Kwa situation hii mzee hakua na namna zaidi ya kuoa tena sababu mke alifariki..Pole kwa kukosa usingizi mkuu. Iko hivi: ingekuwa wazazi hawajafariki wote, mali ingeweza kugawanywa kwa ratio ya jinsi mama fulani alizikuta, hizi ni za huyu waliotafuta naye. Lakini kwa sasa mmebaki wote ni matokeo ya mzee, kwa hiyo mali zitagawanywa kwa usawa. Mfano, kama kuna nyumba 4, ile kubwa itabaki mikononi mwa familia ya mama mkubwa kama ndio chimbuko lenu au pakukutania kipindi cha sikukuu na mambo mengine. Sababu baada ya mama mkubwa kufariki, mzee alileta mama mdogo hapo hapo nyumbani. Kama angeenda kumjengea pengine hiyo isingekuwa shida sana, kwa hiyo familia zote mbili zinahaki na nyumba kubwa. Ila hizo mali na vitu vingine mtagawana vile mtakavyoona inafaa katika kuviendeleza au kuvisimamia, ila point ni kwamba wote mnahaki sawa.
NB: Ni funzo kwetu pia tuliobaki duniani, tunakuja kuwapa shida sana watoto wetu kwa kuzaa nje ya ndoa ama kuwa na familia zaidi ya moja.
Yajayo yanafurahishaNaomba nianze kuuliza swali, ila samahani kama ntakukwaza, Je wewe ni msimamizi wa mirathi? Ndugu wa mume au mke ? Au mtoto wa mama mmoja wapo?
Jf,saa 9 watu tupo
Shukrani kwa majibu mazuriPole kwa kukosa usingizi mkuu. Iko hivi: ingekuwa wazazi hawajafariki wote, mali ingeweza kugawanywa kwa ratio ya jinsi mama fulani alizikuta, hizi ni za huyu waliotafuta naye. Lakini kwa sasa mmebaki wote ni matokeo ya mzee, kwa hiyo mali zitagawanywa kwa usawa. Mfano, kama kuna nyumba 4, ile kubwa itabaki mikononi mwa familia ya mama mkubwa kama ndio chimbuko lenu au pakukutania kipindi cha sikukuu na mambo mengine. Sababu baada ya mama mkubwa kufariki, mzee alileta mama mdogo hapo hapo nyumbani. Kama angeenda kumjengea pengine hiyo isingekuwa shida sana, kwa hiyo familia zote mbili zinahaki na nyumba kubwa. Ila hizo mali na vitu vingine mtagawana vile mtakavyoona inafaa katika kuviendeleza au kuvisimamia, ila point ni kwamba wote mnahaki sawa.
NB: Ni funzo kwetu pia tuliobaki duniani, tunakuja kuwapa shida sana watoto wetu kwa kuzaa nje ya ndoa ama kuwa na familia zaidi ya moja.
Yaani ndugu yangu umasikini ni mbaya sana, maana ni miaka 10 toka mzee afariki ndio yanakuja kuibuka haya sasa tena kwa ugomvi mkubwa wa kuumizana kabisa, mtoto wa bi mdogo kamvaa mtoto wa bi mkubwa baada ya mabishano kuhusu mali... yaani ndio maana nikajikuta hadi usingizi nakosa kwani nimepatwa na mstuko mkubwa na stress juu!Vijana mngepambana mtafute vyenu usiku huu ungekua umelala mustarehe wala huwazi mali ya mtu..[emoji1787]
Anyway, mimi naona hao madogo wamezaliwa wamekuta mali ni za baba yao wala hakuna alichuma akiwa na nani wapi na lini.. hizo ndio tamaduni zetu za Africa, otherwise labda kungekuwa na talaka baina ya mzee wako na mama yako kugawana mali ila hilo halikutokea..
So obviously hizo mali zote mama wa kwanza alimuachia baba zoteee ni zake na watoto waliozaliwa walimkuta baba yao na mali regardless alizipata akiwa na nani..
Kwa maana hio hao watoto wa mama wa pili wana haki zote za hizo mali kama wewe vile ulivyokua nazo..
Cha mwisho hizo mali kama hamkuzitafuta nyie na hamna maarifa ya kuziendeleza basi hakika hazitochukua time mtabaki tena mikono mitupu kama mlivyo hapo sasa ivi[emoji23]
NDIO MAANA JUU HAPO NIMESEMA ILITAKIWA UWE UMELALA MIDA HII AMBAYO HUNA USINGIZI KAMA UNGEKUA NA MZIGO WAKO MWENYEWE UMEPAMBANA
Mimi sio msimamizi bali ni moja ya watoto wa bi mkubwa ambao hatutaki mali zigawanywe.Naomba nianze kuuliza swali, ila samahani kama ntakukwaza, Je wewe ni msimamizi wa mirathi? Ndugu wa mume au mke ? Au mtoto wa mama mmoja wapo?
Jf,saa 9 watu tupo [emoji3]
Zimilikini kwa pamoja inawezekana piaBasi kwisha habari yetu... yaani mambo ya kuanza kusema "ile ilikuwa'ga nyumba yetu" hayo ndio yananipa stress!
Wapigeni tafu hao wadogo zenu,hata wwe ungechapwa na shida lazima ungerejea kwenye mali ya Urithi kama kimbilio na muwokozi wa maisha.yako! Alafu mwisho wa siku usijali sana,maana mirathi ni ibaada!!Yaani ndugu yangu umasikini ni mbaya sana, maana ni miaka 10 toka mzee afariki ndio yanakuja kuibuka haya sasa tena kwa ugomvi mkubwa wa kuumizana kabisa, mtoto wa bi mdogo kamvaa mtoto wa bi mkubwa baada ya mabishano kuhusu mali... yaani ndio maana nikajikuta hadi usingizi nakosa kwani nimepatwa na mstuko mkubwa na stress juu!
Wanasapotiwa pesa ya kula, pa kulala papo (hiyo nyumba husika) wenyewe wanachotaka ni kupewa kila kitu na kula bata kwa minajili ya mali za urithiWapigeni tafu hao wadogo zenu,hata wwe ungechapwa na shida lazima ungerejea kwenye mali ya Urithi kama kimbilio na muwokozi wa maisha.yako! Alafu mwisho wa siku usijali sana,maana mirathi ni ibaada!!
Mkuu laki huyiu haja Sema Mzee wake alizaa nje ya ndoaPole kwa kukosa usingizi mkuu. Iko hivi: ingekuwa wazazi hawajafariki wote, mali ingeweza kugawanywa kwa ratio ya jinsi mama fulani alizikuta, hizi ni za huyu waliotafuta naye. Lakini kwa sasa mmebaki wote ni matokeo ya mzee, kwa hiyo mali zitagawanywa kwa usawa. Mfano, kama kuna nyumba 4, ile kubwa itabaki mikononi mwa familia ya mama mkubwa kama ndio chimbuko lenu au pakukutania kipindi cha sikukuu na mambo mengine. Sababu baada ya mama mkubwa kufariki, mzee alileta mama mdogo hapo hapo nyumbani. Kama angeenda kumjengea pengine hiyo isingekuwa shida sana, kwa hiyo familia zote mbili zinahaki na nyumba kubwa. Ila hizo mali na vitu vingine mtagawana vile mtakavyoona inafaa katika kuviendeleza au kuvisimamia, ila point ni kwamba wote mnahaki sawa.
NB: Ni funzo kwetu pia tuliobaki duniani, tunakuja kuwapa shida sana watoto wetu kwa kuzaa nje ya ndoa ama kuwa na familia zaidi ya moja.
Lazima mali zigawanywe ili kila mtoto apate haki yake, kwani mkuu wewe kabila gani ? Kwaki kwenye ukoo wenu hakuna wazee waki mila wa zee wa ukoo .Mimi sio msimamizi bali ni moja ya watoto wa bi mkubwa ambao hatutaki mali zigawanywe.