Urusi anamwaga damu zisizo na hatia Ukraine

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,881
Ndio nachelea kusema kwamba Urusi anamwaga damu zisizo na hatia kwenye nchi huru ya kidemokrasia Ukraine, anachofanya Putin ni sawa na alichotaka kufanya Iddi Amini dhidi ya Tanzania kule Kagera ndio maana Mwl Nyerere alishindwa kuvumilia damu za Watanzania kupotea bure na kuamua kumtwanga Nduli Iddi Amini dadaa.

Kama lengo la demilitarization & denazify lilikua kuua raia wa Ukraine wasio na hatia, watoto, wazee, wajawazito, bibi, baba, mama, kuifanya nchi ya wapenda demokrasia pagale, kupiga mabomu viwanja vya kuchekezea vya watoto, viwanja vya mipira, shule, vyuo, hospitali...nk basi sawa.

Huwezi kulala na kuamka na kuanza kushambulia nchi ambayo haijatupa hata jiwe nchini kwako kwa kigezo cha special operation huo ni ubabe kwanini hizo special operation zake asingefanya Uingereza, ufaransa au hata Marekani akichagua vile vinyonge.

Ukiangalia kwa Jicho la tatu maendeleo ya Ukraine yalikua yanaenda vizuri sana soon ingekuja kuwa nchi yenye uchumi mkubwa sana ukishaweza kuzalisha chakula cha kuilisha dunia nzima it means una uchumi mzuri mpaka hapa nachelea kusema ulikua na WIVU wa Warusi kuona uchumi wa Ukraine unakua na kwa kasi nzuri na kumwacha yeye akiendelea kuendekeza ubabe hata kwa watu wake.

Ukraine wamekua kama mbuzi wa kafara kwa Mrusi akijisikia kupiga anajipigia tu kama anavyofanya kule Syria yeye haoni tabu kumwaga damu ameendekeza sera za vita, anaamini vita ndio suluhisho la kila kitu.

Kuna watu watakuja hapa na propaganda za Russia Today Television na kuanza kusema ohoo Ukraine kavunja sijui makubaliano ya wapi huko tuelewe tarehe 24.2.2022 Mrusi alikuja na kigezo cha special Operation, demilitarization & denazify.

Ndio maana wastaarabu wanamkimbia na kujiunga na NATO refer Sweden, Finland, Moldova na Ukraine, Mrusi ni kama urafiki wa Simba na Swala siku akisikia njaa lazima atamla swala.

#Sipendi Vita.
 
Homicidal dictator anachojali ni kutanua himaya yake tu kwa gharama yoyote.
 
U

USA ndo baba la umwagaji damu hum duniani na ndio baba lililo kubuhu kwenye uchafu wote duniani
 
Naipenda sana Urusi , haikuwahi kutawala nchi yoyote , haikuwahi kufanya biashara ya utumwa ilikuwa mstari wa mbele kusaidia nchi za Afrika kupata uhuru ,

Ulaya na marekani acha wateseke wachakazwe tu ,
Huu ni undezi wa hali ya juu.
Anateseka Marekani au watu wa Ukraine?
Wanateseka Ulaya au ni sisi nchi maskini ndio tunagharamia vita kwa kodi za mafuta kuongezeka.

Kama unaishi Afrika,ni bora ungekuwa nguruwe kesho uchinjwe watu wakule na bia
 
U

USA ndo baba la umwagaji damu hum duniani na ndio baba lililo kubuhu kwenye uchafu wote duniani
Hapo nazungumzia Ukraine & Urusi
USA katoka wapi hapo boss.
 
Ni kweli but this war could be avoided. Unawaonea huruma Ukraine ila Africa kila siku watu wanakufa njaa kutokana na uongozi mbaya wa nchi zetu. Vita ya Ukraine ni cha mtoto ila vita wanayopitia ndugu zetu kila siku wanakufa uzazi, wanakosa dawa kwa kuumwa, kukosa chakula ni kubwa pia lia na wanao. .
 
#Sipendi Vita manake najua hasara za Vita.

Sasa Waafrika mbaya zaidi tunapigana sisi kwa Sisi Ethiopia, Darfur, Ethiopia, Drc & Rwanda, Nigeria Boko Haram, Zamani Liberia, Angola ya Savimbi...nk ila mwisho wa siku watakuja watu watakwambia ni USA.
 
Ndio nachelea kusema kwamba Urusi anamwaga damu zisizo na hatia kwenye nchi huru ya kidemokrasia Ukraine, anachofanya Putin ni sawa na alichotaka kufanya Iddi Amini dhidi ya Tanzania kule Kagera ndio maana Mwl Nyerere alishindwa kuvumilia damu za Watanzania kupotea bure na kuamua kumtwanga Nduli Iddi Amini dadaa.

Kama lengo la demilitarization & denazify lilikua kuua raia wa Ukraine wasio na hatia, watoto, wazee, wajawazito, bibi, baba, mama, kuifanya nchi ya wapenda demokrasia pagale, kupiga mabomu viwanja vya kuchekezea vya watoto, viwanja vya mipira, shule, vyuo, hospitali...nk basi sawa.

Huwezi kulala na kuamka na kuanza kushambulia nchi ambayo haijatupa hata jiwe nchini kwako kwa kigezo cha special operation huo ni ubabe kwanini hizo special operation zake asingefanya Uingereza, ufaransa au hata Marekani akichagua vile vinyonge.

Ukiangalia kwa Jicho la tatu maendeleo ya Ukraine yalikua yanaenda vizuri sana soon ingekuja kuwa nchi yenye uchumi mkubwa sana ukishaweza kuzalisha chakula cha kuilisha dunia nzima it means una uchumi mzuri mpaka hapa nachelea kusema ulikua na WIVU wa Warusi kuona uchumi wa Ukraine unakua na kwa kasi nzuri na kumwacha yeye akiendelea kuendekeza ubabe hata kwa watu wake.

Ukraine wamekua kama mbuzi wa kafara kwa Mrusi akijisikia kupiga anajipigia tu kama anavyofanya kule Syria yeye haoni tabu kumwaga damu ameendekeza sera za vita, anaamini vita ndio suluhisho la kila kitu.

Kuna watu watakuja hapa na propaganda za Russia Today Television na kuanza kusema ohoo Ukraine kavunja sijui makubaliano ya wapi huko tuelewe tarehe 24.2.2022 Mrusi alikuja na kigezo cha special Operation, demilitarization & denazify.

Ndio maana wastaarabu wanamkimbia na kujiunga na NATO refer Sweden, Finland, Moldova na Ukraine, Mrusi ni kama urafiki wa Simba na Swala siku akisikia njaa lazima atamla swala.

#Sipendi Vita.
Chanzo cha operation ya kijeshi huko Ukraine ni Nini?
 
#Sipendi Vita manake najua hasara za Vita.

Sasa Waafrika mbaya zaidi tunapigana sisi kwa Sisi Ethiopia, Darfur, Ethiopia, Drc & Rwanda, Nigeria Boko Haram, Zamani Liberia, Angola ya Savimbi...nk ila mwisho wa siku watakuja watu watakwambia ni USA.
Kwa wazungu wanajua vita ni faida.
Nakupa mfano hivi kupitisha silaha tu nchini ni kazi sana, Ila unashangaa hawa waasi wanapitishia wapi sasa hapo ndo unajua kuwa siku zote kuna mkono wa mtu nyuma ya haya mambo yote. .
 
Ndio nachelea kusema kwamba Urusi anamwaga damu zisizo na hatia kwenye nchi huru ya kidemokrasia Ukraine, anachofanya Putin ni sawa na alichotaka kufanya Iddi Amini dhidi ya Tanzania kule Kagera ndio maana Mwl Nyerere alishindwa kuvumilia damu za Watanzania kupotea bure na kuamua kumtwanga Nduli Iddi Amini dadaa.

Kama lengo la demilitarization & denazify lilikua kuua raia wa Ukraine wasio na hatia, watoto, wazee, wajawazito, bibi, baba, mama, kuifanya nchi ya wapenda demokrasia pagale, kupiga mabomu viwanja vya kuchekezea vya watoto, viwanja vya mipira, shule, vyuo, hospitali...nk basi sawa.

Huwezi kulala na kuamka na kuanza kushambulia nchi ambayo haijatupa hata jiwe nchini kwako kwa kigezo cha special operation huo ni ubabe kwanini hizo special operation zake asingefanya Uingereza, ufaransa au hata Marekani akichagua vile vinyonge.

Ukiangalia kwa Jicho la tatu maendeleo ya Ukraine yalikua yanaenda vizuri sana soon ingekuja kuwa nchi yenye uchumi mkubwa sana ukishaweza kuzalisha chakula cha kuilisha dunia nzima it means una uchumi mzuri mpaka hapa nachelea kusema ulikua na WIVU wa Warusi kuona uchumi wa Ukraine unakua na kwa kasi nzuri na kumwacha yeye akiendelea kuendekeza ubabe hata kwa watu wake.

Ukraine wamekua kama mbuzi wa kafara kwa Mrusi akijisikia kupiga anajipigia tu kama anavyofanya kule Syria yeye haoni tabu kumwaga damu ameendekeza sera za vita, anaamini vita ndio suluhisho la kila kitu.

Kuna watu watakuja hapa na propaganda za Russia Today Television na kuanza kusema ohoo Ukraine kavunja sijui makubaliano ya wapi huko tuelewe tarehe 24.2.2022 Mrusi alikuja na kigezo cha special Operation, demilitarization & denazify.

Ndio maana wastaarabu wanamkimbia na kujiunga na NATO refer Sweden, Finland, Moldova na Ukraine, Mrusi ni kama urafiki wa Simba na Swala siku akisikia njaa lazima atamla swala.

#Sipendi Vita.
Hivi ni kweli kabisa haujui kuwa tangu 2014 hadi 2022 kabla yan Urusi kuishambulia Ukraine, Ukraine ilikuwa imeshaua watu 8,000 kwenye jimbo la Donbass ambao wana asili ya Urusi? Hivi ni kweli kuwa haujui kuwa nchi za magharibvi ziliyafumbia macho na ziliyachoichea mauaji hayo?? Kama kweli haujui, basi ujue kuwa hujui unachokisema!! Sitetei mauaji yanayoendelea kwenye vita hii, lakini ninachotaka kusema ni kuwa Ukraine ndiyo muuaji mkubwa, huku ikisaidiwa na nchi za magharibi!!
 
Naipenda sana Urusi , haikuwahi kutawala nchi yoyote , haikuwahi kufanya biashara ya utumwa ilikuwa mstari wa mbele kusaidia nchi za Afrika kupata uhuru ,

Ulaya na marekani acha wateseke wachakazwe tu ,
Kwa namna yoyote ile si vema kumshabikia mtu anaeua watu wasio na hatia. Damu ya mtu asie na hatia huria mda wote ikidai haki. Na Mungu huisikiliza na kutoa malipo.

Usishangae kwa kuchekelea kwako ukawa sehemu ya watakaopewa hayo malipo maana mtu huangamizwa na mdomo wake mwenyewe. Be careful with what you talk.
 
FB_IMG_16570990091655413.jpg
 
Ndio nachelea kusema kwamba Urusi anamwaga damu zisizo na hatia kwenye nchi huru ya kidemokrasia Ukraine, anachofanya Putin ni sawa na alichotaka kufanya Iddi Amini dhidi ya Tanzania kule Kagera ndio maana Mwl Nyerere alishindwa kuvumilia damu za Watanzania kupotea bure na kuamua kumtwanga Nduli Iddi Amini dadaa.

Kama lengo la demilitarization & denazify lilikua kuua raia wa Ukraine wasio na hatia, watoto, wazee, wajawazito, bibi, baba, mama, kuifanya nchi ya wapenda demokrasia pagale, kupiga mabomu viwanja vya kuchekezea vya watoto, viwanja vya mipira, shule, vyuo, hospitali...nk basi sawa.

Huwezi kulala na kuamka na kuanza kushambulia nchi ambayo haijatupa hata jiwe nchini kwako kwa kigezo cha special operation huo ni ubabe kwanini hizo special operation zake asingefanya Uingereza, ufaransa au hata Marekani akichagua vile vinyonge.

Ukiangalia kwa Jicho la tatu maendeleo ya Ukraine yalikua yanaenda vizuri sana soon ingekuja kuwa nchi yenye uchumi mkubwa sana ukishaweza kuzalisha chakula cha kuilisha dunia nzima it means una uchumi mzuri mpaka hapa nachelea kusema ulikua na WIVU wa Warusi kuona uchumi wa Ukraine unakua na kwa kasi nzuri na kumwacha yeye akiendelea kuendekeza ubabe hata kwa watu wake.

Ukraine wamekua kama mbuzi wa kafara kwa Mrusi akijisikia kupiga anajipigia tu kama anavyofanya kule Syria yeye haoni tabu kumwaga damu ameendekeza sera za vita, anaamini vita ndio suluhisho la kila kitu.

Kuna watu watakuja hapa na propaganda za Russia Today Television na kuanza kusema ohoo Ukraine kavunja sijui makubaliano ya wapi huko tuelewe tarehe 24.2.2022 Mrusi alikuja na kigezo cha special Operation, demilitarization & denazify.

Ndio maana wastaarabu wanamkimbia na kujiunga na NATO refer Sweden, Finland, Moldova na Ukraine, Mrusi ni kama urafiki wa Simba na Swala siku akisikia njaa lazima atamla swala.

#Sipendi Vita.
Brainwashed
 
Mabeberu wa ulaya na America ndio wanawadanganya wa Ukraine kuendeleza vita Kwa ahadi ya Kuwa saidia,hivyo kuzidi kuchochea hasira ya mtoa kichapo,hivyo muuaji ni anayewadanganya Kuwa atamsaidia kumshinda adui.
 
Ukraine huu msala kajitafutia mwenyewe tu....Ukraine angeweza kufika mbali kama angeweza kubalance interest za pande zote mbili....akawa neutral tu. Kuchukua upande wowote lazima kungeleta matatizo...population yenyewe ya Ukraine..ina ethnic russians kibao wenye mahusiano moja kwa moja na Urusi..

Viongozi wa Ukraine walijifanya vipofu..hekima ni kitu cha msingi sana kwa kiongozi yoyote..unaweza ukawa na akili lkn huna hekima na utambuzi....

Pia kumbuka DUNIANI HAKUNA HAKI,KUNA SHERIA TU..ndo maana watu wanalalamika sheria kandamizi n.k. Hata Demokrasia ya west haipo efficient kihivyo..hakuna mfumo uko-perfect hivyo hapakuwa na haja ya Ukraine kujifanya wanatoa kafara watu wao kwa leverage ya kuwakaribisha west ili kumkomoa mrusi..ni upumbavu wa hali ya juu kabisa...

Pia VITA hapa duniani vitakuwepo tu....yaani chokochoko lazima ziwepo na lazima watu wafe..ndo wanadamu tulivyo....UBINAFSI, UCHOYO,KUJIONA FIRST CLASS,KIBURI etc..ndo mwanzo wa vita vingi...na hivyo vitu ndo hulka halisi ya kiumbe ansyeitwa mwanadamu...Tunahitaji busara na hekima kuweza kuzuia hulka zilizomo ndani yetu, mbaya zaidi ukipata vongozi ambao hawajiongezi na kutuliza akil..KAMA KIZAZI CHA VIONGOZI WA SASA WA UKRAINE...lazima raia wapate tabu....

DUNIANI HAKUNA USAWA,NI SURVIVAL OF THE FITTEST...na hao fittest ndo wanatunga sheria ili waweze kusuvive zaidi...
 
Hapo nazungumzia Ukraine & Urusi
USA katoka wapi hapo boss.
Mkuu,kwani tatizo ni nini? Jamaa anacho sisitiza hapa ni kwamba yanapokuja masuala ya umwagaji damu za watu wasio na hatia tusiwe tunakuwa na double standard ya kulaani Taifa moja na kutaka Dunia nzima ili tenge na ku-slap punitive sanction!!

Lakini inapokuja taifa lililo bobea katika mauuaji ya watu lukuki, kuchochea mataifa yasielewane, vita miaka nenda rudi - tangu ipate uhuru mwaka 1776 ni takribani miaka 400+ imepita, kati ya miaka 400+ US haijapigana vita kwa miaka 16 tu, je, hiyo inaleta picha gani?

Tusiwasikilize wachonganisha hao, hawana moral Authority ya kuinyoshea kidole Russia inapo tekeleza operations zake za kijeshi chini Ukraine kwa lengo la kujihakikishia usalama wa taifa lao. US/NATO waliwahi kufanya mashambulizi kama hayo huko Yugoslavia, Syria, Libya na Afghanistan raia wengi wasio na hatia kupoteza maisha,miundo mbinu kuharibiwa - sikuwahi kusikia US ikishtumiwa/laaniwa kuhusu vitendo vyao vya kikatiri na udhalimu, wanatekeleza ujinga huo bila ya kuidhinishwa na Umoja wa Mataifa, cha ajabu Dunia ukaa kimya kabisa as if hakuna kinacho endelea - viongozi wengi Duniani uogopa sana kuilahumu US moja kwa moja, woga kama nini sijui??

Swali ni,je,udhalimu huu wa NATO/US utafumbiwa macho ili uendelee mpaka lini??Dunia inapashwa kuwashukuru jeshi la Urusi kwa kujitolea kwao kukomesha viburi na ujeuri wa NATO/US - as I said,Urusi ndio mwanzilishi wa crusade hii ya kukomesha tishio la NATO kwa Urusi na Dunia nzima kiujumla - narudia kusema huu ndio mwanzo wa "the beginning of the end" ya kundi hilo hatarishi, nina uhakika Uchina,North Korea,Iran na baadhi ya Mataifa ya Latin America watasaidina na Urusi kukomesha ifedhuli wa NATO na kiranja wao mkuu. Bravo Vlad kwa kujitolea kuinusuru Dunia - wachache watanielewa.
 
Kuna watu watakuja hapa na propaganda za Russia Today Television na kuanza kusema ohoo Ukraine kavunja sijui makubaliano ya wapi huko tuelewe tarehe 24.2.2022 Mrusi alikuja na kigezo cha special Operation, demilitarization & denazify.
Unaandika huku unaogopa. Usijali umetendea haki level yako ya akili.
 
Back
Top Bottom