mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,151
- 58,882
Trump kwenye maswala ya jeshi ni boya tu. Hajui chochote. labda mwambie aongeze ushuru wa karanga za kutoka TZHuyo mwanamke anamjua Trump vizuri?
Akili za kuombiwa ongeza na zako. Ni nani mjinga kuua raia wake bila sababu ya msingi?Mbona hasemi ubaya wa serikali ya damascus kushambulia raia wake kwa kisingizio cha magaidi?
Rusia puuzi kabisa!