Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,561
- 16,339
marekani na russia are the reason trust in humanity is lostBinadamu tuna roho mbaya sana haya madude Katengenezewa binadam
marekani na russia are the reason trust in humanity is lostBinadamu tuna roho mbaya sana haya madude Katengenezewa binadam
mkuu kama wewe ni mwanaume usirudie tena kutumia hilo neno "tyu" instead tumia "tu". ila kama ni ke no problemHyo S300 Israel mwenyewe anaiweza sembuse US... wameanza kuifanyia mazoez tangu 2006 sio Jana wala juz... Angalia hpo chini jenerali wa Urusi anaeleza kwamba ukishjua tyu system inafanye kaz ni rahisi kuiharibu coz wewe unakua unacheza na Frequencies zake tyu badala ya rada kuona target moja inaona mbili, kumi ht 20 km ukitaka
Safi...
Ngoja tusubiri,labda tutapata ufafanuzi...
Hayo madubwasha yanawezaje kulinda anga zima la URUSI..!?
Vipi kama mashambulizi yanatoka kila upande wa nchi..!?
Cc
MALCOM LUMUMBA Consigliere MSEZA MKULU MURUSI
Mkuu, labda kwa ufafanuzi tu ni kwamba hii S-400 ni mobile surface to air missile system, mahsusi kwa ajili ya kuyatambua na kuayaribu makombora ya adui, pia kutambua flying objects (Helcopters, ndege za kivita, makombora n.k) ndani ya anga la udhibiti wa S-400 na kuyaharibu/kuyashambulia (Kwa kifupi unaweza ukasema Search, detect and destroy).Safi...
Ngoja tusubiri,labda tutapata ufafanuzi...
Hayo madubwasha yanawezaje kulinda anga zima la URUSI..!?
Vipi kama mashambulizi yanatoka kila upande wa nchi..!?
Cc
MALCOM LUMUMBA Consigliere MSEZA MKULU MURUSI
Haya mambo.ndio mnasoma huko kwenye military scienceMkuu, labda kwa ufafanuzi tu ni kwamba hii S-400 ni mobile surface to air missile system, mahsusi kwa ajili ya kuyatambua na kuayaribu makombora ya adui, pia kutambua flying objects (Helcopters, ndege za kivita, makombora n.k) ndani ya anga la udhibiti wa S-400 na kuyaharibu/kuyashambulia (Kwa kifupi unaweza ukasema Search, detect and destroy).
S-400 inaundwa na mifumo minne ifanyao kazi kwa pamoja na kutegemeana
1. Panoramic Radar
2. Engagement Radar
3. Command and Control Centre
4. Missile Launching Station (Missile Launcher).
Tunapoongelea uwezo wa hii S-400 katika kutambua shughuli za anga ndani ya eneo lake la udhibiti, hapo tunakua tunaongelea Panaramic Radar, ambayo muda wote yenyewe huwa inakuwa inaangali/inadhibiti/inatafuta/inafuatilia uwepo wa adui ndani ya Km 600 (360 degree). Ikitokea adui amekuwa detected ndani ya umbali huo, kinachofuata ni kulitambua eneo hasa ambalo adui yupo. Kazi hiyo hufanywa na Engagement Radar.
Baada engagement Radar kugundua location, taarifa hupelekwa kwenye Command and control centre, ambapo kwakuwa kama tayari kuna kuwa na order 'no fly zone', basi command and control centre hupeleka taarifa kwenye Missile Launcher (Missile launching station). Ambapo kombora hufyatuliwa ili kwenda kum engae adui/target.
S-300, S-400 and on...unaweza ukasema ni later versions za Patriot. Hizi S-400 huwa zina uwezo wa kumtambua adui ndani ya Km 600 na kum engage and destroy ndani ya km 400.
hiyo ni kwa ufupi tu katika kuelezea namna mfumo huu wa S-400 unavyofanya kazi. Kuhusu uwezo wake katika kulilinda anga la Urusi hapo itategemea na installation ya mfumo huo na zile sophisticated means za ulinzi za urusi ambaz kunazia minara ya simu na satelites zote hutumika kwenye detections na zaidi jinsi stelites zinavyoweza ku detect makombora ya adui yalipo kipindi yanaandaliwa kwa ajili ya kufyatuliwa.
Kwa ufupi ni hayo tu. Nadhani watakuja wataalamu wenye mambo yao watalielezea hili kwa undani na upana zaidi.
Usishangae Mkuu, wenzetu wapo juu sana tofauti na sisi wakina Jecha......Yaani hizo vitu ndio zinalinda anga lote la nchi ya URUSI..!?
Kwan nikitumia hyo "tyu" ntabadilika jinsia au.... Mbna povu linakutoka mkuu... Km huna hoja ya kuchangia plz usitake tuharibiane siku... Usiku mwemamkuu kama wewe ni mwanaume usirudie tena kutumia hilo neno "tyu" instead tumia "tu". ila kama ni ke no problem
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaRussia rais anajengwa toka akiwa mtoto huku kwetu unapewa tu ilimradi unajua kuwatukana wapinzani!!
putin +trump = marais wawiliPutin+Trump=?
Ni uhayawani hayo maneno ukiandika kwa mkeo yaweza kuwa mazuri so hapaKwan nikitumia hyo "tyu" ntabadilika jinsia au.... Mbna povu linakutoka mkuu... Km huna hoja ya kuchangia plz usitake tuharibiane siku... Usiku mwema