URGENT! Nahitaji mtu anayeweza kuPrint brochure haraka!

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
628
Ninahitaji Urgently mtu wa kuprint brochure 3000. nipo dar es salaam lakini kesho nitakua mwanza. design imekamilika lakini mtu aliyefanya design kapata matatizo na ameshidwa kuprint.

Details.
A6, Page 8, Full color, katika glossy paper.

Kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii overnight ili niipate asubuhi (kama mtu yuko dar) au kama anaweza kuifanya kuanzia sasa hadi kisha akaituma kwa DHL (i will pay for shipping cost)

Kama kuna mtu anaweza kufanya hii kazi na yupo mwanza, then tunayo leo na kesho siku nzima, kwa sababu nazihitaji kuanzia keshokutwa.
 
MCHEKI ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
sorry best nilikuwa na tatizo la mtandao hapa kwangu ndo nimeingia humu na nimeona hii meseji acha nikupigie na nije hapo ulipo best asante sana nami niko dar es salaam
NIGGA kama uko na namna ya kumfikia ladyfurahia mwambie aje huku kuna kazi, i have to confirm this mapema, maana niko under pressure
 
sorry best nilikuwa na tatizo la mtandao hapa kwangu ndo nimeingia humu na nimeona hii meseji acha nikupigie na nije hapo ulipo best asante sana nami niko dar es salaam

Thanks, nimeshaku-PM, look forward to hear from you
 
Back
Top Bottom