K Kyandaya Member Joined Oct 19, 2012 Posts 53 Reaction score 9 Oct 29, 2012 #41 kwa nini unamtafutia better half to be body guard?mapenzi ni kujiaminisha wewe na yeye tu.
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 712 Oct 29, 2012 #42 hivi boom limetoka kweli!!?
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,630 Oct 29, 2012 #43 dogo piga shule ww mambo ya mapenz na shule c ishu utaliwa kichwa
Mshawa JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 787 Reaction score 325 Oct 29, 2012 #44 MANYORI Jr said: mie npo mwaka wa pili sasa manake mwaka 2014 naua bendi kaka wala cyo kwamba ndo naanza ila yote kumi mjomba dem mkali na ananipa nisichonacho....kwa wengine cwez kaka maana niliaswa kaumpenda mmoja! Click to expand... Mussa hebu piga buku kwanza huyo dada anaweza kuja kukufanya ulie bila machozi kutoka asee... usiwe mbulula kiivo chali yangu....
MANYORI Jr said: mie npo mwaka wa pili sasa manake mwaka 2014 naua bendi kaka wala cyo kwamba ndo naanza ila yote kumi mjomba dem mkali na ananipa nisichonacho....kwa wengine cwez kaka maana niliaswa kaumpenda mmoja! Click to expand... Mussa hebu piga buku kwanza huyo dada anaweza kuja kukufanya ulie bila machozi kutoka asee... usiwe mbulula kiivo chali yangu....