Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,506
- 10,872
Umoja wa Mataifa waruhusu Urusi kutoa msaada wa silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati
17.12.2017 ~ 17.12.2017
Umoja wa Mataifa waruhusu Urusi kutoka msaada wa silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo ilikuwa ikikabiliwa na vikwazo tangu mwaka 2013.
Urusi aliwakilisha barua kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati ikiomba msaada wa silaha kwa jeshi lake kutokana na vikwazo vinalolikabili taifa hilo Umoja wa Mataifa.
Jamhuri ya Afrika ya Kati imeomba msaada huo wa silaha kwa ajili ya vikosi vyake viwili ambavyo vinapewa mafunzo na Umoja wa Ulaya.
Taarifa zilizotolewa na mwanadiplomasia alienukuliwa na kituo cha habari cha VOA zilisema kuwa Urusi imeruhusiwa kutoa msaada wa silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Silaha zitakazo tolewa katika awamu ya kwanza ni bastola 900 aina ya Makarov, bunduki 5 200 aina ya AKM, bunduki maalumu za shabaha 140, kalachnikovs 840, RPG na makombora 20 kwa ajili ya ulizi wa anga.
Tagi: Umoja wa Mataifa , UN , Jamhuri ya Afrika ya Kati , Urusi