Russia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.So tutegemee respond kutoka kwa Mrusi au ataachwa Mmarekani na kugeukiwa Ukraine ambaye hakuhusika?
Unaota wewe sio bureRussia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.
Ni kweliRussia angekuwa na uwezo basi kipindi kile Marekani alipoamua kumsaidia Ukraine silaha ndio angeivamia Marekani lakini akaamua kufyata hivyo hamna anachoweza kufanya, ni blaa blaa tu.
Jidanganye ila ukweli ni kwamba russia ikipiga usaRussia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.
Zile drone Putin anaonyeshwa kwamba hayuko salama anga lake akileta fyokofyoko zaidi atashughulikiwa on the spot, sasa kama ni Washington basi putini arushe japo kajiwe kadogo kule Marekani kama hatashuhudia vumbi KremlinUrusi yadai, Marekani ndiye alihusika na drone na si Ukraine
Je tutegemee nini...
Russia ataumizwa na Wayukreini waliokimbilia huko baada ya uvamiziZile drone Putin anaonyeshwa kwamba hayuko salama anga lake akileta fyokofyoko zaidi atashughulikiwa on the spot, sasa kama ni Washington basi putini arushe japo kajiwe kadogo kule Marekani kama hatashuhudia vumbi Kremlin
Waache wazidi kuchokoana wakichoka watazipiga kavukavu
Ndio hivyo kwasababu us anaangalia usalama sana wa taifa lakeJidanganye ila ukweli ni kwamba russia ikipiga usabasi marekani awawezi kufanya chochote zaidi ya kutafuta upatanishi
Tukuulize wewe je ADs zilikuwa usingizini?BREAKING: US official says the country does not encourage or enable Ukraine to conduct attacks outside its borders, after Russian accusations the US masterminded drone attack on the Kremlin.