvi na Japan, chechnyia, Ukraine, na mbinu za vita dhidi ya ugaidi.
Utaona kuwa kwenye migogoro yao.Mara nyingi USA imekuwa ikizikosoa.mbinu mbalmbali wanazotumia. Na wenyewe wamekuwa hawakosoani Bali wanamkosoa mmarekani kama retaliation.

USA haijafanikiwa vya kutosha kuzishawishi hizi nchi zitambue uhalali wa yenyewe kuipiga Iran.
Na kama mataifa ya arabuni kama saudia, yemen n.k. yataongeza kupaza sauti dhidi ya iran kama inavyoonekana sasa. Ni wazi kuwa USA itakuwa na vituo vingi vya kijeshi pale arabuni. Iran haitakuwa na pa kujificha. Na iran wanaweza wasirushe ndege kama alivyoshughulikiwa sadamu hussein.naf said
 
mtazamo wako nadhani huoni Iran kama Nchi ya kiisilamu
Mkuu sodoliki Mimi I don't care iwe ni nchi ya kiislam au siyo ... mimi mwenyewe siyo Muislam ... ila naongelea ukweli & sovereignty ya Independent country!

Leo hii na sisi hapa Tanzania tukiamua kujiendeleza kwenye sayansi ya Nuclear technology kwa ajili ya kuzalisha umeme etc kwa nini tunyimwe?, ni nani mwenye haki zadi yetu ya kutuzuia kufanya maendeleo yetu? (sovereignty) ndio msimamo wangu.

sioni jinsi Iran inaweza kuikabiri israel au Marekani
Sijasema kuwa Iran itaweza kuishinda America au Israel katika vita & wala siombei wapigane vita ila itawasaidia Wairan kama Taifa huru katika kujilinda dhidi ya mashambulio ya anga.

Itawafanya Wamerekani wajiulize mara mbili mbili kama it worth it marubani wao kufa vitani kwa kitu ambacho wanaweza kumaliza kwa mazungumzo.

And bytheway, hizi SAM S300 ni defensive by nature si kwa ajili ya kushambulia nchi nyingine .. so sioni ubaya wake.

kama Qaddafi wa Libya angekuwa na hizi s300 nakwambia hakuna nchi ya NATO ambayo ingejitoa kwenda Libya na kufanya mashambulizi yao as ndege zao zingetunguliwa. Sasa Libya ingeweza kuzuia uharibifu na vifo vilivyotokea baada ya kushambuliwa.

Mind you
- Hizi s300 hazijawahi ku-miss target
- Na pia sio ndege tu, ila zinatungua hata missiles kama Tomahawks za Marekani

Alafu unaposema civilian casualties Iraq ... kwani nani alianza kumshambulia mwenzake? - kwani Sadam alitangaza vita na Marekani? - kwa nini walimfanyia aggression katika second war ya Iraq?.


Kwa nini US yeye anapenda kuvamia nchi huru kila mara hebu angalia hapa ni watu wangapi wamepoteza maisha kwa sababu ya mambo haya ya US?

List of countries the USA has bombed since the end of World War II

Korea 1950-53
China 1950-53
Guatemala 1954
Indonesia 1958
Cuba 1959-60
Guatemala 1960
Belgian Congo 1964
Guatemala 1964
Dominican Republic 1965-66
Peru 1965
Laos 1964-73
Vietnam 1961-73
Cambodia 1969-70
Guatemala 1967-69
Lebanon 1982-84
Grenada 1983-84
Libya 1986
El Salvador 1981-92
Nicaragua 1981-90
Iran 1987-88
Libya 1989
Panama 1989-90
Iraq 1991
Kuwait 1991
Somalia 1992-94
Bosnia 1995
Iran 1998
Sudan 1998
Afghanistan 1998
Yugoslavia – Serbia 1999
Afghanistan 2001
Libya 2011

Na hapo hatujaweka zingine kama Serbia na nyingine

Afghanistan (1998; 2001-),
Yemen (2000; 2002-),
Macedonia (2001),
Colombia (2002-),
Pakistan (2005-),
Syria (2008; 2011-),

Haya katika hizi ... hebu niambie kashinda wapi? - pote baada ya kufanya uharibifu anaondoka na kuacha moto unaendelea!

Afghanistan (1998; 2001-), - bado anaedelea kupigana na hajashinda anataka kukimbia sasa
Yemen (2000; 2002-), - kachemka na drones zake mpaka sasa Saudi kaingilia
Colombia (2002-), - mpaka leo bado kunawaka
Pakistan (2005-), - drones kila siku watoto na wanawake wanakufa
Syria (2008; 2011-), - kaanzisha mwenyewe US na sasa ISS wametamalaki baada ya kuona maji ya shingo sasa anataka kufanya mazungumzo na Assad baada ya uharibifu
Libya 2011 - still burning!

Sasa mnataka muiharibu na Iran?!!

Haya sasa niambie Iran imeivamia nchi gani? - taja hata moja alafu ndo tujue aggressor ni nani!

cc: 2013 .Elungata.Aleyn.sodoliki.Frank Wanjiru.kivava.MK254.FaizaFoxy.Extraterrestrial.
 


Kwanza kabisa Hapa wewe unakubali uongo wa Iran kuwa inataka kutumia nuclear kwa matumizi ya kawaida wakati wako kwenye mkakati makini wa nuclear missile.

Kumbuka Wakati George Walter Bush anaitangazia dunia kuhusu nchi tatu kama axis of evil duniani.

wakati huo Iran na North Korea hazikuwa kabisa na mkakati wa ki-nuclear.

Bush Aliitaja hadharani NK, Iraq na Iran. Bush Akaenda kuichapa Iraq. Ndipo North Korea ikawafukuza wataalam wa UN waliokuwa wakilinda vinu vya nuclear, ikadai inatengeneza nuclear kwa maslahi salama. Baada ya muda NK ikakiri kuwa inajua kabisa USA akimaliza Iraq atakuja kwao. Hivyo wanajipanga.

Hapo hapo Iran wakaja na huu mpango wa nuclear kwa matumizi ya energy.

USA wameupinga wakitolea sababu kuwa Iran ina vyanzo vingi vya energy ikiwemo mafuta. Na ikashuku mpango huo wa Iran. Kuwa ni wa kujiarisha kijeshi.

Kwahiyo nawezA kusema mikakati ya hizi nchi ni ya kijeshi zaidi. Lengo juu ni Ili kuzuia uwezekano wa kushambuliwa kijeshi na USA . istoshe USA alikataa kusaini mkataba na Pyongyang wa kutoshambuliana kijeshi. USA is no fool, Iran and North Korea are also not fool.

Hatari ya Iran iko dhahiri kwa mataifa mbalimbalib

ya uarabuni ikiwemo Yemen ,Saudis, Qatar, israel n.k.
Kwahiyo kusema hatazivamia kijeshi ni udanganyifu kwakuwa iran amekuwa akiihujumu Israel kupitia proxy war, na vikundi vya kigaidi. Na sasa anaendeleza mgogoro wa kichinichini na Yemen.
Iran waliiwezesha kikundi cha kigaidi cha Hezbollah kufanya mashambulizi mabaya zaidi kuwahi kufanywa dhidi ya Israel yakapelekea Israel kulipua uwanja wa ndege wa Beirut.
Kwahiyo Iran sio safi kihivyo. Ma ndio maana mataifa ya arabuni yana mshuku.

Kuhusu USA na vita ya yugoslavia alikuwa inahusu NATO na Russia akiwa rafiki wa karibu wa milosevic hakuingilia hii vita ili kumsapoti rais wa wakati huo marehemu milosevic kipindi cha bill clinton. Ni vita iliyokuwa na baraka pande zote.
Vita ya mwaka 90ya Iraq usa alikuwa na Baraka zote. Isipokuwa vita ya Iraq ya majuzi tu ndio vita iliyoleta mgogoro Mkubwa . Kuhusu afghanistan ilikuwa sahii kwa USA kwenda. Hakuna aliyelaumu.

Kwa bahati mbaya hapa umeorodhesha mlolongo wa vita mbalimbali.Bila kujua hizi vita zina maudhui tofauti zipo ambazo zilihitajika ili kusaidia jamii dhidi ya madkteta na magaidi na zipo zilizoonekana zinadhulumu haki za watu.
Vita ya somalia nayo MISSIOn were Accomplished. Na ilikuwa na Baraka zote. Japo wako wanaofikiria kuwa USA ilishindwa. USA haikushindwa.
 

LOL!






 
Syria kabla ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ili kuwa na viffaa the most modern soviet technology can offer, leo Nchi imebaki suburbs mbili Damascus, Magogu juu ya Magofu , Middle East countries Nyingi hazina terrain ambayo inaweza kukabili technology kama North korea, kila kitu kiko Waziri sana kwa sababu ya jangwa . You will be surprised, kwanza Iran wenyewe hawata ruhusu
 
Iran ilivamia Iraq wakati wa sad dam hussein, na vita ya miaka kumi walipoteza Askari karibu a million. Jifanye umesahau
 
Lazima utambue kuwa kama Marekani au Israeli wata launch attacking kwa Iran, Saudi arabia ata support, na Ndiyo anna yake itatumika , between the two uadui ni mkubwa kuliko unavyodhani, na nyuma ya Saudia, kuna all Sunni authoritative Arab countries including misri, Pakistani, na falme za kiaarabu
 
photoshop, kaweke instagram
Mkuu hiyo katika last 2 photos ni lugha ya picha tu!

Haya nakuwekea Video kabisa & then you tell me

Meaning, nyie baada ya kusema Mission Accomplished in Iraq -what happened next there? - nchi ikawa distabilised na multitude Terrorist organisations ambapo ikabidi muongeze tena idadi ya askari ili kudhibiti hali hiyo ... then what did mission achieved? - labda kama ilikuwa ni destabilization of a country!

Haya come Libya & Sysria, mkawatumia Alkaeda wenu kumtoa Qaddafi

Qaddafi alikuwa analilalamika kuwa wanaofanya fujo Bengazi ni AlQaeda nyie mkakataa huku mnadai eti ni peaceful protesters - haya what happened baada ya kumuua Qaddafi! - si nyie wenyewe mmewaona Alqaeda wenu mliowa-fund na kuwatrain ndio wanarun hiyo Libya?

Video Qaddafi akilalamika mnampelekea Alqaeda kumtoa



Haya come Syria mkawapa training & silaha hao hao Alqaeda ili wamtoe Asad, Asad akawa analalamika kuwa mnamletea Alqaeda ku-destabelise his country nyie mpaka leo mnakataa eti mnawaita ni Moderate Islamist! - wewe niambie "moderate Islamist yupi anachinja na kula moyo wa binadamu mwenzie?

Mkaambiwa kuwa ni Alqaeda mkakataa, matokeo yake mpaka Alqaeda wenyewe wakawa disown hao jamaa kutokana na violence yao ndio mnakuja kushtuka baada ya kusema wanataka kuanzisha Islamic State mnaanza kuwapiga mabomu =- Mission relaunced!

Je kama mngemsikiliza Gadafi alipowaambia kuwa wale ni Alqaeda kulikuwa na haja ya watu wote hao kupoteza maisha yao? - na Gadafi alikuwa siku zote alalilia dialogue lakini nyie kwa sababu mlijifanya vichwa vigumu mlikataa!

Sasa bila hata aibu mnasema "we need Russia partnership in defeating ISIS/Alqaeda" kwani Russia ndio walitengeneza ISIS & Alqaeda? - mmelikorega wenyewe sasa msubiri mlinywe!

& For your info tu ni kuwa baada ya hao jamaa kutoka Middle East kifuatatacho ITV ni Terrorism katika miji yenu wenyewe Europe na US as ndio raia wenu wenyewe wanarudi nchini mwao.

cc: Bukyanagandi Elungata mng'ato .
 
Last edited by a moderator:
Iran ilivamia Iraq wakati wa sad dam hussein, na vita ya miaka kumi walipoteza Askari karibu a million. Jifanye umesahau
Yaani wewe ndio unazidi ku-prove kuwa hujui lolote, kama hujui nyamaza

Iran-Iraq War

The protracted war between these neighboring Middle Eastern countries resulted in at least half a million casualties and several billion dollars' worth of damages, but no real gains by other side. Started by Iraq dictator Saddam Hussein in September 1980, the war was marked by indiscriminate ballistic-missile attacks, extensive use of chemical weapons and attacks on third-country oil tankers in the Persian Gulf. Although Iraq was forced on the strategic defensive, Iran was unable to reconstitute effective armored formations for its air force and could not penetrate Iraq's borders deeply enough to achieve decisive results. The end came in July 1988 with the acceptance UN Resolution 598.

Wikipedia: The Iran–Iraq War began when Iraq invaded Iran via air and land on 22 September 1980.

Source:

Iran-Iraq War - Facts & Summary - HISTORY.com

Iranâ€"Iraq War - Wikipedia, the free encyclopedia

Haya sasa niambie Iran imeivamia nchi gani? - taja hata moja alafu ndo tujue aggressor ni nani!

Angalia hii picha vizuri

Former Secretary of Defence Donald Rumsfeld meets with Saddam Hussein in December 1983
 
it does not change the issue, it show the capability of Iran as marked, ukashabikia 20 years imechange na kufaifanya super power utashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…