Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
... nimeelewa sana hayo maelezo! Kuwa na mavifaa ya kutisha, kuonesha maparade ya kibabe ili uogopwe ni jambo moja ila kutumia brains na resources ulizo nazo ziwe chache, nyingi, au dhaifu ni jambo la muhimu zaidi. Nilivyoona Russia wanarusharusha makombora ovyo kubomoa majengo nikajua kuna walakini hapa.hii ina maana ili kuangamiza kikosi cha askari wa ukraine 1000 utahitaji makombora 1000
lakini ili kuangamiza kikosi cha askari 1000 wa russia utahitaji makombora mawili tu.
kitaalamu tunasema mbuzi kala Mbwa.
India leo ka ban uuzaji wa ngano UrusiChina, North Korea na India ni wanafiki sana. Kaka yao anapigwa wao kimya.
Usimuamini MCHINA na MUHINDI hata siku moja. Wapo kimaslahi zaidi.
Duh, hatari mkuuIndia leo ka ban uuzaji wa ngano Urusi
Haina haja ya kuelewa kwa haraka sababu mtu utakuwa unakariri, polepole ndo mwendo, taratiiiibu wataelewa namna gani russia inakwenda kuwa zimbabwe ya ulaya, ni ngumu kwao kuamini ila polepole wataelewa.Wakija warusi wa kibaigwa wanaanza oo currency ya Urusi ime perform vizuri kuzidi zote hawajui kwamba
Ana resources na mataifa yananunua kwa wingi hizo resources zake hivi sasa ili waweze kuhifadhi kabla hizo sanctions hazijaingizwa level nyingine. So it's all about gas and nothing more, na wanunuaji wanaoifanya ku perform hivi sasa ni hao hao euaropean countries wakishakuwa na reserve ya kutosha au wakipata mbadala mtauona muelekeo wa hiyo ruble
Tuendelee kuelewana
Britanicca
Siyo Kama unavusha maandazi ni Kama anaswaga man'gombe.Ile column ya 64km y vifaa / magari ya jeshi na wajeshi kuelekea Kyiv kushney?
Pale kidarajani lile pigo amepigwa halikupaswa kupigwa kwa dunia ya sasa. Unavusha vifaa mtoni kama unavusha maandazi.
Russia ni hopeless
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha unavusha silaha mtoni kama unavusha nini?Ile column ya 64km y vifaa / magari ya jeshi na wajeshi kuelekea Kyiv kushney?
Pale kidarajani lile pigo amepigwa halikupaswa kupigwa kwa dunia ya sasa. Unavusha vifaa mtoni kama unavusha maandazi.
Russia ni hopeless
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kharkiv muda wowote inarudi mikononi mwa Ukraine kwa 100%. Vyuma kutoka NATO kuingia Ukraine sio vya kitoto.
Mkuu #Mrengwa wa Kulia Thanks very much for the good and critical analysis. Zaidi nashukuru kwa kurudia huu kauli "Mbuzi kula Mbwa"
Pia napenda kumsalimia mkuu mwingine #Permanides kwa kutuletea Jina jipya "Mr. Uncle"
Jf siami
... nimeelewa sana hayo maelezo! Kuwa na mavifaa ya kutisha, kuonesha maparade ya kibabe ili uogopwe ni jambo moja ila kutumia brains na resources ulizo nazo ziwe chache, nyingi, au dhaifu ni jambo la muhimu zaidi. Nilivyoona Russia wanarusharusha makombora ovyo kubomoa majengo nikajua kuna walakini hapa.
Matumizi ya nguvu nyingi bila akili; unatumia makombora 1000 kuangamiza askari 1000 ratio ya 1:1 huku mwenzio akitumia kombora chache kuangamiza askari wa kutosha na mamia ya vifaa vya kijeshi at per bila kuathiri raia wema jua hutumii akili hapo.
Tena Ng'ombe za kisukuma na sio za Kimasai maana Masai havushi Ng'ombe kizembe.Siyo Kama unavusha maandazi ni Kama anaswaga man'gombe.
Aaamenhabari za hivi punde ni kua kharkiv hatunae tena ukraine wamewakimbiza tayar askar wa russia. hivyo kharkiv is blue and yellow
HahahahahahahaKuna silaha nyingi za US na NATO hazijaanza tumika maana kuna wanajeshi wa Ukraine wako Training, wako kama 1000 hivi, wakitoka huko wanakuja fundisha wenzao ambao wataongezeka kuvuka Milioni 1
Vita vya ndugu ni ngumu sana, Wanajeshi wa Russia hawawezi kupigana huko Ukraine Kwa moyo mkunjufu wanajua wanawaumiza ndugu zao, hatari zaidi ni wanapoteka miji wanajikuta wanaukiwa na wanajeshi wa Ukraine waliovalia kiraia ni vita ngumu Kwa Russia... nimeelewa sana hayo maelezo! Kuwa na mavifaa ya kutisha, kuonesha maparade ya kibabe ili uogopwe ni jambo moja ila kutumia brains na resources ulizo nazo ziwe chache, nyingi, au dhaifu ni jambo la muhimu zaidi. Nilivyoona Russia wanarusharusha makombora ovyo kubomoa majengo nikajua kuna walakini hapa.
Matumizi ya nguvu nyingi bila akili; unatumia makombora 1000 kuangamiza askari 1000 ratio ya 1:1 huku mwenzio akitumia kombora chache kuangamiza askari wa kutosha na mamia ya vifaa vya kijeshi at per bila kuathiri raia wema jua hutumii akili hapo.