Urusi imeuvunja moyo wangu

Nadhani Russia anawazarau Ukraine ndio maana hatumii madudeyake.
By the way alishasema na anaendelea kusema kwamba anachofanya ni operation na sio vita.

Sisi tunaona hizo ICBM anazotumia, kwake yeye nizakiwango cha operation.

Labda anavutavuta muda ili anaowataget wakiingia kwenye 18 zake ndio tutamjua vizuri.

Kuhusu kujua mahali alipo Zelensky wamfyatue ilikumaliza vita naona labda hana haja ya kumuuwa Zelensky anavutavuta muda ili NATO wajiingize ndio atuonyeshe jinsi alivyo, putin anaumwezo, kumbuka alivyo piga ICBM kutokea Caspian sea na kulenga shabaha kwa wanamgambo wa ISS Syria.

Naamini Russia uwezo wanao japo sio kwa kiwango cha kuwatishia sana wengine.
Inaonekana niwataalam wa silaha lakini War strategic ndio zero.
 
Umeongea point kubwa sana, before nilikuwa nawaambia watu kuwa russia anakabiliana na adui mbaya sana ambae kitamaduni ni ndugu wa damu, kuna kisa kimoja cha kusikitisha wanajeshi wa urusi walipewa chakula cha sumu. Vijana wa urusi wanapigana bila morale kabisa ndio maana kwenye modern warfare mtu unapoteza battalion nzima.
 
unataka kuipiga NATO kwa kuivamia non - NATO nation , kwan Estonia na Latvia ni mbali sana ?
 
Mkuu mbona unawakubali hao Russia alafu unawatilia mashaka tena?
 
Icbm ukraine????
 
Endeleeeni kudanganywa na propaganda za majasusi wa Uingereza
 
Russia anauwezo wa kuwafuta NATO ndani ya dakika 5,sema Russia ni wastaarabu sana.uzuri Russia anatengeneza silaha na hanunui,so hii Vita itawafilisi NATO Sana!! German tayari yuko exhausted Hana silaha tena za ku donate Ukraine,na taratibu na wengine wataanza kurudi nyuma watakapo ona ghala zao zinakauka !!!
 
Uchambuzi muruwaaa!!
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hao wanajeshi 500 waliopo Poland kwenye training ni wamarekani na washirika wake Tu hawa western countries ni wajanja Sana inawezekana Hilli jeshi la Ukraine asilimia 70 ni NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…