US Army Dogs evacuated

SirAlfred006

JF-Expert Member
Sep 21, 2020
512
1,224
The US army combat dogs being evacuated.

Hawa mbwa wana vyeo vikubwa sana.

Hapa inaonyesha wazi jinsi wanavyotunzwa na Department Of Defense.

IMG_20210816_154600.jpg
 
Kuna siku nikimkejeli mbwa Africa kusini,

Nikataka kukamatwa kwa kosa la kumkashifu mbwa officer..

Hao wana vyeo kama walivyo binadamu.
 
si kuna wimbo kule jeshini depo unasema,jeshi ni shughuli ndio maana mbwa hakuna wako polisi!!!!
 
Back
Top Bottom