Urusi yaanza kukimbia Kherson baada ya kuzidiwa

Urusi yaanza kukimbia Kherson baada ya kuzidiwa

Nakumbuka kipind ukraine anachapwa alikua anafanya kama mrussi anavyofanya leo ,hivyo naona kiukweli bila kupepesa Russia anachapwa sana .ukiona mtu anahamisha raia wake ujue kashindwa kuwalinda hivyo ili kuepusha maangamiz maana vita vimetokea mpakani vinaingia mjini lazima raia waondolewe.ila watoto wa putin watakwambia ni mbinu .hahaaaaa
 
Hahahahah hio ni kama walivyohamisha raia awamu ile ili kuwanyuka vizuri watoto wa Zelensky. Wajiandae kumiminiwa moto tu.
Tunawajua huwa hamkosi vijisababu,kuna mwenzio daraja lilipolipuliwa akasema ni "ajali ya kawaida".Russia walivyosema kuwa limelipuliwa na Ukraine,nilipomkumbusha akaja na waraka mrefu wa maelezo utadhani anawaandikia Wagalatia
 
Nakumbuka kipind ukraine anachapwa alikua anafanya kama mrussi anavyofanya leo ,hivyo naona kiukweli bila kupepesa Russia anachapwa sana .ukiona mtu anahamisha raia wake ujue kashindwa kuwalinda hivyo ili kuepusha maangamiz maana vita vimetokea mpakani vinaingia mjini lazima raia waondolewe.ila watoto wa putin watakwambia ni mbinu .hahaaaaa
 
Mkuu Ukrain ndio mara zote walikuwa wanahamisha raia wao kuwaweka mahali salama lakini jiulize mara hii ni Urusi wanalazimika kuhamisha raia wao., maana yake ni nini? Jibu ni rahisi kwamba sasa Russia wanashambuliwa kwenye makaazi yao ambayo waliteka kwenye ardhi ya Ukrain

Ukifuatilia toka vita inaanza Ukrain ndio alikuwa anashambuliwa na wao wakilinda lakini mpaka kufikia Urusi kuondoka maeneo na kurudi kwa upande wa Putini jua shaba ni kali zinazowawakia, vuta ile ramani hem uone hicho Urusi walichopiga kura sasa kimebaki nini,
Huku kwenye referundum hawapaongelei kabisa maana walishaona kipigo kinachoendelea na maeneo kukombolewa,wamehamia kwenye mabomu anayovurumisha ovyo ovyo bila mipango maalum.
 
Huku kwenye referundum hawapaongelei kabisa maana walishaona kipigo kinachoendelea na maeneo kukombolewa,wamehamia kwenye mabomu anayovurumisha ovyo ovyo bila mipango maalum.
Putin ni mpuuzi,unafanyaje uchaguzi wa hovyo kwenye sehemu ambayo hujaishinda kivita?! Ndo aibu inayomkuta Leo maana alisema atakaeshambulia hayo maeneo ni Sawa kashambulia Russia Federation lakini cha kuchekesha mpaka Leo Ukraine anavurumisha Makombora huko mpaka wanataka kuhamishana
 
Tulia wewe hapo Ukraine wanaenda kukaangwa kama bisi bisi... mkuu wa kherson kawambia raia wapelekwe/warudishwe ndani ya Urusi ili akianza kazi yule mzee baba jenerali aliyeteuliwa juzi a.k.a amagedoni asianze kujiuliza kama kuna raia wao wamekumbwa na balaa atakaloanza kulituma huko... subiri mziki unakuja.... kwa jina la Yesu upinde will never prevail..... acha Urusi awatoe kinyesi tu..
Wewe ndio mpumbavu wa mwisho, yaani unataja jina la Yesu kwenye uovu hata akili huna. 😛 😛
 
Jiulize kwanini Raisi wa Ukraine analalamika Raia wa Kherson wanatoroshwa...ama kuwa abducted, kiongozi ambaye anajua moto utawaka hapo anataka hao raia wawepo hapo awafanye nini?Urusi wanawapa raia nafasi ya kuokoa maisha yao wakati ukraine wanataka kuwaangamiza waweke blame kwa urusi
 
Hiyo ni technique ya Urusi. Akiona wajeda wa Ukrain wamejificha anajiondoa, akishajiondoa wajeda wa Ukrain wanatoka mafichone na kuchukua maeneo na kuanza kupiga selfie..then Kinachofuata Mrusi anakuwa Hana tena tabu ya kuwatafuta walipo ni mojegejo tu kwenda mbele. Urusi anachokitaka ni kuhakikisha akipiga pigo Moja anaua nguruwe 100 hadi 200, hataki vita ya kuuwa Askari wawili watatu hizo siyo pigo zake. That's why ukiangalia miji mingi ambayo Urusi walijitoa wanajeshi wa Ukrain wanakula kichapo Cha mbwa mwizi na mwisho wa siku Ukrain unashindwa kuidhibiti hiyo miji ambayo wanajinadi wameikomboa. Pia ufahamu kwamba Ukrain wanapigana vita ya kwenda mbele kama zombies. Yaani yeye ata uuwe wanajeshi laki Tano Hana shida yeye anakuja tu mpaka akufikie. Mrusi hiyo vita haitaki as hataki kupoteza wanajeshi wake kizembe. So anakuacha uje mjae then anawashambulia. It's just a simple logic.
IMG_20221015_003543.jpg
 
Tulia wewe hapo Ukraine wanaenda kukaangwa kama bisi bisi... mkuu wa kherson kawambia raia wapelekwe/warudishwe ndani ya Urusi ili akianza kazi yule mzee baba jenerali aliyeteuliwa juzi a.k.a amagedoni asianze kujiuliza kama kuna raia wao wamekumbwa na balaa atakaloanza kulituma huko... subiri mziki unakuja.... kwa jina la Yesu upinde will never prevail..... acha Urusi awatoe kinyesi tu..
Yesu sio mpumbavu kiasi chenu...mtamkeni shetani mnywa damu.
Usimtaje Yesu kwenye mauaji yenu
 
Russian President Vladimir Putin announced that his “partial” mobilization will end in “about two weeks”—likely to free up bureaucratic bandwidth for the normal autumn conscription cycle that will begin on November 1.

Click here to read the latest from ISW and CTP:
Institute for the Study of War

Eastern Ukraine Update:
  • Russian sources continued to claim that Ukrainian forces are conducting counteroffensive operations in northeast Kharkiv Oblast east of Kupyansk.
  • Russian troops conducted limited ground attacks west of Kreminna in order to regain lost positions.
  • Russian troops continued ground attacks around Bakhmut and Donetsk City.

Southern Axis Update:
Russian forces conducted limited ground attacks in northwestern Kherson Oblast in order to regain lost positions.

Russian Mobilization & Force Generation Update:
The presence of large numbers of Russian citizens fleeing mobilization continues to drive tensions in Central Asian states.

Russian-Occupied Areas Update:
Russian officials continued to brand their movement of populations out of Kherson Oblast as recreational “humanitarian trips” rather than evacuations. HAKUNA ANAEKIMBIA.
 
Back
Top Bottom