Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Naunga mkono hoja ." urithi pekee kwa watoto,wajuuu na vitukuu wetu ni Tanzania bila CCM madarakani"
Nasisitiza urithi pekee na wa maana kwa kwa watoto wetu ni kuwarithisha nchi hii ikiwa inaongozwa na vyama mbadala na si CCM tena.
Kwa sasa hakuna elimu tunayoihitaji kama Taifa kama elimu ya kujikomboa elimu ambayo hatuwezi kuipata tukiwa tunatawaliwa na CCM.
Watanzania tutumie fursa za kisheria na kikatiba kuwachia watoto wetu hawa urithi huu wa thamani kuliko vitu vyote katika ardhi ya nchi hii.
Pigania katiba mpya,pigani marekebisho ya sheria ya uchaguzi ili umuachie mwanao urithi bora wa Tanzania bila CCM madarakani.
Hebu angalia maisha ya watanzania .Ukiitoa CCM utaiweka nini?
Huo ni urithi pekee kwa watoto wako usiwasemee wengine!" urithi pekee kwa watoto,wajuuu na vitukuu wetu ni Tanzania bila CCM madarakani"
Nasisitiza urithi pekee na wa maana kwa kwa watoto wetu ni kuwarithisha nchi hii ikiwa inaongozwa na vyama mbadala na si CCM tena.
Kwa sasa hakuna elimu tunayoihitaji kama Taifa kama elimu ya kujikomboa elimu ambayo hatuwezi kuipata tukiwa tunatawaliwa na CCM.
Watanzania tutumie fursa za kisheria na kikatiba kuwachia watoto wetu hawa urithi huu wa thamani kuliko vitu vyote katika ardhi ya nchi hii.
Pigania katiba mpya,pigani marekebisho ya sheria ya uchaguzi ili umuachie mwanao urithi bora wa Tanzania bila CCM madarakani.
Hawa tumewazoea hawatupi shida.UMEJIPANGA NA LUMUMBA BUKU 7
Lowasa, Nyalandu, Sumaye nkTuorodheshee hao wezi wote walio chadema.. Ndugu nasi tusio na chama tuwajue
Mimi sioni shida ya Ccm , ila ni wananchi kuyumbishwa kisiasa,mfano CDM wamezungumzia ufisadi wenyewe wakabeba fisadi, walikuwa na siasa wa kuhamsha hisia za watu ,sasa magufuli na amebeba na kuitumia kichwa chake itakavyo mtuma,hii nchi inahitaji chama chenye msimamo na siyo kutuyumbisha,CCM ya kikwete siyo hii na chadema ya Slaa siyo hii,wananchi wamefundishwa kushangilia matukio na siyo kutumia akili zao." urithi pekee kwa watoto,wajuuu na vitukuu wetu ni Tanzania bila CCM madarakani"
Nasisitiza urithi pekee na wa maana kwa kwa watoto wetu ni kuwarithisha nchi hii ikiwa inaongozwa na vyama mbadala na si CCM tena.
Kwa sasa hakuna elimu tunayoihitaji kama Taifa kama elimu ya kujikomboa elimu ambayo hatuwezi kuipata tukiwa tunatawaliwa na CCM.
Watanzania tutumie fursa za kisheria na kikatiba kuwachia watoto wetu hawa urithi huu wa thamani kuliko vitu vyote katika ardhi ya nchi hii.
Pigania katiba mpya,pigani marekebisho ya sheria ya uchaguzi ili umuachie mwanao urithi bora wa Tanzania bila CCM madarakani.
Da Mange kasemaje yeye?" urithi pekee kwa watoto,wajuuu na vitukuu wetu ni Tanzania bila CCM madarakani"
Nasisitiza urithi pekee na wa maana kwa kwa watoto wetu ni kuwarithisha nchi hii ikiwa inaongozwa na vyama mbadala na si CCM tena.
Kwa sasa hakuna elimu tunayoihitaji kama Taifa kama elimu ya kujikomboa elimu ambayo hatuwezi kuipata tukiwa tunatawaliwa na CCM.
Watanzania tutumie fursa za kisheria na kikatiba kuwachia watoto wetu hawa urithi huu wa thamani kuliko vitu vyote katika ardhi ya nchi hii.
Pigania katiba mpya,pigani marekebisho ya sheria ya uchaguzi ili umuachie mwanao urithi bora wa Tanzania bila CCM madarakani.
Yah, ni kweli wezi wote wako Chadema make akina CHENGE, MKAPA,KIKWETE,MRAMBA,NGELEJA,KALAMAGI,MAGEMBE,MUHONGO,SIMBACHAWENE,MAIGE, TIBAIJUKA, KINANA, MAGUFULI, nk wooote wako chadema kwa sasa.Tuiache CCM tumpe nani nchi ? Kama ni Chadema ndo unataka tuipe nchi nakushaur ungeacha tu kupost huu utumbo....cha msingi ni kuomba miaka iende fasta ngosha asepe na CCM watupe mtu makini.... istoshe wezi wote wako Chadema kwa sasa....
Yuko wap dr Slaa nchi inamhitaj sana