Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,024
Tunakoelekea ni kila mwanaume kuuza mechi kwa dildo maana dushe halitowatosheleza wale Viumbe.Assalaam Alaykum
Nataraji mpo salama na familia zenu
Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi amekula sambusa 2,yai na Chai
Kiukweli,hili ni tatizo si dogo,ulaji huu,kisha watu tunashinda Jimu na mavyuma,
sijui ni wapi tunapoelekea!!!
Nawatakia maisha marefu
Mbona mlo mzuri huoAssalaam Alaykum
Nataraji mpo salama na familia zenu
Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi amekula sambusa 2,yai na Chai
Kiukweli,hili ni tatizo si dogo,ulaji huu,kisha watu tunashinda Jimu na mavyuma,
sijui ni wapi tunapoelekea!!!
Nawatakia maisha marefu
Mbona mlo mzuri huo
Watu wa mikoani bana
Mkuu. Sio lazima asubuhi ule ma viazi na maji. Mchana ugali wa mtama na kisamvu afu usiku michembe
Huo sio ulaji.

Uanaume unajengwa na vitu vingi sana,Mwanaume sio kulaaa....
Mbona unanikejeli sababu nakunywa urojo?Assalaam Alaykum
Nataraji mpo salama na familia zenu
Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi amekula sambusa 2,yai na Chai
Kiukweli,hili ni tatizo si dogo,ulaji huu,kisha watu tunashinda Jimu na mavyuma,
sijui ni wapi tunapoelekea!!!
Nawatakia maisha marefu
Mbona unanikejeli sababu nakunywa urojo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Assalaam Alaykum
Nataraji mpo salama na familia zenu
Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi amekula sambusa 2,yai na Chai
Kiukweli,hili ni tatizo si dogo,ulaji huu,kisha watu tunashinda Jimu na mavyuma,
sijui ni wapi tunapoelekea!!!
Nawatakia maisha marefu
Mbona unanikejeli sababu nakunywa urojo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unakula nini?Assalaam Alaykum