Wewe umeoa mpaka unao watoto watatu then unataka mke wa miaka 30 ambaye hajawah kuzaa wala kuchumbiwa, atakuwa si mtu wa kawaida basi kama kweli atakuwa anaishi kwenye community.
Kwa requirement zako kajaribu parokiani unaweza bahatika kupata sister wa sifa hizo ( maana hata huko ningumu kupata wa sifa hizo)habarini....mimi ni kijana nina miaka 40 nina watoto wakiume watatu...ni mfanyakaz wa serikali na pia ni mfanyabiashara....niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita....tulishindwana na bahati tulikua hatujafunga ndoa...tuliishi illegally...so nimetafakari kwa sasa kuishi mwenyewe siwez nahitaji mke ila awe tayari kulea hao watoto awafanye kama wake...awe ni mdada kuanzia miaka 25 mpaka 30...mwenye elimu atleast degree moja na asiwe na mtoto na awe ni mdada ambaye hajawahi kolewa au kuchumbiwa....kabila awe mchagga...mhaya..mnyakyusa...m gita...mzanaki..mmasai...mpare ...mluguru...mhehe...msukuma au yeyote isipokua mrangi..mnyiamba...mmbulu...As anteni...
Kwa requirement zako kajaribu parokiani unaweza bahatika kupata sister wa sifa hizo ( maana hata huko ningumu kupata wa sifa hizo)
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Habarini mimi ni kijana nina miaka 40. Nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara.
Niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.
Tulishindwana na bahati tulikua hatujafunga ndoa tuliishi illegally so nimetafakari kwa sasa kuishi mwenyewe siwezi nahitaji mke ila awe tayari kulea hao watoto awafanye kama wake.
Awe ni mdada kuanzia miaka 25 mpaka 30mwenye elimu atleast Degree moja na asiwe na mtoto na awe ni mdada ambaye hajawahi kolewa au kuchumbiwa.
Kabila awe mchaga,mhaya, mnyakyusa, mgita,mzanaki,mmasai,mpare, mluguru,mhehe,msukuma au yeyote isipokua mrangi,mnyiamba,mmbulu.
Asanteni
Kweli urgently¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡.
hallo unakaribia kufa au?