Kibela
Member
- Mar 21, 2012
- 58
- 10
Habari wanajukwaa,
Kama una kiwanja Block 14 mabwepande na haujatembelea/haujakisafisha kwa mda wa mwezi au miezi miwili nyuma,basi tambua hauna chako,Kumezuka uvamizi wa viwanja vya halmashauri block 14 mabwepande project yaani wavamizi wamechukua viwanja "Kama Vyote" na kugawa vijipande vya 20 kwa 20 na kuviuza kwa Tsh 50,000 hadi laki 8 inategemea "Ng'ombe" amekujaje,viwanja vingi wameviuza kwa watu na hao watu walionunua wamejenga.
Kama una kiwanja Block 14 Mabwepande fanya hima uje ujionee,kama unakuja usijioneshe kama ni kiwanja chako maana wavamizi wakijua wewe ndio mwenye kiwanja wanaweza wakakudhuru,njoo kimya kimya na ukiona kiwanja chako kimesafishwa au kimejengwa nyumba jua kuna "ng'ombe" kachinjwa,fuata taratibu za kipolisi kupata haki yako.