Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

Inasemekana Russia ana miamba/mawe ambayo yapo milimani, wametumia mawe haya ili kuweza kutengeneza vificho kwa ajili ya mambo kama haya ya nuclear.
 
Bado mapema sana US kuweka majeshi yake pale, na kwanini atume majeshi wakati Ukraine bado anafanya vizuri uwanjani?
 
Bado mapema sana US kuweka majeshi yake pale, na kwanini atume majeshi wakati Ukraine bado anafanya vizuri uwanjani?
Kwa usiku wa jana pekee russia ameua wanajeshi 500 wa ukraine, USA hatopeleka wanajeshi Ukraine mark my words.
 
Kwa usiku wa jana pekee russia ameua wanajeshi 500 wa ukraine, USA hatopeleka wanajeshi Ukraine mark my words.
Mbona yeye hasemi amepoteza askari wangapi? Vita ni propaganda mkuu, atakuja Ukraine atasema amepoteza askari 40, utabisha?
 
Inasemekana Russia ana miamba/mawe ambayo yapo milimani, wametumia mawe haya ili kuweza kutengeneza vificho kwa ajili ya mambo kama haya ya nuclear.
Nuclear bomb inayeyusha chuma tena pure steel siyo hivi vyuma chakavu itakuwa mawe? Russia hata aifunike nchi yake kwa vyuma vizito akianzisha vita ya nyuklia naye atamalizwa instant na ndiyo maana wataendelea kupiga domo tu la vitisho vya nyuklia ila kujaribu hawatojaribu
 
Kumbe?
Lakini USA alitumia na kuua watu zaidi ya laki mbili.
Wakati USA anaitumia Japan nyuklia Russia hakuwa nayo by then ndiyo project manhtan ya nyuklia ilikuwa ipo on fire huko us ikiwa ni alliance ya uk, usa na canada, so nchi zingine hazikuwa na silaha za nyuklia za kumjibu usa hata russia angetataka asingeweza mjibu US maaana hakuwa na hiyo teknolojia ya nyuklia. Russia silaha za nyuklia kazipata baadae kwa ujasusi wa kupata information kutokea usa.
 
Tokea hata vita havijaanza US alishasema hatapeleka jeshi lake ukraine maana kupeleka itakuwa ni direct war na Russia.Mataifa haya China, USA, Russia na UK hayawezi pigana vita ya direct tit for tat maana uharibif wake ni mkubwa sana kwao na kwa dunia kumbuka uchumi wa russia unapitwa na india na brazil so ni uchumi unaojijenga, usa na china wamejenga uchumi kwa jasho, machozi na damu hawa wote vita vya moja kwa moja hawatopigana maana ina maanisha chumi zao zitaharibika na hawako tayari kuona hilo, Ila USA kwa sababu ya nguvu yake kubwa ya kuichumi inapobidi ana uwezo wa kuzikung'uta Russia na China kiuchumi na hata Kicyber na sometime amewahi fanikiwa kusambaratisha tawala na nchi kama alivyosambaratisha soviet union. Putin angekuwa ana Nyuklia peke yake duniani angekuwa ashainyuka ukraine angalau hata kidogo but lazima akili yake inamwambia akiinyuka atakuwa salama? na akikumbuka US ilichoifanya hiroshima na nagasaki basi anabaki kubwabwaja tu nyuklia nyuklia. Russia si ndiyo alisema atakayemsaidia ukraine silaha atakiona mbona nchi kibao zinamsaidia ukraine silaha na hana cha kuwafanya sasa kama hili kashindwa kulitimiza ndo ataweza kuswitch on button ya nyuklia?
 
M
Masiraha wanamletea yeye, anamiliki siraha zinazoletwa na akina NATO kabla hazijatumika Kwa ukraine
 
Maandiko yanakataa hiyo "Hypothesis." Hakuna atakaye haribu dunia ila ni aliyeiumba tu.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kuwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine yataendelea, huku akionya kuwa hatari ya Vita ya Tatu ya Dunia ni kubwa na haiwezi kudharauliwa
Aliahidi kuwa Ukrain itakuwa ime-surrender ndani ya siku tatu: leo ni siku ya 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…