Urusi yaomba msaada Marekani wa kupambana na Corona

Urusi yaomba msaada Marekani wa kupambana na Corona

Vifo na mambukizi yanazidi kuongezea Marekani
Screenshot_20200519-203822.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya corona kuizidia Urusi imeomba msaada wa tiba kwa Marekani ambapo Waziri wake wa mambo ya nje Sergei Ryabkov amesema wagonjwa wameongezeka kwa kasi.

Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amesema nchi yake tayari imepeleka vifaa kadhaa vya upimaji kwa taifa hilo la Urusi ambalo hadi sasa lina Wagonjwa zaidi ya laki mbili na elfu 90 huku vifo vikiwa 2,722
 
Kama ni kweli ni kuwa sio kwamba inahitaji msaada kutoka kwao bali ni kuwa wanataka waonyeshe umoja na ushirikiano ktk janga hili, pia misaada haina maana kuwa wanaitaji hela, mtu anapokuambia anataka msaada pengine ata wa mawazo, hata maisha ya kawaida tajiri huwa anataka msaada wa maskini humu mitaani mwetu.
US walifanya mass productgion ya Ventilators baada ya Trump kusitisha uagizaji kutoka China.Makampuni kama Tesla Motors na General motors walianza kusaidia kutengeneza Ventolators.Kwa sasa wana ventilaltors nyingi sana kutokana na uzalishaji mkubwa walioufanya,.Sasa Russia kuomba msaada kwa huu mwanzo ni kawaida,hata mwanzo wa maambukizi US,Russia walipeleka mask na Test kit Marekani pia..So ni kawaida tu kusaidiana mkuu,wala usitunisjhe misuli kuitetea Russia..Kusaidiana kwenye majanga ni kawaida tu..Hata Urusi wakisha u contain ugonjwa watakuwa na vifaa idle vingi tu,so watasaidia nchi nyingine pia..
 
Back
Top Bottom