Urusi yaomba msaada Marekani wa kupambana na Corona

Urusi yaomba msaada Marekani wa kupambana na Corona

Kama ni kweli ni kuwa sio kwamba inahitaji msaada kutoka kwao bali ni kuwa wanataka waonyeshe umoja na ushirikiano ktk janga hili, pia misaada haina maana kuwa wanaitaji hela, mtu anapokuambia anataka msaada pengine ata wa mawazo, hata maisha ya kawaida tajiri huwa anataka msaada wa maskini humu mitaani mwetu.
Sawa tumekuelewa msemaji wa Russia
 
Russia wemesema hali ni mbaya kwa sasa na wanaupungufu, na wanasema wanavihitaji kwa haraka hivyo vifaa make kwa leo tu kuna case mpya zaidi ya 8900 na serious case zinaongezeka maradufu, Pompeo kawahakikishia vifaa viko njiani. Nashangaa unapokuja na blah blah zako hapa wakati hii ni habari tu kama habari nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kubishana na hao wafia dini mzee....utapoteza muda wako bure!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hali ya Marekani ni nzuri,.....Compare idadi ya walio kufa katika nchi hizo mbili.
hali ya upatikanaji wa vifaa tiba vya corona ni nzuri. hali ya maambukizi na vifo vya corona ni mbaya ila sio Kama mwanzo, mfano leo Marekani kuna new cases 405 vifo 55 wakati Russia kuna new cases 9263 vifo 115

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hali ya upatikanaji wa vifaa tiba vya corona ni nzuri. hali ya maambukizi na vifo vya corona ni mbaya ila sio Kama mwanzo, mfano leo Marekani kuna new cases 405 vifo 55 wakati Russia kuna new cases 9263 vifo 115

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuangalia tu hapo ni nani mwenye hali mbaya.mwenye kesi nyingi ila vifo vidogo au mwenye kesi ndogo vifo vingi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani wamekufa watu elfu 92, 000 wakati Urusi wamekufa watu 2900.sasa hapo nani mwenye hali mbaya ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo ni vifo kwa ujumla toka gonjwa lianze, kinachozungumziwa hapa ni hali ya hivi sasa. Kwa mtazamo wako huo basi na china ana hali mbaya kuliko Russia sababu china ana vifo 4,634, lakini kiuhalisia Russia ana hali mbaya kuliko china sababu kwa leo tu Russia anazika 115 wakati china hakuna kifo, Leo Russia wagonjwa 9263 wakati china wagonjwa 6 tu. So ukiulizwa Russia na China nani ana hali mbaya unajibu nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo naona mwenye kesi nyingi ndo ana vifo vingi pia.
Afu Marekani vifo na maambukizi yanapungua, wakati Russia yanaongozeka ukilinganisha na hapo awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa akisema kuwa Tanzania tunazalisha vilaza mnamuona mbaya.hata hesabu za kujua ni asilimia ngapi inakupiga chenga.

1)Urusi mambukizi ya leo ni-9263
Vifo -115
Inamaana ni asilimia 1.2

2)Marekani mambukizi ni 405
Vifo -55
Inamaana ni asilimia 13

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo ni vifo kwa ujumla toka gonjwa lianze, kinachozungumziwa hapa ni hali ya hivi sasa. Kwa mtazamo wako huo basi na china ana hali mbaya kuliko Russia sababu china ana vifo 4,634, lakini kiuhalisia Russia ana hali mbaya kuliko china sababu kwa leo tu Russia anazika 115 wakati china hakuna kifo, Leo Russia wagonjwa 9263 wakati china wagonjwa 6 tu. So ukiulizwa Russia na China nani ana hali mbaya unajibu nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Update- chat ishabadilika
Screenshot_20200519-171605.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli ni kuwa sio kwamba inahitaji msaada kutoka kwao bali ni kuwa wanataka waonyeshe umoja na ushirikiano ktk janga hili, pia misaada haina maana kuwa wanaitaji hela, mtu anapokuambia anataka msaada pengine ata wa mawazo, hata maisha ya kawaida tajiri huwa anataka msaada wa maskini humu mitaani mwetu.
Unafikiri Urusi ni mashia menzako?
 
Hivyo ni vifo kwa ujumla toka gonjwa lianze, kinachozungumziwa hapa ni hali ya hivi sasa. Kwa mtazamo wako huo basi na china ana hali mbaya kuliko Russia sababu china ana vifo 4,634, lakini kiuhalisia Russia ana hali mbaya kuliko china sababu kwa leo tu Russia anazika 115 wakati china hakuna kifo, Leo Russia wagonjwa 9263 wakati china wagonjwa 6 tu. So ukiulizwa Russia na China nani ana hali mbaya unajibu nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Du! iyo sasa kali ya mwaka.uwezi kupata jibu kamili kwa kuangalia tu siku ya leo ndugu, ni lazima ujue ugojwa umeingia lini na mambukizi yapo vipi na vifo vipo vingapi.

Kuna siku China watu walikufa mpaka 4600 na Marekani kuna siku walikufa watu zaidi 3000. Wakati sasa ivi mambukizi yanapungua Urusi na hakuna siku waliokufa hata watu 300

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkubwa akisema kuwa Tanzania tunazalisha vilaza mnamuona mbaya.hata hesabu za kujua ni asilimia ngapi inakupiga chenga.

1)Urusi mambukizi ya leo ni-9263
Vifo -115
Inamaana ni asilimia 1.2

2)Marekani mambukizi ni 405
Vifo -55
Inamaana ni asilimia 13

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hesabu zako hizi ama kweli Tanzania tunazalisha vilaza, utahusianishaje vifo vya leo na maambukizi ya leo wakati idadi ya hivyo vifo havitokani na wagonjwa wa leo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli ni kuwa sio kwamba inahitaji msaada kutoka kwao bali ni kuwa wanataka waonyeshe umoja na ushirikiano ktk janga hili, pia misaada haina maana kuwa wanaitaji hela, mtu anapokuambia anataka msaada pengine ata wa mawazo, hata maisha ya kawaida tajiri huwa anataka msaada wa maskini humu mitaani mwetu.
Ni kweli kabsa mkuu.............nina uncle wangu ni meneja taasis moja kubwa hapa nchini, alipatwa na shda ofsin kwake akakimbilia kwa mzee wangu wa STD 7 kuomba ushauri, akashauriwa vema , uncle karudi kazn kafanya alivishauriwa, mambo super tena akasifika kwel, wazir mwenye dhamana akamuelewa akampromote akamwamishia HQ.
 
CHUKUA HII BASI, kama ana upungufu kwa nn Aliwapa Italy misaada mengi sana, akawapa Venezuela, China aliwapa misaada Urusi, pia Uturuki aliwapa misaada marekani, Pia marekani ilishawahi kuiba box nyingi za tools zilizokua zikipelekwa Ulaya hio habari ilivuma sana, Je unajua kuwa India ilisitisha uuzaji wa madawa yake kutoka nje na Marekani akawa anawapa biti wauze kwa lazima? Russia sends three batches of fabric for face masks to Iran in humanitarian aid

#Russia #CoronaVirusIran @RusEmbIran

Russia sends three batches of fabric for face masks to Iran in humanitarian aid

[emoji115]Hio leo imetokea Urusi imewapelekea Iran misaada na sio kama Iran hana hivyo vitu, ina maana wanaonyesha Relationship between 2 countries

Sent using Jamii Forums mobile app
"No man is an Island " John Donne.
 
Du! iyo sasa kali ya mwaka.uwezi kupata jibu kamili kwa kuangalia tu siku ya leo ndugu, ni lazima ujue ugojwa umeingia lini na mambukizi yapo vipi na vifo vipo vingapi.

Kuna siku China watu walikufa mpaka 4600 na Marekani kuna siku walikufa watu zaidi 3000. Wakati sasa ivi mambukizi yanapungua Urusi na hakuna siku waliokufa hata watu 300

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia nchi gani iko kwenye Hali mbaya kwa sasa utazungumziaje hali ya zamani! Utasemaje china iko kwenye hali mbaya kuliko Urusi au Kenya wakati china sasa wamerelax na leo wana kesi 6 tu na hawana upungufu wa vifaa tiba?! Au kwa kuwa siku za nyuma waliugua na kufa sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ventilator kadhaa Kama 2000 zipo njiani kuelekea Urusi wale ni wamoja wanajua wanachokifanya hawana ule ugomvi unaotangazwa kama watu wanavyodhania...
 
Back
Top Bottom