Urusi waahidi kumbomoa Marekani akishambulia Syria!

Marekani hawezi kwenda vitani na mrusi,hapo wanataka kujishusha kiheshima mbele ya mrusi,marekani alitakiwa awape silaha nzito waasi ili wamtoe asad na wakijaribu kuingia watakiona cha mtema kuni,watu watawaona bajeti yao kubwa ya kijeshi haina maana yoyote mbele ya bajeti ndogo ya mrusi,marekani ananunua silaha kwenye makapuni,mrusi anatengeneza,hapo watu wanashindwa kuelewa,marekani anatoa oda ya kutengenezewa silaha,urusi anatoa hela ya kuwalipa wataalam wake waliopo kwenye viwanda vyake,ndoo maana ukiona bajeti ya urusi ni ndogo lkn ana nguvu kubwa kisilaha,sisi yetu macho lkn marekani akijaribu kuingia vitani na mrusi atazalilika
Hizo silaha anawapaje hao waasi wakati hakuna pa kuingilia wala kutokea hahaha, jiulize kwanini western wanakuwa wakali kupindukia wakati huu. Refer Cremia walipiga kelele kuwa wanapeleka misaada ya kibinadamu mrusi akaweka ngumu hakuna. Hutumia roophole ya misaada ya kibinadamu kupeleka silaha na kuongeza nguvu kwa waasi. Wameshikwa pabaya ndo mana wanang'aka si bure kama mdhaniavyo wengi
 
Marekani hawezi kwenda vitani na mrusi,hapo wanataka kujishusha kiheshima mbele ya mrusi,marekani alitakiwa awape silaha nzito waasi ili wamtoe asad na wakijaribu kuingia watakiona cha mtema kuni,watu watawaona bajeti yao kubwa ya kijeshi haina maana yoyote mbele ya bajeti ndogo ya mrusi,marekani ananunua silaha kwenye makapuni,mrusi anatengeneza,hapo watu wanashindwa kuelewa,marekani anatoa oda ya kutengenezewa silaha,urusi anatoa hela ya kuwalipa wataalam wake waliopo kwenye viwanda vyake,ndoo maana ukiona bajeti ya urusi ni ndogo lkn ana nguvu kubwa kisilaha,sisi yetu macho lkn marekani akijaribu kuingia vitani na mrusi atazalilika
Acha mbwembwe
 
Back
Top Bottom