US anakwenda kuaibika tena Red Sea

US anakwenda kuaibika tena Red Sea

Majini mema yanapenda kweli uchokozi ila yenyewe hayataki kuguswa sijui yale mabaya yakoje?!.
 
US Eisenhower aircraft carriers baada siku 19 inaondoka Ghuba ya Uajemi kuelekea Bahari nyekundu kujaribu kudili na Houthi tuone kama meli za Israel hazita endelea kutekwa na kulipuliwa endapo zitakaidi kujisalimisha....

After 19 days in the Persian Gulf

The aircraft carrier Eisenhower heads for the Red Sea

Many countries refused the US call to sacrifice their warships for Israel, the US could use the Eisenhower aircraft carrier to try to deter the Houthis

But I doubt the Yemenis care about a few more American ships coming their way.View attachment 2844255
Ni vichekesho kuamini hao wafuga kondoo wana chochote cha kufanya kutishia taifa kama US. Kimsingi hao ni panya road waliochangamka.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
𝑊𝑎𝑘𝑖𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑝𝑖𝑔𝑤𝑎 𝑗𝑢𝑢 𝑐ℎ𝑖𝑛𝑖 𝑚𝑠𝑖𝑎𝑛𝑧𝑒 𝑘𝑢𝑙𝑖𝑎 𝑙𝑖𝑎 𝑜𝑜𝑜ℎ 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑢𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑤𝑎𝑘𝑒 𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜!
 
𝑊𝑎𝑘𝑖𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑝𝑖𝑔𝑤𝑎 𝑗𝑢𝑢 𝑐ℎ𝑖𝑛𝑖 𝑚𝑠𝑖𝑎𝑛𝑧𝑒 𝑘𝑢𝑙𝑖𝑎 𝑙𝑖𝑎 𝑜𝑜𝑜ℎ 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑢𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑤𝑎𝑘𝑒 𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑜𝑡𝑜!
Russia hakuua watoto aliwabeba tu kutoka sehem yenye vita akawaeka sehem salama zisizo na vita na mnaojiita watetezi wa haki za binaadam mukalialia na kupiga kelele
Iwenye wajinga wajinga waue kabisa watoto wasioshika hata kula zao halaf tukae kimya
Kama wanaume na wanaguvu wapige wanaohusika uone kama kuna mtu ataibua sauti kupiga kelele
Yaani unataka watu wapige hospital makanisa misikiti na shule halaf watu wakae kimya
Poleni sana ila hatutaacha kuongea tukiona munaua watoto na wasio husika na mambo yenu
 
Aircraft Carrier sio meli ya ulinzi

Aircraft Carrier ni meli ya mizigo (ya kubeba ndege vita).

Haiwezi kukaa hapo kwani itakuwa vulnerable... kuna meli vita ndio zinaweza kuwa Station hapo kulinda meli za mizigo lakini sio Aircraft Carrier ndio iwekwe hapo.
Yeap , aircraft carrier inatengeneza strike group kwenye msafara wake kunakuwa na submarines, destroyers, frigates na vikorokoro vingine ko inakuwa kama moving military base wakati huohuo carrier imebeba jet fighters nyingi ndani yake kiufupi kazi yake sio ndogo
 
Kwa hiyo the only solution ni Kuijeruhi ama kuizamisha hii Carrier?
 
Makobaz mna utindio wa ubongo, yaani akili zenu zero and hopeless, hivi Houthi apigane na US? Mna akili au matope, nothing you know about this world, mko like dead brain human beings. Houthi watafukiwa wote na kupotea duniani na hata their body remains hamtaona..!! Wait and see..!!
 
The Abu Mahdi long-range anti-ship missile has entered service with both the Islamic Republic of Iran Navy (IRIN) and the Islamic Revolution Guard Corps Navy (IRGCN),

View attachment 2844302
Tornado ndio kitu hatari sn kwa meli ingawa marekani anatumia detector like whale hivyo unaweza isikia hata Dar mlandizi wkt inakuja and satellite za us sasa zipo mashariki ya kati pale US yupo radhi kufa lkn achukue mafuta/gas and mineral jangwani aka mashariki ya kati vimejaa hivyo
 
Makobaz mna utindio wa ubongo, yaani akili zenu zero and hopeless, hivi Houthi apigane na US? Mna akili au matope, nothing you know about this world, mko like dead brain human beings. Houthi watafukiwa wote na kupotea duniani na hata their body remains hamtaona..!! Wait and see..!!

USA amepigana vita ipi na akashinda?

Embu tuanzia hapa, maana mifano ipo mingi.
 
Back
Top Bottom