US bombers fly close to North Korea

Najua wengi tunaleta ushabik tuu, ila wana US ni watu wenye akili mno, mission zao huwa zina akili sana, kiduku atakuja chezea kichapo npaka dunia itashangaa
Mtaongea hivyo hivyo miaka yote, lakini hamta rusha hata jiwe pale Nk
 
Mtaongea hivyo hivyo miaka yote, lakini hamta rusha hata jiwe pale Nk
[emoji23]
[emoji23] au wapeleke zile jahazi zao zikiwa locked and loaded!! waone zitakavyo fumuliwa bila kufuata utaratibu!
 
Haa haa we jamaa utavunja mbavu zangu ila kiduku asiwategemee sana hao Russia na China by the way naamini kiduku anazo silaha za kisasa kutoka Russia na China ila hawezi weka hadharani.
 
Haa haa we jamaa utavunja mbavu zangu ila kiduku asiwategemee sana hao Russia na China by the way naamini kiduku anazo silaha za kisasa kutoka Russia na China ila hawezi weka hadharani.
China hata mwacha Mpwa wake ateketee, atamsaidia kwa kila hali.
 
Pia jiulize hao wanajeshi wa China walikua wangapi ukilinganisha na wa Marekani?!
Na hapo ndo waliishia pale DMZ wakati US alianzisha kichapo tangu vijijini huko South korea wakaja Seoul wakakamata Pyongyang mpaka vijijini huko kichapo kilitembezwa. Cheza na US wewe
 
[emoji106] [emoji122] [emoji122]




Mkuu vipi, naona kama vile lugha imeanza kubadilika hivi...lol!
Hahahahahaha.... Fundi kaishiwa pozi baada ya kuona tumeruka kwenye pwani yao huku bwana kinguruwe akituangalia tu
 
Russia lazma umpe sapot Nk
Hata ya kiwiz wiz
Hiyo inajulikana mkuu, unadhani Marekani halijui hilo. Ila Russia hawez kuingia mazima NK eti apigane na Marekani. Msikilize vizuri Putin hotuba zake kuhusu vita na Marekani, alishasema vita vya Russia na Marekani ni maangamizi kwa pande zote mbili. Japokua hawa wawili wamekua wakipigana kwa kuviziana kama vile kutumia magaidi, washirika, nk
 
Hakuna kitu hapo NK wa zama hizo sio wa zama zile,zama zimebadilika,huyu wa sasa ana nukes,hydro bombs,biological na UCBM na huko top ten ya dunia katika uimara wa jeshi,kama Vietnam iliwashinda waoneeni waarabu otherwise endeleeni kutweet na huyo ngurue wenu mzee.Hamfikirii pamoja na vikwazo vyote tunasonga mbele
 
Nani kakwambia NK yupo top ten kwa ubora wa kijeshi?!
Na akina India,Pakistan, UK, German, France wawe namba ngapi?!
Kama Marekani iliingia Pakistan na kujam rada zao na kumuua Osama bila Pakistan kujua sembuse NK. Then fananisha Pakistan na nk nadhan jibu unalo.

Hizo ICBM Marekani anayo mitambo ya kuzitungua kabla hata hazijafika hata Guam, jiulize NK ana mitambo ya kuzuia ICBMs za Marekani?!
 
 
Huyo unae msifia kuwa mwenye mitambo ya kuzuia ICBMs, alishawahi kuzuia ICBMs ngapi...?
 
Hhahahaha..Endelea na ushabiki maandazi.
 
N. Korea releases propaganda photos of U.S. bomber, supercarrier under attack

2017-09-24 15:16

Normal FontLarge Font

SEOUL, Sept. 24 (Yonhap) -- North Korea on Sunday released propaganda photos of a U.S. bomber and a supercarrier under attack, hours after the same type of aircraft flew in international airspace off the country's eastern coast.

A state-owned propaganda site, DPRK Today, unveiled a doctored photo in which Pyongyang's Pukguksong missile strikes a U.S. strategic bomber B-1B.


DPRK is short for the Democratic People's Republic of Korea, the North's full name.

The photo was released merely hours after the U.S. military announced U.S. Air Force B-1B Lancer bombers, deployed from Andersen Air Force Base in Guam, flew with F-15C air superiority fighters from Kadena Air Base on Okinawa. It was designed as a show of force against North Korea amid an escalating war of words between Pyongyang and Washington.


This doctored photo, released by the North Korean propaganda website, DPRK Today, on Sept. 24, 2017, shows a U.S. strategic bomber B-1B being struck by North Korea's Pukguksong missile. (Yonhap)

The photo was part of a video that also portrayed U.S. President Donald Trump, seen speaking at the celebration of the U.S. Air Force's 70th Anniversary at Joint Base Andrews, as "a mad man."

Then the North's Pukguksong-2 missile, a medium-range ballistic missile, is seen launched toward a B-1B and a F-35, and the photo captures the two jets engulfed in computer-generated fire.

Also in the video, a North Korean submarine-launched missile strikes the USS Carl Vinson, a nuclear-powered flattop.

The subtitle of the film says, "Should F-35, B-1B and the Carl Vinson lead the U.S. attack, they will head to the grave in that order."


This doctored photo, released by the North Korean propaganda website, DPRK Today, on Sept. 24, 2017, shows the USS Carl Vinson, a nuclear-powered supercarrier, getting hit by a North Korean submarine-launched missile. (Source: Yonhap)
Hii propaganda ya western au kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…