URITHI WA MANDELA watangazwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

URITHI WA MANDELA watangazwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kibo10, Feb 3, 2014.

 1. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2014
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,192
  Likes Received: 3,011
  Trophy Points: 280
  Mali za hayati Nelson Mandela zatangazwa leo, thamani yafikia +R46 milioni (Tsh7 bn), zagawanywa kwa wanafamilia na shule aliyosoma.source mwananchi
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2014
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,606
  Likes Received: 1,150
  Trophy Points: 280
  OK. Rip madiba.
   
 3. mappay

  mappay Senior Member

  #3
  Feb 3, 2014
  Joined: Dec 24, 2013
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hebu rudia samahani sijakupata.
   
 4. m

  mlambivu Senior Member

  #4
  Feb 3, 2014
  Joined: Mar 20, 2013
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Weka picha
   
 5. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2014
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,192
  Likes Received: 3,011
  Trophy Points: 280
  ImageUploadedByJamiiForums1391439478.541599.jpg
   
 6. Kifimboplayer

  Kifimboplayer JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2014
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 1,411
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 160
  Kwa title aliokuwa nayo nathubutu kuandika alikuwa 'MWADILIFU'.
   
 7. F

  Faridi JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2014
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 674
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Inasikitisha kuona hajamwachia kitu mke wa pili Winnie Mandela lakini amemwachia Graca Michael nyumba nne ambazo zipo mozambique ambazo wanazimiliki, magari na dhahabu zote alizomununulia pamoja na kuwapa watoto wake wawili wa kufikia ambao Graca Michael alizaa na Marehemu mumewe aliyekua Raisi wa Mozambique Samora michael kila mmoja £165,000.00.
   
 8. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2014
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,019
  Likes Received: 11,019
  Trophy Points: 280
  Subiri mali za jk

  Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
   
 9. Makuku Rey

  Makuku Rey JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2014
  Joined: Dec 31, 2013
  Messages: 1,421
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mbona sisi wametusahau kwenye huo mgao? wakati na sisi tumechangia xana majorty rule in SOUTH AFRICA!
   
 10. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2014
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,994
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Haisikitishi kutomwachia kitu Winnie......usaliti alofanya Winnie ktk ndoa ile teyari huo ndo mgao wake, na winnie anavgoendelea kutumia jina la Mandela ni kashfa kubwa kwa mwana wa africa.
  First lady kuwa na vi-serengeti boy umri wa watoto wako huku ukiwa ni mama wa taifa ni fedhea kuu kwa jamii ya Africa......lets say leo hii (kumradhi) mama maria awe na vijitoto sawa na akina makongoro ( tena makongoro keshazeeka ) Ni kashfa si kwa familia ya mwalimu tu bali jamii ya kitanzania kwa ujumla wake
   
 11. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2014
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,259
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  amezipataje hizo mali?

  jela miaka 26 , urais miaka mi4 tu,

  au ndio makaburu walimtunuku?

  cc fikirikwanza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. M

  Mkanganyiko Member

  #12
  Feb 5, 2014
  Joined: Feb 3, 2014
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  R.I.P Mandela Madiba
   
 13. m

  mahakama ya kazi JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2014
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 1,467
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kweli alikuwa mwadilifu
   
 14. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2014
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Simpendi sana mandela maana alikubaliana na wazungu kwa kuwasaliti waaafrika, kimsingi tatizo la ukaburi ameliacha kwenye uchumi ambao ndo dili, baada ya kuondosha lile la kisiasa, yaani madiba kafanya makosa yale yale, kulewa sifa za wazungu. Mbona nyerere hawamshabikii sana maana alikuwa sumu kwao
   
Loading...