Uroho mbaya

Uroho mbaya

Bwisso

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
28
Reaction score
15
UROHO M-BAYA...Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka,akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi chumvi! Akafurahi akakaa chini akala vyote alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa CHUMBA CHA KUTAHIRIA!! eti unahisi alikula nini?
 
aayaaaah!! Kala govi la mtuuuu.....!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom