Urgently ; I need a psychologist

Addiction ushaambiwa mkuu
Unataka kuacha lkn unakuwa km ulofungwa miguu na mikono hufurukuti. Vitu vyengine sio vya kuvijaribu...kaa mbali navyo...
Hawa watu bwana!!,wanadhani mpaka mtu umeamua kuja kujiongelesha huku ni rahisi eee!?
Mtu aona kama unadeka hivi kuleta hili jambo mezani ๐Ÿ’”๐Ÿ’”
 
Pole sana, tuliza akili na amini yameshatokea hakuna muujiza wa kuirudisha tena hiyo hela. Cha muhimu ni kupanga mpango mkakati wa kuirudisha.

Kuna wengi wamewahi kupoteza zaidi ya hapa, kama ulivyoona kwa mifano ya watu humu waliowahi kupoteza hadi nyumba mpaka gari. Amini kuwa yameshatokea na ujicommit kweli kuirudisha hiyo hela ya mwezio kwa njia zozote za halali na siyo kwa njia ya kubeti tena. Inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ