US anakwenda kuaibika tena Red Sea

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,306
35,852
US Eisenhower aircraft carriers baada siku 19 inaondoka Ghuba ya Uajemi kuelekea Bahari nyekundu kujaribu kudili na Houthi tuone kama meli za Israel hazita endelea kutekwa na kulipuliwa endapo zitakaidi kujisalimisha....

After 19 days in the Persian Gulf

The aircraft carrier Eisenhower heads for the Red Sea

Many countries refused the US call to sacrifice their warships for Israel, the US could use the Eisenhower aircraft carrier to try to deter the Houthis

But I doubt the Yemenis care about a few more American ships coming their way.
IMG_20231216_192534.jpg
 
Shida ni kwamba meli zinapita kwenye Yemen territorial waters (Gulf of Aden)

Kwa hiyo ni lazima zifanye call ya kupita hapo na ziruhusiwe.

Kwa hiyo serikali ya Yemen ndio inaamua meli ipite au isipite. Na serikali ya Yemen inaongozwa na Houthi

Ndio shida ilipo.
 
Basi Yemen kumbe ni wababe wa Dunia inabidi haya makali yao wayaonyeshe mpaka UN huko
 
Shida ni kwamba meli zinapita kwenye Yemen territorial waters (Gulf of Aden)

Kwa hiyo ni lazima zifanye call ya kupita hapo na ziruhusiwe.

Kwa hiyo serikali ya Yemen ndio inaamua meli ipite au isipite. Na serikali ya Yemen inaongozwa na Houthi

Ndio shida ilipo.
Ngoja tuone watàkuwa na uwezo wa kuizuia hili lidude lisikatishe hapo red sea?
 
US Eisenhower aircraft carriers baada siku 19 inaondoka Ghuba ya Uajemi kuelekea Bahari nyekundu kujaribu kudili na Houthi tuone kama meli za Israel hazita endelea kutekwa na kulipuliwa endapo zitakaidi kujisalimisha....

After 19 days in the Persian Gulf

The aircraft carrier Eisenhower heads for the Red Sea

Many countries refused the US call to sacrifice their warships for Israel, the US could use the Eisenhower aircraft carrier to try to deter the Houthis

But I doubt the Yemenis care about a few more American ships coming their way.View attachment 2844255
Kwahiyo ww mmatumbi wa Kibanda maiti intelligence Yako Iko juu kuliko CIA na MOSSAD sio?
 
US Eisenhower aircraft carriers baada siku 19 inaondoka Ghuba ya Uajemi kuelekea Bahari nyekundu kujaribu kudili na Houthi tuone kama meli za Israel hazita endelea kutekwa na kulipuliwa endapo zitakaidi kujisalimisha....

After 19 days in the Persian Gulf

The aircraft carrier Eisenhower heads for the Red Sea

Many countries refused the US call to sacrifice their warships for Israel, the US could use the Eisenhower aircraft carrier to try to deter the Houthis

But I doubt the Yemenis care about a few more American ships coming their way.View attachment 2844255
 
Ngoja tuone watàkuwa na uwezo wa kuizuia hili lidude lisikatishe hapo red sea?

Aircraft Carrier sio meli ya ulinzi

Aircraft Carrier ni meli ya mizigo (ya kubeba ndege vita).

Haiwezi kukaa hapo kwani itakuwa vulnerable... kuna meli vita ndio zinaweza kuwa Station hapo kulinda meli za mizigo lakini sio Aircraft Carrier ndio iwekwe hapo.
 
Back
Top Bottom