Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
- Thread starter
-
- #21
Wanatumia cpu za mediatek hawatengenezi, hawa hata simu hawatengenezi wanabandika majina juu tu.mkuu nina swali kuhusiana na makampuni kama TECNO, ITEL and the like. hawa jamaa wanatengeneza CPU zao wao wenyewe? na kwann hawapo GSMarena?
Hao wananunua kutoka kampuni ya mediatek iliyopo taiwan. Mediatek cpu zao zinatokana ARM. cpu za mediatek zinabei ya chini compare na za Qualcomm hii inasaidia hata simu kuuzwa bei ndogomkuu nina swali kuhusiana na makampuni kama TECNO, ITEL and the like. hawa jamaa wanatengeneza CPU zao wao wenyewe? na kwann hawapo GSMarena?
Kuna design za processor za aina mbili duniani ambazo ni kubwa
-arm
-x86
Arm ndio hutumika kwenye simu ukiskia snapdragon za qualcomm, A series za apple, mediatek au tegra za nvidia zote hozi ni arm.
Arm hazina nguvu sana na pia hazili umeme sana ndio maana zinatumika kwenye simu.
Aina ya pili ya design za processor ni x86 ambazo hutumia umeme mwingi lakini pia zina nguvu sana. Hizi ndio zipo kwenye laptop, deaktop, server kubwa na super computer.
Hizi x86 zina watengenezaji wawili tu tena wote toka marekani ambao ni intel na amd. Inamaana serikali zote duniani na makampuni makubwa kama bank, atm nk wanategemea hawa jamaa.
Kipindi cha karibuni kuna jamaa anaitwa snowden akatoa siri kuwa marekani anaspy dunia nzima kupitia technology na computer even maraisi wa nchi kubwa kama ujerumani.
So nchi nyingi zikalalamika ila baadhi kama urusi wakaanza kudesign tech zao, na moja ya mafanikio makubwa ndio hizi cpu. Japo zipo slow ila ni zao
Sasa chifu unadhani hii itawasaidiaje nchi nyengine nje ya urusi.... Si hawa Russians nao watakuwa wanafanya mchezo wa kuchunguza nchi nyengine zitakazotumia hizi zao
Wanatumia cpu za mediatek hawatengenezi, hawa hata simu hawatengenezi wanabandika majina juu tu.
Gsmarena wanaeka simu maarufu tu hasa zinazouzwa india na marekani na chache za china.
Wanatumia cpu za mediatek hawatengenezi, hawa hata simu hawatengenezi wanabandika majina juu tu.
Gsmarena wanaeka simu maarufu tu hasa zinazouzwa india na marekani na chache za china.
Asante sana Chief Mkwawa kwa ujuzi huu unaotupatia bila gharama.
Usichoke naomba niulize tena. Nafahamu kwamba simu za Samsung, Huawei, Tecno nk ni Android. Sasa wanaposema Android is operated by Google (ambayo ni american firm) wana maana gani? Ni kitu gani hasa kipo operated na Google kwenye simu hizo? Je software nzima ya Android ni Google product? Au inakuwaje hapo? Je ni sawa kusema kwamba Americans wana mkono katika simu zote za Android?
Asante sana Chief Mkwawa. Kwa kweli umetisha.Yap android yenye playstore ni ya google, yeye ndio ameidevelop halafu akawapa kina samsung.
Google yeye hatozi hela anatoa android bure ila anaeka apps zake kama playstore, map, search nk ndio maana manufacture wengi wanaitumia.
Ipo android ambayo sio ya google (japo anahusika kuitengeneza) inaitwa aosp au kirefu android open source project. Yenyewe hii inakuwa haina playstore na inatumika sana china
Yap android yenye playstore ni ya google, yeye ndio ameidevelop halafu akawapa kina samsung.
Google yeye hatozi hela anatoa android bure ila anaeka apps zake kama playstore, map, search nk ndio maana manufacture wengi wanaitumia.
Ipo android ambayo sio ya google (japo anahusika kuitengeneza) inaitwa aosp au kirefu android open source project. Yenyewe hii inakuwa haina playstore na inatumika sana china
Mkuu chief, Je Nokia X haina mkono wa google?
Duh upo sahihi sikusoma vizuri post yake
Ni manufacturing process jinsi inavyokuwa ndogo ndio jinsi ambavyo processor inakuwa energy efficient
chief mkwawa swali langu ni out of topic, ukiangalia kamera za simu unakuta wameandika labda 8mp LED flash check quality,nyingine 8mp LED flash, je tofauti hapo ni nini mkuu.
kama all that effort bado wanatumia 65nm safari ni ndefu kinoma, wanaweza kugive up kabla ya kufikia ligi za intel na amd, intel kutoka 22nm hadi 14nm peke yake ilikua mziki wa miaka hadi mwaka huu walivoachia baytrail kimyakimya... Huyu aliye 65nm labda kama ataleap moja kwa moja... Dunia inakimbia kwa speed sana sasa hivi computer zinahitaji massive speed, hawa jamaa watengeneze tu calculator.
Kama walitengeneza za 65nm watashindwaje kutengeneza hata za 7nm? Hao sio watanzania wanaokata tamaa. Wanashinda lab kufanya majaribi0. Nina uhakika hawatashindwa kama u avyodhani.