US authorities fire tear gas to disperse migrants at border

US authorities fire tear gas to disperse migrants at border

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,378
Maafisa wa usalama wa Marekani Jumapili waliwarushia mabomu ya kutoa machozi na kuwatawanya wahamiaji waliokuwa wakikaribia kuingia Marekani kutoka Mexico.

Mapema Jumapili, maafisa wa kulinda mipaka walifunga barabara ambayo ndiyo kivukio kikubwa zaidi cha wahamiaji wanaoingia Marekani katika juhudi za kukabiliana nao.

Hii ni baada ya Rais Donald Trump kutangaza kwamba utawala wake haungewaruhusu kuingia Marekani kwa urahisi.

Usafiri ulisitishwa kwa saa kadhaa kufuatia kufungwa kwa barabara kati ya miji ya San Diego na Tijuana.

Hata hivyo, baadaye, shughuli kwenye barabara hiyo ziliruhusiwa kwendelea.

Hali ya wasiwasi imekuwa ikitanda katika eneo hilo, katika siku za karibuni, kufuatia maelfu ya wahamiaji kutoka nchi za Amerika ya Kusini, kuwasili kwenye uwanja mmoja wa michezo mjini na Marekani.

Shirika la habari la Reuters liliripoti kwamba serikali ya Mexico, ilitangaza Jumapili kwamba ilikuwa imeuchukua tena udhibiti wa mpaka baada ya takriban wahamiaji 500 kujaribu kuvuka mpaka wa kuingia Marekani kwa nguvu.
======

A major US-Mexico border crossing in San Diego was closed for hours on Sunday after a group of migrants on the Mexican side rushed the border area, leading US Border Patrol agents to fire tear gas at the group.

About 500 migrants on the Mexican side of the border overwhelmed police blockades near the San Ysidro Port of Entry Sunday afternoon, two journalists at the scene in Tijuana told CNN.

As the migrants tried to cross the border, authorities on the US side used tear gas to disperse them, the journalists said. Video of the scene showed a cloud of tear gas that sent people running and screaming, including families with young children.

US Customs and Border Protection said the migrants threw projectiles that struck several agents.
"Border Patrol agents deployed tear gas to dispel the group because of the risk to agents' safety," the agency said on Twitter.

The incident marked an escalation of tensions that have been mounting since groups of Central American migrants began arriving in Tijuana a few weeks ago on their journey to attempt to gain entry to the United States.

The migrants' presence has drawn demonstrators -- for and against them -- and threats from President Donald Trump to close the US-Mexico border. Meanwhile, Tijuana's mayor has called on the Mexican government and the international community for help.

The melee closed one of the world's busiest international crossings, San Ysidro Port of Entry, to vehicle and pedestrian traffic for several hours. By Sunday afternoon, CBP reopened crossing lanes in both directions to pedestrians and vehicles.

Mexico's Interior Ministry said federal and local authorities stopped the migrants Sunday from crossing the border illegally. Those identified as having tried to illegally cross will be processed for deportation to their home countries, the ministry said.

By Sunday night, Tijuana police had arrested 39 people, the agency said on Facebook.

The Interior Ministry described Sunday's incident as "acts of provocation" and warned that far from helping the migrants' cause, it could result in a serious incident on the border.

1.jpg


2.jpg
 
Hao nao si wabaki tu huko makwao!

Sielewi kwa nini wanalazimisha kwenda Marekani.
 
Waache uwaki hao wahamiaji,wameshindwa kukaa kwenye nchi zao wanaanza kuingia nchi za wengine kwa lazima,wafuate sheria za nchi husika la sivyo wasiishie kupgwa mabomu 2 ya machozi,bali watandikwe risasi za moto ili akili iwakae vzuri....
Hakuna maisha mazuri bila kufnya kazi
 
Trump anawaita Caravans.Hizi ni kura za bure kwa Liberals uko mbeleni,ndo maana wanawatetea kwa kila hali waingie US.
 
Waache uwaki hao wahamiaji,wameshindwa kukaa kwenye nchi zao wanaanza kuingia nchi za wengine kwa lazima,wafuate sheria za nchi husika la sivyo wasiishie kupgwa mabomu 2 ya machozi,bali watandikwe risasi za moto ili akili iwakae vzuri....
Hakuna maisha mazuri bila kufnya kazi
Kumbuka wana damu kama wewe
 
Nawakumbusha kituo cha haki za binadamu hapo Mikocheni kutoa tamko la kulaani matumizi ya nguvu kupita kiasi yaliyofanywa na majeshi ya marekani dhidi ya ndg zetu wahamiaji
 
Uhamiaji umegeuka mzimu unaozitesa nchi za magharibi pamoja na Marekani.
 
Back
Top Bottom