Uko sawa na hapa saula siyo kwamba nani ni mzuri ama nani ni mbaya kikubwa ni je Africa sisi kama sisi tunaweza kujisimamia ? hakuna mwizi wenye afadhali wote ni wezi tu urusi kwa historia ya africa alifanya mazuri lakin ni huko nyuma Sasa ivi Dunia imebadilika kila mtu anataka maslahi yake, halafu kwenye masula ya hoja mambo ya upinde yanatoka wapi mkuu? Africa Suala la ushoga sio hata kipaumbele chetu maana tuna Mila na desturi zetu pia tuna shida nyingi na matizo mengi ya kuyafanyia kazi, Siko upande wa ulaya wala america wala urusi kikubwa inatakiwa sisi waafrica ndo tuamke kutoka kwenye huo utumwa wao, Leo ulaya kesho marekani, urusi na china baada ya hapo sisi tutakuwa wapi??Afadhali Mrusi analeta amani na ananunua dhahabu..wamagharibi wanapora na kuanzisha Vita vinavyoua watu wengi sana..watu wa upinde bana na kuwatetea mabwana zao 🚮
Uko sahihi mkuu. Tatizo uongozi hauna dira, Hakuna utekelezaji wa mikakati ya muda mrefu na mifupi. Viongozi wanafanya mambo kwa sifaUko sawa na hapa saula siyo kwamba nani ni mzuri ama nani ni mbaya kikubwa ni je Africa sisi kama sisi tunaweza kujisimamia ? hakuna mwizi wenye afadhali wote ni wezi tu urusi kwa historia ya africa alifanya mazuri lakin ni huko nyuma Sasa ivi Dunia imebadilika kila mtu anataka maslahi yake, halafu kwenye masula ya hoja mambo ya upinde yanatoka wapi mkuu? Africa Suala la ushoga sio hata kipaumbele chetu maana tuna Mila na desturi zetu pia tuna shida nyingi na matizo mengi ya kuyafanyia kazi, Siko upande wa ulaya wala america wala urusi kikubwa inatakiwa sisi waafrica ndo tuamke kutoka kwenye huo utumwa wao, Leo ulaya kesho marekani, urusi na china baada ya hapo sisi tutakuwa wapi??
Funga bakuli lako maana nyinyi hata mkipewa elimu hamuelewi
Kuna wakati nilidhani unajielewa vizuri kumbe chenga, tafuta Katiba ujikumbushe Tanzania ni nchi ya kisoshalisti.Wewe kwenye nchi yako isio yakisoshalist mmeizidi nini RUSSIA
DEMOKRASIA yenu hii mnayoiabudu nimfumo wautawala wahovyo kabisa kuwahi kushuhudiwa hapa DUNIANI
RUSSIA kamatia hapo hapo tunajua sio kwamba unaipenda saaana hio AFRIKA yetu ila wacha tu tujaribu ladha ya mkoloni mpya tuone itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili nchi iwe yakisoshalisti yatakiwa iwejeKuna wakati nilidhani unajielewa vizuri kumbe chenga, tafuta Katiba ujikumbushe Tanzania ni nchi ya kisoshalisti.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwani hapa kipindi cha MEKO walipopunguza misaada kuna mbinu mbadala ilitafutwa zaidi ya hali kuwa ngumu zaidi kwa wananchi?!!si ndio chanzo hata cha condom za 500 kupotea kabisa mtaani hadi leo ni kuanzia buku.Afrika tuna laana ya kutojitambua kuanzia kwa wananchi na ndio maana watawala wanafanya hivyo .
Ana mfumo wa kizaman na kipumbavu anashindwa kula na vipofuUfaransa ni gaidi mkubwa duniani. Kila alipoweka kambi matatizo hayaishi na yeye ndio anawafadhili wapinzani au magaidi kwa maslahi yake.
Washenzi sana hapa baharini kutwa wavuvi wao wanagombana na wavuvi wa Uingereza kisa samakiAna mfumo wa kizaman na kipumbavu anashindwa kula na vipofu
Huko kupenda misaada ndio kujitambuaKwani hapa kipindi cha MEKO walipopunguza misaada kuna mbinu mbadala ilitafutwa zaidi ya hali kuwa ngumu zaidi kwa wananchi?!!si ndio chanzo hata cha condom za 500 kupotea kabisa mtaani hadi leo ni kuanzia buku.Afrika tuna laana ya kutojitambua kuanzia kwa wananchi na ndio maana watawala wanafanya hivyo .
You sound ignorant ! kwani Tanzania ina Katiba ngapi?Ili nchi iwe yakisoshalisti yatakiwa iweje
Katiba ya mwaka gani!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo nimekupa mfano tu waulize wanaotumia ARV'S kitu gani walikuwa wameambiwa baada ya USA kuhofiwa kutaka kujitoa kitoa msaada!!hiyo gharama ya kila mgonjwa ya dola 200 kila mwezi ni wa ngapi wangeweza? Suala la kutotegemea misaada sio suala la muda mfupi kama MWENDA ZAKE alivyokuwq anataka kuwaaminisha watu.Mali asili zote mmeshauza hapo pesa itatoka wapi ?Huko kupenda misaada ndio kujitambua
Kheri kondom iuzwe hata million kwanza sio jambo lamaana kusema utakufa ukilikosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu hivi saivi hali ni nzuri et, pesa ni nyingi sana.Kwani hapa kipindi cha MEKO walipopunguza misaada kuna mbinu mbadala ilitafutwa zaidi ya hali kuwa ngumu zaidi kwa wananchi?!!si ndio chanzo hata cha condom za 500 kupotea kabisa mtaani hadi leo ni kuanzia buku.Afrika tuna laana ya kutojitambua kuanzia kwa wananchi na ndio maana watawala wanafanya hivyo .
Unaweza ukataja uhuru wa Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara bila ya kutaja Urusi?Kitu gani cha faida urusi alishawahi kuifanyia africa tangu dunia ianze. na kwa waliofika urusi au kuishi nchi za eastern europe, wataelewa ninachoongea, kwa asili tu watu wa huko ni wabaguzi mno kwa waafrica. ni kweli wamagaribi ni wajinga na ni mafirauni/mapunga lakini kwa upande mwingine wameifaidisha kwa kiasi fulani africa kuliko hata urusi. urusi anakuja africa kwasababu tu anahitaji kulipiza visasi kwa wamagaribi, isingekuwa hivyo asingekuja.
Hujui kama katiba moja ila ina vipengele zaidi ya kimojaYou sound ignorant ! kwani Tanzania ina Katiba ngapi?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hao wanaowapa ARVS ndio wamewaletea na ngoma ili wawaue vyemaHuo nimekupa mfano tu waulize wanaotumia ARV'S kitu gani walikuwa wameambiwa baada ya USA kuhofiwa kutaka kujitoa kitoa msaada!!hiyo gharama ya kila mgonjwa ya dola 200 kila mwezi ni wa ngapi wangeweza? Suala la kutotegemea misaada sio suala la muda mfupi kama MWENDA ZAKE alivyokuwq anataka kuwaaminisha watu.Mali asili zote mmeshauza hapo pesa itatoka wapi ?
Haijawa nzuri ki vile ila mwanga unaonekana tofauti na kipindi kile kila siku mnazidi kuona mnaingia gizani zaidi!!!MUNGU FUNDISamahani mkuu hivi saivi hali ni nzuri et, pesa ni nyingi sana.
Mataifa ya magharibi ni maovu mno,ila maovu no1 ni Marekani 🤔Ufaransa ni gaidi mkubwa duniani. Kila alipoweka kambi matatizo hayaishi na yeye ndio anawafadhili wapinzani au magaidi kwa maslahi yake.
Vita vyote vya kumtoa mkoloni Africa ili nchi iwe huru mrusi ameshiriki, kuanzia Algeria, Angola, South Africa, Zimbabwe nk.. ulitaka wakufanyie nini? Wakupikie ugali?
Hakuna nchi yoyote duniani anayoipenda Afrika. Baada ya Urusi kumuona ufaransa anaiba mali ameamua ajimilikishe mrusi kwa kigezo cha kulinda amani. Kumbuka kwenye suala la kiuchumi Urusi ipo 0 kwahiyo huu ni mkakati wake wa kujijenga kiuchumi.Ufaransa ni gaidi mkubwa duniani. Kila alipoweka kambi matatizo hayaishi na yeye ndio anawafadhili wapinzani au magaidi kwa maslahi yake.
Siyo nchi za magharibi tu karibia nchi zote duniani ni waovu sana. Si china wala urusi tena safari hii Afrika ndiyo tutabakishiwa magofu.Mataifa ya magharibi ni maovu mno,ila maovu no1 ni Marekani 🤔