Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 682
- 873
Kwahiyo huyo rais wa Seychelles anamfahamu dikteta mwendazake kuliko sisi Watanzania?
Mkuu wanasiasa ni wanafki sana. Anaweza kukuambia usiku mwema kumbe ndio kwanza saa tano asubuhi.
Unafikiri magufuli hana mazuri,ni mengi sana,ila kama binadamu naye pia ana mapungufu yake,ndio maana utaona kuwa hata uongozi ulioko madarakani umeenzi na kuyaendeleza mengi aliyoyaanzisha,ambaye hakubaliani naye ni yule tu mwenye chuki zake binafsi...
ila uruthi wa kufanya biashara holela hadi leo DAR na miji mingi imekuwa kama ilivyo(hakuna tena njia za waende kwa miguu, hakuna tena maeneo ya wazi,hakuna soko wala migahawa bali mji mzima ni soko na mgahawa).Kuna watu humu naonaga wanaumia kuhusu urithi (legacy) ya Magufuli mpaka wanajenga hoja eti inalazimishwa kwa nguvu.
Mi nawaambiaaga ni watu wenye akili kubwa tu tunaoelewa urithi wa Magufuli...
Hawa wote walitumbuliwa enzi za mwenda zake, miandiko yao imekaa kijipujipu [emoji16][emoji16][emoji16]
When you discuss legacy it's important to direct your thinking on what legacy means. We all have right to question what Magufuli did in realising what is legacy today, but ameacha nini it is something else.Kumbe upinzani wote kuanzia Chadema,ACT,etc wanaompinga Magufuli walikuaga serikalini then ghafla Magufuli akawatumbua then ndio maana wanamchukia?
Yaani unataka kuniambia kuanzia Mbowe,Zitto,Mnyika,members wote wa Chadema mimi included tulikua serikalini tukatumbuliwa?tangu lini au unaota tu?
Yaani kila anaempinga Magufuli alitumbuliwa kutoka serikalini?
Unaona jinsi ulivyo mpumbavu?
Wewe sindio mke wetu kwahiyo unatufahamu vizuri.Hawa wote walitumbuliwa enzi za mwenda zake, miandiko yao imekaa kijipujipu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi nataka kujuzwa; ni legacy ipi aliyoiacha Magufuli?Ni wajinga wachache wasiotambua mazuri ya JPM katika nchi hii
Ameacha nchi ni masikini zaidi kuliko alivyoikuta hopeless kabisa huyu kichaaWhen you discuss legacy it's important to direct your thinking on what legacy means. We all have right to question what Magufuli did in realising what is legacy today, but ameacha nini it is something else.
Unaweza kuwa mkorofi sana lakini umeacha nini?
Unaweza kuwa mwema Sanaa, lakini umeacha nini?
Yule mzee alikuwa bahili sana, lakini ameacha mali nyingi.
Yule mzee amesaidia sana maskini, lakini amekufa hana kitu.
etc.