US bombers fly close to North Korea

Tutajie ni vita gani USA alipigana bila Allies?
 
Na ubabe wake bado tu anajipitisha pitisha kama mtoto wa kike. Kama ana nguvu si amchape tu tujue moja.
Ukiona mwanamke anapita anatingisha chura ujue bado hajafanywa!
 
Biological Arsenals. This what we call North Korea.
 
kama marekani anategemea zaidi ndege za kivita kwenye mission, ni rahisi kushindwa vita iwapo adui atakuwa na good and accurate Air defense systems kma S 300, S 400, & S 500 za Urusi zenye uwezo mkubwa wa kutungua ndege na ku-intercept makombora
 
Marekani ni kama mbwa anayebweka bweka alafu hana madhara, yaaani anabweka tu kama jibwa koko!1

Kiduku amevurumusha makombora mawili kwenye anga la japan yeye mmarekan anacheza rede kwenye pwani ya kiduku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…