Urusi yashambulia ISIS kwa makombora mapya kabisa

Urusi yashambulia ISIS kwa makombora mapya kabisa

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
7,476
Reaction score
9,654
3482cad322f6716009b5319fb4e910c9.jpg
Tu-95 Bombers

Jeshi la Urusi limefanya mashambulizi dhidi ya ISIS kwa makombora yake mapya Kh-101 strategic cruise missile. Sehemu za kuhifadhia silaha na kituo cha mawasiliano cha kundi hilo la kigaidi viliharibiwa.

Ndege za kijeshi za Urusi Tu-95 ziliruka toka kambi ya jeshi nchini Urusi kuelekea Syria huku zikijazwa mafuta angani kufanya mashambulizi hayo.

884880ac300e3c6af61fd49a3e7edd6b.jpg
Kh-101 Cruise missile

Makombora hayo ya Kh-101 yana uwezo wa kwenda hadi umbali wa 4500 km lakini mahali yalipofyatuliwa ni 1000km toka Syria

MY TAKE; Naona Syria imekua ni sehemu ya kila nchi kujaribu silaha zake kuanzia Marekani, Urusi, Israel, Uturuki, Iran, etc, baada ya Urusi sijui nan atafata kwenda kujaribu silaha yake mpya?!
 
Bado North Korea kufyetua kombora la masafa marefu hadi Syria kwenda kumtisha Isreal, we are waiting
 
Bado North Korea kufyetua kombora la masafa marefu hadi Syria kwenda kumtisha Isreal, we are waiting
Mkuu Israel wale hawanaga simile wale ukirusha hata baruti ikatua kwenye ardhi yao lazima walipize tena hawachukui hata mda. Half kingine Israel ina kombora linaloweza kufika Pyongyang.
Israel wana kombora linaitwa Jericho III(ICBM) Range yake ni 11,500km. Huku umbali toka Israel had Korea ni 8038km. Hvyo Israel inaweza kupiga popote pale ndani ya North korea.
 
Ww inaonekana ni Pro - Marekani. Russia unajua ameingia lini Syria? Ni kwa nn useme anatest silaha zake as if hujui kazi kubwa aliyifanya ya kuwachakaza ISIS/ISSIL katika ardhi ya Syria? Nani rafiki wa kweli wa Syria?
 
Urusi ndio super power kwa kila kitu. Forget about western media propaganda.
 
Naona mrusi anawanaliza ISS syria mdogomdogo
 
Mkuu Israel wale hawanaga simile wale ukirusha hata baruti ikatua kwenye ardhi yao lazima walipize tena hawachukui hata mda. Half kingine Israel ina kombora linaloweza kufika Pyongyang.
Israel wana kombora linaitwa Jericho III(ICBM) Range yake ni 11,500km. Huku umbali toka Israel had Korea ni 8038km. Hvyo Israel inaweza kupiga popote pale ndani ya North korea.
acha uongo jericho linafika km 5000 tu
 
Ww inaonekana ni Pro - Marekani. Russia unajua ameingia lini Syria? Ni kwa nn useme anatest silaha zake as if hujui kazi kubwa aliyifanya ya kuwachakaza ISIS/ISSIL katika ardhi ya Syria? Nani rafiki wa kweli wa Syria?
Kwani ni Urusi tu ndo nimemtaja mkuu?!
 
Kwani ni Urusi tu ndo nimemtaja mkuu?!
Hii haina ubishi, U.S.A hawataki serikali ya ASSAD, wkt RUSSIA ndio mshirika wake mkuu na aliyeanzisha ISIL anajulikana, anae.sapoti waasi wa Syria anajulikana. na mwisho anaye.test zana zake Syria anajulikana. Ila aliyeenda kufanya kweli kafanya kweli ni rafiki wa hali na mali.
 
Mkuu Russia na US wote wanasapot magaidi.Mbona Russia anawapa silaha na kusapot Taleban. US anaunga mkono ISIS.Iran inaunga mkono Hezbollah. Israel inatibu ISIS.
Hivyo hakuna hata mwema sema tu wanazidiana.
 
Back
Top Bottom