Urusi yapitisha ndege za Kijasusi Alaska, Marekani

Russia amechelewa kwenye mipango hii ya kuiteka Alaska angalia Sweden na Finland tayari wameanza mchakato wa kujiunga NATO...hii mikwala mbuzi ya Russia haijaanza Leo ni miaka mingi huwa anafanya upelelezi wa Aina hii
 
Eti nini? Kwamba Russia avamie Alaska? Aliuza mwenyewe saivi anataka kupeleka makalio yake kwa wanaume wanafikiri ni Crimea hiyo hahahaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom