urgently.: NAOMBA MSAADA NATAKA KUAPPLY TCU

admirable

Member
Dec 29, 2011
16
12
Naomba mnisaidie wadau nimeshindwa kabisa kuapply through CAS. column ya kwanza imeandikwa enter code ya pili code cjaelewa naandika nini kweye hii ya kwanza
 
Naomba mnisaidie wadau nimeshindwa kabisa kuapply through CAS. column ya kwanza imeandikwa enter code ya pili code cjaelewa naandika nini kweye hii ya kwanza

tafuta guide book ya tcu ndio ina hizo codes..wewe utakachofanya nikuingiza codes za program unayotaka kusomea kwenye column ya codes na column nyingine zitajijaza zenyewe automatically...i hope that helps
 
admirable,inaelekea umeshajirejista. Hakuna tatizo,step inayofuata sasa ni wewe kufungua,Admission Guidebook 2012/2013 na ujichagulie programs na vyuo unavyotaka kwenda kusoma(unanukuu code ya program eg.UAB001,UD002,IU005 etc) ,,alafu unarudi tena kwenye "Aplication" baada ya kulogin,na unajaza programs zako kutokana na Preference,kuanzia ya kwanza ha ya nane au ya sita kama hautaki nane.
 
Last edited by a moderator:
Naomba mnisaidie wadau nimeshindwa kabisa kuapply through CAS. column ya kwanza imeandikwa enter code ya pili code cjaelewa naandika nini kweye hii ya kwanza

wengine tunaona "system hacked"
 
Back
Top Bottom