Urusi yaanza kukimbia Kherson baada ya kuzidiwa

Urusi yaanza kukimbia Kherson baada ya kuzidiwa

Mkuu Ukrain ndio mara zote walikuwa wanahamisha raia wao kuwaweka mahali salama lakini jiulize mara hii ni Urusi wanalazimika kuhamisha raia wao., maana yake ni nini? Jibu ni rahisi kwamba sasa Russia wanashambuliwa kwenye makaazi yao ambayo waliteka kwenye ardhi ya Ukrain

Ukifuatilia toka vita inaanza Ukrain ndio alikuwa anashambuliwa na wao wakilinda lakini mpaka kufikia Urusi kuondoka maeneo na kurudi kwa upande wa Putini jua shaba ni kali zinazowawakia, vuta ile ramani hem uone hicho Urusi walichopiga kura sasa kimebaki nini,
Huyo muhuni mvuta sigara anayeitwa HIMARS ni balaa.
 
Nakumbuka kipind ukraine anachapwa alikua anafanya kama mrussi anavyofanya leo ,hivyo naona kiukweli bila kupepesa Russia anachapwa sana .ukiona mtu anahamisha raia wake ujue kashindwa kuwalinda hivyo ili kuepusha maangamiz maana vita vimetokea mpakani vinaingia mjini lazima raia waondolewe.ila watoto wa putin watakwambia ni mbinu .hahaaaaa
Ni kama utani ila ndo uhalisia, Ukraine ataenda kukomboa maeneo yake yote yaliyotekwa. Hii vita inaenda kushusha heshima ya Putin kila mahali hapa duniani.
 
Geran 2 Iran Kamikaze drone z

inaendelea kutoa kichapo..s 300 ya Ukrain imekuwa majivu
 
Hiyo ni technique ya Urusi. Akiona wajeda wa Ukrain wamejificha anajiondoa, akishajiondoa wajeda wa Ukrain wanatoka mafichone na kuchukua maeneo na kuanza kupiga selfie..then Kinachofuata Mrusi anakuwa Hana tena tabu ya kuwatafuta walipo ni mojegejo tu kwenda mbele. Urusi anachokitaka ni kuhakikisha akipiga pigo Moja anaua nguruwe 100 hadi 200, hataki vita ya kuuwa Askari wawili watatu hizo siyo pigo zake. That's why ukiangalia miji mingi ambayo Urusi walijitoa wanajeshi wa Ukrain wanakula kichapo Cha mbwa mwizi na mwisho wa siku Ukrain unashindwa kuidhibiti hiyo miji ambayo wanajinadi wameikomboa. Pia ufahamu kwamba Ukrain wanapigana vita ya kwenda mbele kama zombies. Yaani yeye ata uuwe wanajeshi laki Tano Hana shida yeye anakuja tu mpaka akufikie. Mrusi hiyo vita haitaki as hataki kupoteza wanajeshi wake kizembe. So anakuacha uje mjae then anawashambulia. It's just a simple logic.
View attachment 2387503
Wewe kadanganye watu huko masjid, Russia wanajeshi wamekufa wengi na majeruhi wako kibao hadi wameamua kuleta wa jkt na wafungwa unafikiri mchezo.
 
Kama hii habri umeitoa BBC Basi siyo ya kweli, hao ndio ambao walisema Itali inazika Malaki ya watu kwa corona
 
wewe ndo mjinga wa kiwango cha mwisho unafikiri Yesu atakuwa upande wenu nyie mnaoshabikia sera za Sodoma na gomola
Sera hizo unazijua wewe, sisi hatuzijui na hatuwezi kwenda kinyume na mafundisho ya bwana Yesu Kristo.
 
Vita ndo imeanza...Tutajua who is bear in this world
Russia wamelaunch satelite ya kijeshi siku ya jana, wakati huo Ukrain, Us wameingia mzozo na Tajiri mkubwa dunia aliyekuwa anawasaidia Ukrain kuwapa mawasiliano for free kupitia satelite yake ya Starlink. But kutokana na mdomo na jeuri ya Ukrain ameamua kusitisha huduma na kutaka walipie.
IMG_20221016_133759.jpg
IMG_20221016_133700.jpg
IMG_20221016_134711.jpg
 
Vita Hivi vitadhihirisha jinsi watu walivyochoka kutawaliwa..hii ingine..wakati Urushi wakiagiza kamikaze drones ambazo zipo updated na zenye nguvu zaidi Arash 2, pia Iran wapo tayari kusupply mfumo wa makombora wa masafa magupi.
IMG_20221016_140632.jpg
IMG_20221016_141129.jpg
 
Back
Top Bottom