Putin anajaribu kurudisha himaya za Ussr kimabavu ila hatofanikiwa.Jamaa wanamuona kama msaliti aliyeshirikiana na madola ya magharibi kuuangusha umoja wa kisoviet,
Ana akili za hovyo sana huyu fashsti [emoji52][emoji52]Putin anajaribu kurudisha himaya za Ussr kimabavu ila hatofanikiwa.
Ni vile hamuelewi tuAna akili za hovyo sana huyu fashsti [emoji52][emoji52]
TimikuelewaNi vile hamuelewi tu
Bila ya huyu kuwepo wale mabeberu wa kimagharibi wangesumbua sana
Ni hatari sana dunia kuwa na Baba mmoja
Acheni tuwe nao wawili au hata watatu walau heshima itakuwepo
(Hivi mnaelewa ninachosema!????)
Maamuzi sahihi kabisa kutoka kwa watu wanaojitambua na ambao wapo tayari kulinda identity yao kwa gharama yoyote.Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi.
Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022 akiwa na umri wa miaka 91, pia hatapewa heshima ya mazishi rasmi ya Serikali, na kumfanya kuwa kiongozi wa kwanza tangu Nikita Khrushchev kutopewa heshima hiyo.
Badala yake Putin ametoa heshima zake za mwisho kwa kiongozi huyo wa Soviet leo September 1,2022 asubuhi, akiacha maua karibu na jeneza lake kwenye ukumbi wa maombolezo wa Hospitali kuu ya Moscow.
==============================
Vladimir Putin will not attend the funeral of Mikhail Gorbachev, the last leader of the Soviet Union, the Kremlin has said, in what will be seen as an extraordinary snub by the Russian president.
Gorbachev, who died on Tuesday at 91, will also not receive an official state funeral, a Kremlin spokesperson indicated, making him the first leader since Nikita Khrushchev not to be given that honour.
The spokesperson, Dmitry Peskov, said schedule constraints meant Putin would not attend a public farewell ceremony at Moscow’s House of Unions, or the funeral at Novodevichy cemetery on Saturday. “Unfortunately, the president’s work schedule will not allow him,” Peskov said.
Putin did pay his respects to the Soviet leader on Thursday morning, leaving flowers by Gorbachev’s coffin at the mourning hall of Moscow’s Central Clinical hospital.
The Guardian
Pumbavuu kama hizi ambazo hata kuvaa hazijuii zinabiahana na akili kubwaa za warusi..shwain kabisaa hili jitu leusi. Hata hivyo sijulaumu kati ya watu weusi elfu moja wenye kujitambua ni wawil au mmoja..sio bure serikal yako inakukamua tozo hati ya kujisaidia..shwainn kabisaaAna akili za hovyo sana huyu fashsti [emoji52][emoji52]
Yap.Ni vile hamuelewi tu
Bila ya huyu kuwepo wale mabeberu wa kimagharibi wangesumbua sana
Ni hatari sana dunia kuwa na Baba mmoja
Acheni tuwe nao wawili au hata watatu walau heshima itakuwepo
(Hivi mnaelewa ninachosema!????)
Tulia bibie,naingiza taratiibu..,naichomeka Pole pole dadaa..,!Pumbavuu kama hizi ambazo hata kuvaa hazijuii zinabiahana na akili kubwaa za warusi..shwain kabisaa hili jitu leusi. Hata hivyo sijulaumu kati ya watu weusi elfu moja wenye kujitambua ni wawil au mmoja..sio bure serikal yako inakukamua tozo hati ya kujisaidia..shwainn kabisaa
Mkuu msamehe kaiba simu ya mazaake🤭🤭🤭🤭🤭Pumbavuu kama hizi ambazo hata kuvaa hazijuii zinabiahana na akili kubwaa za warusi..shwain kabisaa hili jitu leusi. Hata hivyo sijulaumu kati ya watu weusi elfu moja wenye kujitambua ni wawil au mmoja..sio bure serikal yako inakukamua tozo hati ya kujisaidia..shwainn kabisaa
🏳️🌈🏳️🌈🏳️🌈 huna akili katawaz3 wakuingize tena🍆🥒Tulia bibie,naingiza taratiibu..,naichomeka Pole pole dadaa..,!
Shiiiiiiiiiiiiii..!
Imeingia eeeee...!!
Vumilia basi namaliziaaa..[emoji3059][emoji3059]
Tulia bibie..,naingiza taratiibu..,[emoji2380][emoji2380][emoji2380] huna akili katawaz3 wakuingize tena[emoji533][emoji1646]
Usikatike sana bibie..,Mkuu msamehe kaiba simu ya mazaake[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Putin yupo sahihi sana...hakutakiwa hata kwenda kuweka hayo mashada kwa msaliti kama huyoMaamuzi sahihi kabisa kutoka kwa watu wanaojitambua na ambao wapo tayari kulinda identity yao kwa gharama yoyote.
Kwa lengo la kuifanya Dunia sehemu salama ya kuishi, Lazima Russia iwepo na iwe na nguvu