That's a psychosis. Unasikia kuna sauti zinakuongelesha huko ndani ya kichwa. Ulikuwa na msongo wa mawazo kwa muda gani hasa?I hear this voices on my mind 'you are worthless and you donโt even matter.'
RelaxNone of them!
Gambling addict; I have lost everything and am on verge of losing my self
Seriousness is what I wanted.Mpaka umeandika kwa kimombo,basi ulishapona. Huwezi ukawa na matatizo halafu ukayawasilisha kwa lugha ngeni,utakuwa haupo serious wewe....
No offense mkuu, una miaka mingapiSeriousness is what I wanted.
Washauri wa kweli wanareach out.
Then usichukulie vitu kiutani mkuu, remember table turns
Psychosis hii na dawq zake sio za bei sana. Lakin dawa za kumeza ziwe sambamba n matibabu ya tatizo la kudumu. Kubeti tu au kuna kingine kinakupa shida?Almost 1 year.
Attempted suicide on Jan 26 sikufanikiwa.
Ingia gym, Fanya mazoezi, au Fanya hata ya kukimbia, au Fanya hata ndani, mazoezi ni Tiba nzuri sana ya stress na depressionI hear this voices on my mind 'you are worthless and you donโt even matter.'
Tupa hiyo smartphone, nunua simu ya tochi, kama una kazi nenda kazini, ukishatoka kazini fanya mazoezi yako, kisha kula chakula, kama una marafiki nenda kapige nao story, baada ya hapo lalaNone of them!
Gambling addict; I have lost everything and am on verge of losing my self
27No offense mkuu, una miaka mingapi
Kwa wengine sio rahisi, kila mtu na maumbile yake. Na hasa enzi hizi za teknolojia ya mawasiliano, upo na simu na intanent,na makampuni mengi ya kamari mtandaoni, ni sawa na kuwa ndani ya Casino muda woteRelax
hapo hamna ata haja ya psychologist ni wewe tu uamua kwanzia sasa naacha kamari..
kila kitu kinaanzia kwenye akili yako.
Thanks nimewasiliana naoGoogle SOMEDICS HEALTHCARE
Utapata mawasiliano yao
Unataka ushauri wa kianaume au wa binti wa maiaka 12
Hard truth but napokea.Unataka ushauri wa kianaume au wa binti wa maiaka 12
Kama wa binti wa miaka kumi na mbili wengi washakupa huko ila kama wa kiutu uzima kama mwanaume acha kujikunyata kisa umepoteza kwenye betting watu wanapoteza viungo vyao mikono, miguu au macho ila hawakati tamaa wapo mitaani wanatafuta maisha, we unahisi watu wote humu jamii forum tuna maisha mazuri, tuna magari, nyumba familia hapana watu wanapitia matatizo ila wanajikaza kama watu wazima. Umepoteza anza upya
Pole sanaAm urgently in need of psychologist.
My mental health is deteriorating in tremendous speed,save this boy ๐๐
Ok, nimekuelewa, nafikiri labda ambacho kingekutibu zaidi ni kukutana na kundi la watu waliocheza kamari na kufilisika kama wewe halafu mka share story ili kujiona haupo peke yako, nafikiri wapi wengi ila kupata hiyo platform ya kukutana ni ngumu kwa sababu uraibu wa kamari hauchuliwi serious kivile TzIntensity ya madhara niliojiletea ndio inanisumbua wala sio kuacha.
Uchumi huna, family imekutenga, kukosana na kila mtu wa mhimu nk
Aaahhh kumbe ni mwanakulitafuta mwana kulipata?????None of them!
Gambling addict; I have lost everything and am on verge of losing my self
Hao watu wa psychology huwa hawasaidii wataenda kukutengenezea matatizo ya sijui umelelewa vipi anaanza kukujaza mambo mengine usiyokuwa nayo ili adhibitishe kuwa yeye yuko sawa kama akiamua una trauma flani, technic kama hypnotherapy zinaweza kukupa kumbu kumbu ambazo hazipo kichwani mwako.Hard truth but napokea.